Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Majina tu kama vile wewe unajiita mdetichia, mimi FaizaFoxy, mwengine.

Wapo wengine wanaojiita John, Joseph, Anna.

Hakuna binaadam asiye na ruhani wake, kuna wanao amrisha mema na kuna wanao amrisha mabaya. Kama binaadam tu, wapo wema na wapo wabaya.

Na kuna maruhani ya kukukumba (possess), haya ni yale ambayo yanavuka mipaka yao na kuingia ndani ya mipaka ya binaadam na hao ndio huona pia wajanja wachache wakiwatumia na kudanganya watu.

Lakini hao majinni wote hawana uwezo zaidi ya binaadam kwani daraja la binaadam kuumbwa ni kubwa kuliko viumbe vyote wengine tuwajuao.

Kuhusu dini ya Mwenyeezi Mungu duniani ni moja tu, unless uwe haufati dini ya Mwenyeezi Mungu.

Maana ya dini ni njia, sasa ni wewe na muono wako tu.

Weee acha kudanganya hayo mnayo nyie hapa tumefunikwa kwa Damu ya Yesu Kristo aliye hai na shetani akijaribu kusogea anaungua sijui wenzetu mnaomfukizia udi .
 
Kukuongozea ktk viumbe vya mwanzo kuukubali uislamu ni majini na wengi wao walikuwa wakrsto na wayahudi lkn ulipokuja uislam wengi walislimu na kuwa waislam baada kuiona dini ya hakii na ndo mana utakuta majini wengi wana majina ya kiislam ila majini wakrsto wapo na mayahudi wapo na wasiokuwa na dini wapo pia elimu ya jini kumjua inahitaji umakini sana

Duuu huu ndio uongo uliobarikiwa na shetani.
 
Naomba sasa mimi ndio nikupe darasa
Mizimu inatokana na roho za wanadamu waliokufa, kuna matabaka matatu ya roho hizi
1.roho ambazo zipo makaburini zikisubiri kiama, hizi ni roho ambazo katika maisha yao wamiliki wake walitenda mema sana kwahiyo hazihangaiki

2.roho zinazotangatanga wondering souls hizi ni roho za kishetani zinazosumbua mno ulimwengu hasa kwenye mabalaa Kama vita magonjwa na mifarakano, ndani ya hizi kuna hungry ghosts, wamiliki wa roho hizi wengi ni wale ambao waliishi maisha yasiyompendeza Mungu na kufanya mambo mabaya sana(
3.roho za mizimu hizi ni roho za watu wazima sana walioishi maisha mengi na kufanya maagano mengi kwenye ukoo kabila hata familia na kuweka wazi kuwa baada ya yeye kufa lazima kifanyike hiki au kile au fulani akizaa mtoto ampe jina fulani nk nk ...!!!msipotekeleza hayo ule mzimu wake(roho) hukuandameni kwa mabaya. Na ndio maana huwa tunasema mzimu wa mtu fulani

Tukija kwenye majini ni kwamba hawa ni viumbe walikuwepo tangu uumbaji majini si watu hawajawahi kuwa watu bali wanachoweza kufanya huweza kumuingia mtu na kuzaa naye...! Au huweza kujigeuza na kuwa kama binadamu na kuishi maisha ya kawaida japo hayadumu, ndani ya hayo majini ndio utapata variety yake kama jini subiani, mataka nk

Hii comnent yako nilikuwa cjaiona ila ktk kuelezea khs roho naona umeeleza km vile mm ninavyofahanu yaan tuseme umeeleza vema
Hasa namba 1
Ila namba mbiri naona umenichanganya kidogo( .2 roho zinazotangatanga wondering souls hizi ni roho za kishetani zinazosumbua mno ulimwengu hasa kwenye mabalaa Kama vita magonjwa na mifarakano, ndani ya hizi kuna hungry ghosts, wamiliki wa roho hizi wengi ni wale ambao waliishi maisha yasiyompendeza Mungu na kufanya mambo mabaya sana) yaan hapo mshana jr ndo unashindwa kutofautisha kati ya shetani jini na binadamu ingawani kweri roho chafu au roho zinazotangatanga niu roho za kishetani
Na namba tatu sikubaliani na wewe hata kidogo

Lbda niseme hili linahitaji na imani pia cyo maneno matupu ninachoumia kuona binadamu wezangu wagumu kuelewa inapelekea tugombane tuuane tutukanane km baadhi ya watu wanavotukana ktk hii thread na kudharauliana lkn wenzenu wazungu na waarabu wanayajua haya vizuri tu tena sana ndo maana wakatuachia sisi ujingaa
Mwisho nawaambia haya ni maelezo tu km ilivyo mimi na mshana jr tunavyokinzana so hta ww hiyali yako kuyachukua kuyafanyia kazi ama kuyaacha km yalivyo cjamlazimisha mntu kukubaliupana na rai zngu nimejalibu kueleza ninavyojua na ninavyoaamini ukipenda niuliza swali niulkpize ntakujibu kiufasaa zaidi bila kumung'unya
Akhsante
 
At least sasa una critical argument hapo tutaenda sawa kwakuwa hiyo ndio maana ya JF , pale ambapo hukubaliani nami njoo na maelezo yakinifu nitakupongeza au nitakubaliana nawe ama nitakupinga kwa hoja
 
Weee acha kudanganya hayo mnayo nyie hapa tumefunikwa kwa Damu ya Yesu Kristo aliye hai na shetani akijaribu kusogea anaungua sijui wenzetu mnaomfukizia udi .

Yesu mwenyewe alikumbwa na pepo siku 40, soma.
 
[h=2]Everybody is mad but the degree of madness matters[/h]
IMG-20170609-WA0020.jpg
 
Naamini wote tuna ufahamu wa kutosha kuhusu jicho la tatu, kuona yasiyoonekana katika macho ya kawaida na kusikia pia ikiwemo na ufahamu wa yajayo.

Vichaa ni watu waliodharaulika katika jamii wana majina yote mabaya hawaogi ni wachafu wananuka hawana faida yoyote kuwa na ndugu kichaa ni msiba .

Ukichaa ni familia moja kubwa sana humo wapo machizi, wendawazimu, punguani wote hawa wanaingia kwenye kundi moja kubwa la vichaa.

Kwa tafsiri ya kawaida Ukichaa nk ni kutenda kinyume na kawaida kufanya mambo yasiyoeleweka na kutojitambua kuwa wewe ni nani uko wapi na unafanya nini. Zipo hospital maalum zinatoa tiba lakini kwa kiasi kikubwa mafanikio ni hafifu.

Kwahiyo tuzungumzie Ukichaa katika ulimwengu wa roho na ni kipi ambacho hutokea hata mtu akafikia hatua ya kuwa mwendawazimu chizi au kichaa kabisa.

Lakini vile vile tujiulize ni kwanini vichaa wengi hutibiwa kwa waganga wa jadi hasa wanaitumia maruhani mizimu na majini ? Kisha wakapona kabisa? Hapa sizungumzii wale wanaowehuka baada ya kutumia vitu kama bhangi nk .

Ukichaa ni roho chafu za mapepo majini na maruhani za kutangatanga zinazomuingia mtu na kufanya kikao ndani ya mwili wake...lakini pia kuna ule Ukichaa wa kukiuka masharti fulani ya mizimu ya ukoo au kabila .

Kinachofanyika ni hiki, aidha kwa kutupiwa kukanyaga au kuingiwa na hizi roho , mtu huondoka kwenye kikomo chake cha kawaida cha binadamu cha kuona na kusikia na kufunguliwa ulimwengu mwingine wenye mambo ya kutisha kuwehuka huanzia hapa.

Mwenzenu anaona kabisa mliokaa nao sio watu anakimbia anawashangaa mkimkimbiza na kumfunga kamba kumbe kiuhalisia alichoona ndio hicho ila kwakuwa mmefungwa na kiwango cha kuona nyie mnaona mmekaa na watu.

Huwa tunawashangaa wakiongea pekeyao Kimsimgi hawaongei pekeyao kuna watu wapo karibu yao na wanaongea nao wanapanga nao na kujadiliana mengi tu.

Kwakuwa kilichowaingia ni roho wabaya wachafu wanaotangatanga ndio maana hata siku moja hutamkuta kichaa wa namna hii anaoga au anakaa na kutulia sehemu moja ukimkuta wa hivyo ujue ni wale waliovunja masharti ya kimila kiukoo kuhusiana na mizimu ya kwao.

Nimekuwa na rafiki zangu hapa jukwaani wenye hamu ya kutaka kuwaona wachawi nikaambia wakishakuwa na huo uwezo hawakuwa wao tena! Sababu ni hii!!! Utafika kariakoo na kuona fisi wengi sana utakimbia na kupiga kelele watu watakukamata wakufunge kamba wao wanaona umewehuka wewe unawashangaa.

Utafika kwako utakuta kuna watu wanawanga sebuleni kwako utaanza kupigana nao.. loh mkeo atajua huyu tayari mirembe inamhusu kumbe maskini haoni kile unachokiona wewe.

Mifano ni mingi ngoja nikomee hapa kwanza.

True mkuu
 
Back
Top Bottom