Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

mnaingizia masiasa kila sehemu tu.
Kwa sababu siasa ndio maisha yenyewe ...

Ukizingatia budget ya maisha yako ya kila siku na mustakabali wa maisha yako ya kila siku vinajadiliwa bungeni

Hivyo basi kuanzia unavyoamka asubuhi mpaka unapolala usiku unaishi kwa kufuata utaratibu wa matokeo ya mijadala mbalimbali bungeni

Mwisho wa yote usisahau kuwa wanaojadili hayo ni wabunge tu, na ili uwe mbunge ni lazima uwe mwanachama wa chama fulani cha siasa

Lakini pia elewa kuwa Chama hicho Cha siasa kitakupa tiketi ya kuingia bungeni baada ya matokeo ya ushindi wa kampeni za kisiasa

Kwa mustakabali huo unaachane kuingiza siasa katika kila kitu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivo kama kweli kamwoa binti wa Ndugai basi chadema ilimwamini.imagine wawe kwenye group whatsapp ya pamoja, message za chama wanazotumiana viongozi halafu asahau simu mkewe akasoma
Especially ukiwa na baba mkwe Kama ndugai

MONEY STOP NONSENSE
 
View attachment 1453682

Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .

Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .

Nakala : Twaha Mwaipaya
Tukuulize wewe mtu wa kitengo cha propaganda chadema
Kwani intelijensia ya chadema imewaambia nini?
 
P
Kumbe katiba ya chadema inaruhusu kuwaambia wabunge changeni hela tukaweke kwenye fixed akaunti alafu baada ya miaka 5 wakiuliza hela za kwenye fixed akaunti ziko wapi, unawajibu hakuna pesa yoyote na mambo yanaishia hapo?

Kweli hiki chama ni bora kabisa duniani na wanachama wake wana akili nyingi za kuchanganua mambo kuliko bindamu yoyote kwenye solar system.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha hizo ni za uchaguzi!!!... ndio maana unachanga baada ya kupata ubunge ambao ulidhaminiwa na chama
 
Lijualikali kashajiaribia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.
Hapo anapata boda boda 100 , wabunge wanapewa pesa nyingi Sana kuliko wataalamu hii si sawa tena awamu wabunge wamekula bure pesa yetu hakuna tija yeyeto waliyoleta wameshindwa kulisimamia bunge na hela wanavuta hii si sawa kabisa.
Mtaalamu anastaafu baada ya miaka 40 na apati hixo hela huku akilipwa kwa mafungu.
 
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..


Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Ni CCM ya wakati ule sio ya sasa. Hii ya sasa Mwenyekiti anampiga biti mzee kama Bulembo hadharani eti "mkanye mwanao (mbunge pia) asi” “ na wabunge wa upinzani"

Kwa hiyo mahusiano ya Lijualikali lazima yatakuwa yanaleta sintofahamu na siri za chama hatihati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom