Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..


Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Kwani Riziwan naye ana siasa kama za Ndugai za kupiga wenzake fimbo?
 
Utengano na uadui kati ya hivi vyama viwili umeletwa na serikali hii. Zamani wabunge walikuwa wamoja kabisa. Watachambuana bungeni na kwenye majukwaa lakini hawakuchukiana. Awamu hii ndiyi imeleta chuki na uadui baina ya wapinzani na ccm. Namshukuru Mungu hizo chuki na kubaguana hazijafika/hazipo uraiani.
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..


Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe katiba ya chadema inaruhusu kuwaambia wabunge changeni hela tukaweke kwenye fixed akaunti alafu baada ya miaka 5 wakiuliza hela za kwenye fixed akaunti ziko wapi, unawajibu hakuna pesa yoyote na mambo yanaishia hapo?

Kweli hiki chama ni bora kabisa duniani na wanachama wake wana akili nyingi za kuchanganua mambo kuliko bindamu yoyote kwenye solar system.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye katika hakuna sehemu imesema hela zinawekwa kwenye fixed account, acha upotoshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa haihitaji hasira hata kidogo, shida ya chadema ni kuendesha chuki kwa wapinzani wenu

Kila mtu mtamwona msaliti asee.
Kuna mtu anayeendesha siasa ya chuki zaidi ya Jiwe nchi hii??

Huyo jamaa ni kama amejiapiza, ukiwa upinzani, kwa kutumia vyombo "vyake" vya dola ni lazima akufunge jela!
 
Kuna mtu anayeendesha siasa ya chuki zaidi ya Jiwe nchi hii??

Huyo jamaa ni kama amejiapiza, ukiwa upinzani, kwa kutumia vyombo "vyake" vya dola ni lazima akufunge jela!
Kwa kauli yako hii, professor Jay na wabunge wengine ambao hawajawahi kufungwa unawaweka kundi gani?
 
Waliomfunga jela leo wamegeuka wema!
Usipende kuishi kwenye historia. Mambo yanapobadilika na wewe badilika. Ndiyo maana Chadema walitukana sana Mhe. Lowassa lakini mwisho wa siku akawa mgombea wao na wakampitisha nchi nzima kumnadi kwa wananchi.
 
Hapo anapata boda boda 100 , wabunge wanapewa pesa nyingi Sana kuliko wataalamu hii si sawa tena awamu wabunge wamekula bure pesa yetu hakuna tija yeyeto waliyoleta wameshindwa kulisimamia bunge na hela wanavuta hii si sawa kabisa.
Mtaalamu anastaafu baada ya miaka 40 na apati hixo hela huku akilipwa kwa mafungu.

Ahahaaa...hyo pesa nyingi kimaandishi tu kwenye matumizi si pesa nying hzo..

Hzo we ukipesa leo kwa mkupuo..ndani ya miaka mitatu ijayo tutakutafuta kwa tochi Kwenye watu wenye pesa nying na huenda tuskupate kabsaa...
 
Chadema uhuni mtupu, tukisema haya mnasema hatuwatakii mema, mnaumiza sana hata wabunge wenu, hili la Juakali will go down in history.
 
Cdm wamevuka milima na mabonde wamekwepa kila mishare wasipokuwa makini watawapa ushindi ccm wasitumie Corona Kama mtaji wa kisiasa hii wanafeli hii ni lala salama watulie tuli mistake ndogo ndogo Kama hizi wanaloose point kwa wananchi.
Kutoka bungeni sababu ya Kisha kurudi tena bungeni humo humo penye hofu ya corona hapa wameloose point,
Wasitumie Corona Kama mtaji hapa watapotea,
 
Chadema uhuni mtupu, tukisema haya mnasema hatuwatakii mema, mnaumiza sana hata wabunge wenu, hili la Juakali will go down in history.
Lijuakali na silinde hivi ni vichwa cdm haikutakiwa kuviachia japo Wana mtaji wa underground wengi
 
Back
Top Bottom