Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Hoja zako hazina mashiko swala linabaki unefungwa na majini na upeo wako umeishia hapo.

Sasa unapoleta post bila watu kuchangia na kuuliza hyo post inamaana gan
Sasa miaka 10 yte hyo umepoteza muda wako tu bulee hakuna ulichokiambua cha maana

Ingekuwa unachokizungumzia ni kweli usingepoteza mb zako kwenye hii post
 
Mizimu kama mizimu ni majini yanayojua history ya ukoo vizuri, na ndio yenye maagano yote ya ukoo husika.
Kinachofanyika hapo kwenye kutokewa na sura ya babu, bibi nk, ni kitendo cha hayo majini kujivika sura ya mhusika wanayemtaka.

Haya mambo sitaki kuyaongelea japo nayajua sana kuliko kawaida.
 
Kwa faida ya kujali bila kujali yaliyosemwa kabla changia unachofahamu ila kwa hekima na busara kwakuwa si kila mmoja atakubaliana nawe
 
Ni kweri kabisa unalosema

Nimegundua huyu anabisha ili apate maujanja sasa baki na uo ujinga wako wa miaka 10 kumbuka elimu ina kuzidiana
 
Mnaonaje kama wote mnaojitapa kuyajua haya mambo mkatuwekea japo reference za kuthibitisha mnayoongea,kwa mfano vitabu ama kitu ambacho kilishawahi kuandikwa popote pale.!

Wengi tunatamani kuyajua haya ya ulimwengu usioonekana na kama yapo ya kutufaidisha kihalali bila kidhulumu nafsi ya mtu basi tuyajue. Mfano kujua kama kuna mtu anataka kukudhuru ama ukifanya hili utapata hasara nk
 
Naona wewe maswari yngu hautaweza kunijibu hta kidogo nina lundo la maswari nkianza kuuliza hapa hutanijibu nkakuelewa

Ila hayo yte uloeleza nyuma yake kuna JINI na katika jini kuna matabaka ama ukoo sasa hayo matabaka au ukoo ndo yanatuchezea akili sisi binadamu inawezekana ikawa hta wewe na mimi tunachezewa akili ndo maana tunashindwa kuelewana
Sasa cha kufanya fanya utafiti kuhusu kiumbe aitwaye JINI araf cku niambie umegundua nini kuhusu yeye

Kuna wakati furani nilisoma website ya marehemu shehe yahaya kususu muundo wa majini.
Yeye anaonyesha kuwa top wa majini ni shetani na wachini kabisa ni maruhani na majini.
Na kwa mujibu kama sijakosea maruhani ni majini Wazuri na majini wengine ni pepo wabaya.
 
Mnaonaje kama wote mnaojitapa kuyajua haya mambo mkatuwekea japo reference za kuthibitisha mnayoongea,kwa mfano vitabu ama kitu ambacho kilishawahi kuandikwa popote pale.!

Wengi tunatamani kuyajua haya ya ulimwengu usioonekana na kama yapo ya kutufaidisha kihalali bila kidhulumu nafsi ya mtu basi tuyajue. Mfano kujua kama kuna mtu anataka kukudhuru ama ukifanya hili utapata hasara nk
Jibu lako angekupa kitabakilo bahati mbaya leo cjamuona
maana anasema alikuwa mpk huko wanapoishi hao majini ila jana alieleza sana tena kwa undani zaidi natamani aje nimuulize na mm maswali yngu
Wala sibishi yashanifika miaka mingi tu iliyopita na ndo chazo cha kunifanya nichunguze ukweri wake 7bu kuna kitu kimoja kidogo walishindwa ndo kikanipa mwanga na kunitoa gizani so naongea yte 7bu nishazulu ulimwengu ambao binadamu wa kawaida hawezi fika nishameet na viumbe ambao binadamu wa kawaida huwezi meet nao nishawaona viumbe ambao binadamu wa kawaida huwezi kuwaona na nishakuwa na uhusiano wa kimapenzi na kiumbe ambcho binadamu wa kawaida uwezi share nae bed
Yaan yapo mengi mengi tu
Mwisho ni kuwa mm au sisi binadamu ADUI yetu mkubwa ni huyo kiumbe wala siyo binadamu mwenzako sema ndo hvyo tuu
 
Ni kweri kabisa unalosema

Nimegundua huyu anabisha ili apate maujanja sasa baki na uo ujinga wako wa miaka 10 kumbuka elimu ina kuzidiana

Sasa kejeli za nini kwenye thread za watu!...kama we kuna unalofahamu kuhusu varieties za mizimu, majini n.k. Shusha nondo hapa sio kusifia sifia wanaume wenzako!
 
Unawashwa makario katafute mkunwaji ukimkosa kajisugue kwenye ukuta wa chuping
nani katoa kejeli km si wewe
Ukiongea kitu kizuri kikaeleweka unasifiwa na utapata like nyingi lkn ukiongea hovyo hovyo usichokielewa lazima uambiwe hta km wewe ndo mwazilishi wa thread
So tumia lugha nzuri ukitaka kufikisha kitu sio unakulupuka tu km umebanwa na haja kubwa
 
Ni kweri kabisa unalosema

Nimegundua huyu anabisha ili apate maujanja sasa baki na uo ujinga wako wa miaka 10 kumbuka elimu ina kuzidiana

Ni sawa kuna kuzidiana yako uliipata wapi? Kwa miaka mingapi? Naona tumeshageuza post sehemu ya malumbano na mipasho
 
Unawashwa makario katafute mkunwaji ukimkosa kajisugue kwenye ukuta wa chuping
nani katoa kejeli km si wewe
Ukiongea kitu kizuri kikaeleweka unasifiwa na utapata like nyingi lkn ukiongea hovyo hovyo usichokielewa lazima uambiwe hta km wewe ndo mwazilishi wa thread
So tumia lugha nzuri ukitaka kufikisha kitu sio unakulupuka tu km umebanwa na haja kubwa

Duu mbona umepaniki kupita maelezo?
 
Kuwa bwabwa la wanaume wenzako sio lazima nikuone physical!....uliyoyabwabwaja hapa umeonekana live bila chenga kuwa we ni mke wa mtu simple!
 
Back
Top Bottom