Ukweli ni kwamba, wote tunachepuka

Ukweli ni kwamba, wote tunachepuka

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,051
Reaction score
12,894
Wanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.

Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.

Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.

Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?

Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?

Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?

Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
 
Mimi sichepuki kabisa natembea na mdogo wake na wafe anayesoma mwaka wa pili hapo UDOM
Huyo nilianza naye tangu alipohamia hapa kwangu akiwa form three nikaanza naye hata wife akisafiri tunaenjoy vzuri wife hajawahi kustukia miaka yote hii
Yaani huyu Binti ni kama mke mdogo!
Ngoja nikumbuke vizuri kama kuna mwingine ntarudi....
 
downloadfile-125.jpg
 
Usinijumlishe kwenye kundi hili, bado wapo walio waaminifu kwenye ndoa zao. Wewe ndio una shida hiyo na hao unaokutana nao.
 
Wanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.

Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.

Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.

Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?

Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?

Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?

Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
Mimi sichepuki na sina huo mpango. Chepuka kivyako na uwe tayari kwa mavuno!
 
Uko sahihi sema tu wengi huwa hatuko tayari kukiri madhaifu yetu. Viongozi wa dini aslimia kubwa ni wazinzi wa kutupwa japo kwenye nyumba za ibada kujifanya kuwa watakatifu
 
Kuchepuka sio dili kuna magonjwa tuwe makini sana
 
Tatizo unachepuka na mtu anayechepuka, yaani mnakutana wawili wachepukaji, naona hii chain ni endless.
Hii inanipa ukakasi na kunifanya nione uchepukaji ni kitu kibaya, ila kama mngekutana wachepukaji ambao hawana wachwpukaji, mbona poa tu!!

BTW, wanawake ni wazuri sana, kukaa na mmoja tu ni kama kujinyima.
 
Wanandoa wote wanachepuka, mimi mmoja wapo, mwenzangu sijui, sijawahi kumdaka ila simuamini.

Suala la usaliti kwenye ndoa ni kwa wote, japo katika 100% wanawake nawapa 30% wanaume 70%.

Kimbembe ni pale mwanamke anapodakwa, hakuna msamaha, ila mwanaume akidakwa yanazungumzika.

Nafikiri hili ni janga kubwa sana kwa sasa, kama sisi tu wazazi, viongozi wa dini tunachepuka, vipi vizazi vyetu tunaviandaa aje?

Ni nasaa zipi tutawapa watoto wetu, juu ya masuala ya ndoa? Kataa ndoa wanahaki ya kukataa ndoa, ni kina nani wanawashawishi kuyaishi maisha ya ndoa?

Hawa kataa ndoa ndio wanaochepuka na wake/waume za watu, utamwambia nani aoe wakati kuna madudu wanayaona?

Wazazi, viongozi wa dini, kuna kazi kubwa hapa, huko mbele msishangae ndoa zisiwepo kabisa, watu wanatiana mimba kila mtu alee kivyake.
Fake news
 
Back
Top Bottom