Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Usiwe mwoga kiasi hicho andika neno zima usiache dots

Hapana sijazoea kutukana hata hivyo naogopa husije ukanirushia majini nikapata jicho la 3 na la 4 .kuna mtu kanitonya kuwa wewe ni hatari sana ......si rudii boss kukukejeri tena.
 
Hapana sijazoea kutukana hata hivyo naogopa husije ukanirushia majini nikapata jicho la 3 na la 4 .kuna mtu kanitonya kuwa wewe ni hatari sana ......si rudii boss kukukejeri tena.

Hahhahahaaaa kakuongopea huyo kati ya watu wema waliobaki duniani basi mimi ni mmoja wao
 
Umepatia kweli kuniita hivyo kwa kuwa ni bonge la mpuuzi mimi nnakupuuza hayo maneno yako ya kishoga shoga.

Ntaendelea kukupa darsa la nyama ikoje kila unapoleta utumbo - kumbuka hilo.

Wewe kila siku huku Ni ugomvi Tu, unapenda kuishi maisha ya matusi na ugomvi Tu.
 
Hivi huwa nikweli kuwa mama mjamzito akikutana na n'gombe nikiama??yaani anafukuzwa je chanzo nini ni
 
Hivi huwa nikweli kuwa mama mjamzito akikutana na n'gombe nikiama??yaani anafukuzwa je chanzo nini ni

Mmmh dagii hili ni geni kwangu ila nitalitafiti
 
Last edited by a moderator:
Ok hivi hao majini nasikia walikuwepo tangia kalne na kalne je hawafi??wanazaliana??
 
Majini ni roho na roho ikishazaliwa haifi
Siyo kweri majini wanakufa hta wewe roho yako haifi ila inaweza kubaki duniani ikitangatanga kutokana na matukio uliyofanya duniani sawa na majini pia sasa hadi roho iitwe chafu wewe kiumbe unakuwa na hadhi ya kuitwa sheytwani na ukumbuke sheytwani siyo jini tu hta wewe binadamu una weza kuwa sheytwani

Ok hivi hao majini nasikia walikuwepo tangia kalne na kalne je hawafi??wanazaliana??

Majini wanakufa na wanazaliana km binadamu na wanakula na kunywa ila wanaaina vyakula ila kuna vingne huwezi amini km ni vyakula vyao mfno wapo ambao chakula chao ni harufu !!!
 
Maruhani ni roho ambazo kwa sehemu kubwa zinaishi nchi kavu, majini kwa sehemu kubwa wanaishi baharini na mizimu ni roho za wafu

Jitu ongo kama wewe sijapata kuona.

Hao wote ni kitu kimoja ni tofauti ya majina tu, wacha kudanganya watu.

Ruhan na Jinni ni kutokana na lugha ya Kiarabu na hizo ni sifa tofaui za hao hao majinni.

Mizimu ni jina lisilotokana na Kiarabu lakini ni hao hao Majinni tu.

Usidanganye watu, kitu kama haujui sema "sijui" kuliko kudanganya.
 
Wewe hujui na hujui na hutakaa ujue mizimu sio majini wewe Kiumbe , maruhani na majini ni sawa na kasa wa baharini na kobe na kobe wa nchi kavu wewe kiazi pokea elimu hiyo ya bure
Hiki ni kichekesho cha mwaka eti mzimu ni jini...Mungu wangu Faiza hebu ficha ujuha wako kwa kukaa kimya
 
Jitu ongo kama wewe sijapata kuona.

Hao wote ni kitu kimoja ni tofauti ya majina tu, wacha kudanganya watu.

Ruhan na Jinni ni kutokana na lugha ya Kiarabu na hizo ni sifa tofaui za hao hao majinni.

Mizimu ni jina lisilotokana na Kiarabu lakini ni hao hao Majinni tu.

Usidanganye watu, kitu kama haujui sema "sijui" kuliko kudanganya.

Nikuulize kitu kwanini huwa yanaitwa maimuna, mwajuma, sijui marijani halafu hayo hayo majina mwayatumia na pili kuna mtu aliniambia kila mtu wa hiyo dini yenu ana ruhani lake kuna kaukweli hapo na ni kwanini.
 
Back
Top Bottom