Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

TUNAJUA KUWA UMEULIZA LAKINI KWANINI IWE SASA?

SWALI LAKO LINA UHUSIANO GANI NA MTIRIRIKO WA MATUKO YA KIPINDI?

BILA SHAKA NJE YA SWALI LAKO UNA HOJA NZITO KULINGANA NA NYAKATI NA MATUKIO
Baada ya kuoa ndio sarakasi zikaanza
 
KWA HIYO BAADA YA KUOA HAKUTAKIWA KUHOJI NA KUTOA MAONI YAKE KWENYE CHAMA WAKATI KATIBA YA CHAMA INAMRUHUSU?

AU KUOA MTU WA CHAMA PINZANI AUTOMATICALLY KUNAKUPORA HAKI HIYO YA KIKATIBA?
Jessica Kishoa ameolewa na mwanaccm mbona hajalia bungeni ? au mbona hajaleta hizo sarakasi ?
 
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..


Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?


Kaka watu wana akili za kijinga sana, then wala hataji jina la huyo mtoto wa ndugai
 
HUYO HAJATOFAUTIANA NA CHAMA KIMTAZAMO PENGINE NA YEYE NDOA YAKE NA MWANA CCM INGEJADILIWA KATIKA MLENGO MWINGINE

Sidhani kama kuna haja ya kujadili ndoa ya kafulila na kishoa, issue ni watawala wa vyama wanaowatenga wanachama wao pale tu wanapowaoa watoto wa kutoka upande wa pili.
 
njaa inawaponza wanasiasa wa bongo na vijana wengi, wako tayari kujidhalilisha sababu ya kushindwa kuvumilia njaa au kutafuta mbadala
 
Ukiwa na hicho kiasi Cha pesa unaendesha boda boda?
Si ndio alivyosema au hajamsikia kwamba atalima hata mchicha au kuendesha boda boda.

Unashangaaa mtu mwenye 250m kuendesha bodaboda na wala haushangai mtu tajiri wa kwanza tanzania anauza maandazi ya mia mia.
 
Utengano na uadui kati ya hivi vyama viwili umeletwa na serikali hii. Zamani wabunge walikuwa wamoja kabisa. Watachambuana bungeni na kwenye majukwaa lakini hawakuchukiana. Awamu hii ndiyi imeleta chuki na uadui baina ya wapinzani na ccm. Namshukuru Mungu hizo chuki na kubaguana hazijafika/hazipo uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli awamu iliopita mbowe na zito walikua marafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lijualikali kashajiharibia kisiasa asubiri 250m zake za kiinua mgongo akaendeshe bodaboda huko kilombero.
wakiamua kumfukuza uanachama hapati. Ndugai atampa , wanagahakati watakwenda kupinga kupewa fedha za umma bila stahili!
 
Huo ukosefu wa demokrasia ndani ya CDM hakuuona kipindi chooote Cha miaka minne ndo kauona Sasa wakati bunge
limebakiza week kuisha?
Huyu ni opportunist ameshaona upepo wa kisiasa kwake ni mbaya asitafute visingizio aende tu ni haki yake kikatiba
Waliobaki chadema wote wameona upepo wao mzuri ndomana... Hongera kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..


Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Sasa umeona CUF ilipofikia?
CUF sasa ni tawi la wakereketwa wa CCM Buguruni.
 
wakiamua kumfukuza uanachama hapati. Ndugai atampa , wanagahakati watakwenda kupinga kupewa fedha za umma bila stahili!
Ndugai kashaamua kuvunja katiba kashasema atawalinda hadi mwisho hakuna mtu wa kuwababaisha......Chadema washawafukuza uanachama na barua spika kashapewa ila hataki kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom