Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

Kumbe katiba ya chadema inaruhusu kuwaambia wabunge changeni hela tukaweke kwenye fixed akaunti alafu baada ya miaka 5 wakiuliza hela za kwenye fixed akaunti ziko wapi, unawajibu hakuna pesa yoyote na mambo yanaishia hapo?

Kweli hiki chama ni bora kabisa duniani na wanachama wake wana akili nyingi za kuchanganua mambo kuliko bindamu yoyote kwenye solar system.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya kuambiwa na Ndugai changanya na yako. Hustuki, Ndugai kila akiwashwa lazima amtaje Mbowe. Kuna nini hapo? Lazima kuna kitu anakijua.
 
Huyu chadema imempigania kweli baada ya kuhukumiwa na kwenda jela, Leo anawaona wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye anasema ameipigania sana chadema Kilombero mpaka ameenda jela miezi sita kwa sababu ya kuipigania chadema...Sasa sijui nani kampigania mwenzake,Lijuakali au chadema?

Swali hili litajibika kirahisi ikiwa CCM watampa nafasi ya kugombea ubunge hilo jimbo na chadema nao wasimamishe mgombea mwingine wa ubunge wampiganie kama walivyompigania Lijuakali...Atakayeshinda hapo ndiye alikuwa akimpigania mwenzake
 
Alifungwa kwa kuipigania Chadema.
Subpost 6 - Nakutakia safari njema huko uendako. . Kumbuka tu chama kilivyokuang ( 735 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom