The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Nikisema kwa sehemu kubwa namaanisha kuwa si wote mizimu ni roho za wafu bila kujali umekufa lini
Vipi kwenye ganja,kuna mshikaji wangu flani alipiga ikapanda kichwani akaanza kumsema mshikaji wetu mwingine anataka amuue(yaani uyo mshikaji amuue aliyevuta ganja) .Hapo unazungumziaje?