Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

People think you're crazy if you talk about things they don't understand

Nazani mm ndo napata uchizi tngu niaze kufanya uchunguzi wangu khsu
MIZIMU
MAJINI
MASHETANI
MGANGA WA KITABU
MGANGA WA TUNGURI
MATABIBU WA TIBA MBADALA
VIPIMO VYA HOSPTARI
MADOCTOR HOSPTARI
WAGANGA WA KIDGTARI(wapo ki upgrede zaidi kuendana na kasi ya utandawazi)
WACHAWI
NA LEO WAMEKUJA MARUHANI
 
Mizimu roho za wafu je ni wafu gani hao unamaanisha watu walokufa zamani yaan ni mababu zetu ktk koo zetu mfan sisi walugulu kule mzimu wetu KOLELO ana siyo
Ina maana roho zao ndo hizo mizimu siyo

Na je hizo roho za maruhani znazoishi nchi kavu ni zipi ? 7bu kwa Hapa tanzania mizimu yte ninayoijua ipo nchi kavu so maruhani ndo mizimu ya hio roho za wafu ?

Majini sehenu kubwa wanaishi baharini je waliobaki wanaishi wapi ?

Maruhani sehemu kubwa wanaishi nchi kavu je waliobaki wanaishi wap ?

Nikisema kwa sehemu kubwa namaanisha kuwa si wote mizimu ni roho za wafu bila kujali umekufa lini
 
Hehehe Mshana katika ubora wake kudanganya watanzania.
People always like to hear what they want to hear, ukisema otherwise wanakuona hufai..
Na umewakaba kwelikweli kuwaambia kile wanachotaka kusikia, binadamu na kuamini supernatural.. Hehehehe, what a pitiful specie.

Just come up with a challenging argument pal.. But I know you are not able to.!because your username speaks it all
 
Information is power. But like all power, there those who want to keep it for themseves.
 
Nikisema kwa sehemu kubwa namaanisha kuwa si wote mizimu ni roho za wafu bila kujali umekufa lini

Naona wewe maswari yngu hautaweza kunijibu hta kidogo nina lundo la maswari nkianza kuuliza hapa hutanijibu nkakuelewa

Ila hayo yte uloeleza nyuma yake kuna JINI na katika jini kuna matabaka ama ukoo sasa hayo matabaka au ukoo ndo yanatuchezea akili sisi binadamu inawezekana ikawa hta wewe na mimi tunachezewa akili ndo maana tunashindwa kuelewana
Sasa cha kufanya fanya utafiti kuhusu kiumbe aitwaye JINI araf cku niambie umegundua nini kuhusu yeye
 
Just come up with a challenging argument pal.. But I know you are not able to.!because your username speaks it all

Hehehe mkuu I don't see a point in arguing with voodoo, simply because it doesn't exist and you have never experienced it nor can you prove it.
Am curious to know what you know about my username though!!
 
Nikisema kwa sehemu kubwa namaanisha kuwa si wote mizimu ni roho za wafu bila kujali umekufa lini

kila mtu ana mzimu wake haijarishi amekufa au yupo hai je inawezekana kuona mzimu wako mwenyewe? (mtu aliye hai)
 
Ni kweli kaka. kuna mzee ambaye sasa katangulia mbele ya haki aliwahi kutuhadithia zamani mababu walikuwa NA uwezo naye aliwahi kuwezeshwa kupakwa dawa fulani usoni ila unavyoviona unaweza Kuwait kichaa maana anasema unaweza kwenda Kariakoo usiku ukakuta robo ya waliopo sio binadamu
 
Hiyo dawa mpk sasa na sio usiku tu hta mchana na tena mchana ndo wa kumwaga na asilimia kubwa ya unaowaona kariakoo wanatembea kikawaida ni majini na waliobaki ni binadamu ambao ukipakwa hyo dawa au ukiwa na uwezo ama kuna kioo fulani ukiwamulika unaona wapo ktk mavazi tofauti na pia kuna maduka mengne kkoo wanauza majini na wanamiliki majini kbsa
Yaan huyu kiumbe JINI ni kiumbe kishezi sana anatumia udhaifu wa binadamu kumtesa uwe mshilika wake atkutesa na usiwe nshilika wake atakutesa pia yaan hakuna unafuu ikiwa bdo ujamjua yeye ninani hasa na anafanya nini kwa ajili ya nini na kwa faida gani ili iweje
 
Ni kweli kaka. kuna mzee ambaye sasa katangulia mbele ya haki aliwahi kutuhadithia zamani mababu walikuwa NA uwezo naye aliwahi kuwezeshwa kupakwa dawa fulani usoni ila unavyoviona unaweza Kuwait kichaa maana anasema unaweza kwenda Kariakoo usiku ukakuta robo ya waliopo sio binadamu

Huku kitaani tulikuwa na jamaa mmoja, alikuwa na uwezo wa kuona watu wa baya. Kuna siku wakati tumekaa maskani akawa anapita binti mmoja, akatuambia huyo dada anayekuja hajavaa nguo yoyote mwilini, kuna mmoja wetu akabisha. Alipomwita yule dada, yule dada aliona aibu kupita kiasi. Na alikuwa anatuambia kwa mfano pale posta mpya kuna mauzauza mengi sana. Na nimakazi ya roho chafu nyingi sana.
 
nimakazi ya roho chafu nyingi sana.

Ndgu roho chafu ni zipi hizo unazozungumzia wewe je ndo hzo roho za wafu au au ndo hzo roho za maruhani zinazoishi nchikavu
Km hizo ni roho chafu
Iweje maruhani yanatutibu tukienda kwa waganga km alivyosema mkuu mwenye uzi ktk ufafanuzi
Au kuna roho chafu na roho mtakatifu(yaan roho safi)
Inamaana maruhani ni roho mtakatifu (yaani roho safi)

So kama maruhani ni roho takatifu yaani safi
Je inahusiana na ile roho mtakatifu ya kwenye biblia

Oooh nabaki najiwazia hii dunia pk ynguu
 
Ume quote kipengele kidogo sana, nimetolea mfano wa mtu aliyekuwa anauwezo wa kuona visivyoonwa kwa macho ya kawaida.
 
Mshanajr. Kama jicho la tatu litafunguka bila kujua utafanya mambo wengine wataona wewe chizi. Ukifungua kwa kukusudia huwezi ku act kama chizi. Utakachokiona utajua ni kweli na unakwepa.

Sio machizi wote wana jicho la tatu. Wengi ni biological mental failure. Inaweza kuwa inborn au man made.
 
Kimsingi na kisekondari hilo ni sahihi.Tuna mtu mwendawazimu mtaani kwetu anaitwa ADAMU.Huyu huwa anasimulia jinsi anavyokwenda kuzimu na manhari ya kuvutia kuliko huku duniani.Huwa anawataja hadi wachawi na wezi wa mtaani kwetu.Mada hii aione pia mshana jr kwa maelezo zaidi.

Dah.....ADAM katisheeeeeeer.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom