jtwentytwo
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 194
- 26
ushawai kuwa kichaa ukapona nini mkuu....umejuaje yote ayoo....
Nikuulize kitu kwanini huwa yanaitwa maimuna, mwajuma, sijui marijani halafu hayo hayo majina mwayatumia na pili kuna mtu aliniambia kila mtu wa hiyo dini yenu ana ruhani lake kuna kaukweli hapo na ni kwanini.
mfan sisi walugulu kule mzimu wetu KOLELO ?
Majina tu kama vile wewe unajiita mdetichia, mimi FaizaFoxy, mwengine.
Wapo wengine wanaojiita John, Joseph, Anna.
Hakuna binaadam asiye na ruhani wake, kuna wanaoamrisha mema na kuna wanao amrisha mabaya. Kama binaadam tu, wapo wema na wapo wabaya.
a kuna maruhai ya kukukumba (possess) haya ni yale ambayo yanavuka mipaka yao na kuingia ndani ya mipaka ya binaadam na hao ndio huona pia wajanja wachache wakawatumia na kudanganya watu.
Lakini hao majinni wote hawana uwezo zaidi ya binaadam kwani daraja la binaadam kuumbwa ni kubwa kuliko viumbe vyote wengine tuwajuao.
Kuhusu dini ya Mwenyeezi Mungu duniani ni moja tu, unless uwe haufati dini ya Mwenyeezi Mungu.
Maana ya dini ni njia, sasa ni wewe na muono wako tu.
Kukuongozea ktk viumbe vya mwanzo kuukubali uislamu ni majini na wengi wao walikuwa wakrsto na wayahudi lkn ulipokuja uislam wengi walislimu na kuwa waislam baada kuiona dini ya hakii na ndo mana utakuta majini wengi wana majina ya kiislam ila majini wakrsto wapo na mayahudi wapo na wasiokuwa na dini wapo pia elimu ya jini kumjua inahitaji umakini sana
Majina tu kama vile wewe unajiita mdetichia, mimi FaizaFoxy, mwengine.
Wapo wengine wanaojiita John, Joseph, Anna.
Hakuna binaadam asiye na ruhani wake, kuna wanao amrisha mema na kuna wanao amrisha mabaya. Kama binaadam tu, wapo wema na wapo wabaya.
Na kuna maruhani ya kukukumba (possess), haya ni yale ambayo yanavuka mipaka yao na kuingia ndani ya mipaka ya binaadam na hao ndio huona pia wajanja wachache wakiwatumia na kudanganya watu.
Lakini hao majinni wote hawana uwezo zaidi ya binaadam kwani daraja la binaadam kuumbwa ni kubwa kuliko viumbe vyote wengine tuwajuao.
Kuhusu dini ya Mwenyeezi Mungu duniani ni moja tu, unless uwe haufati dini ya Mwenyeezi Mungu.
Maana ya dini ni njia, sasa ni wewe na muono wako tu.
Hapa naona karibu wote mnaongea kwa hisia tu.
Hebu mpeni kitabakilo nafasi amwage siri ya haya madude, maana ukweli mwingi nimeuona kwake.
We kigagula tupunguzie ujinga jukwaani
True mr kitabakilo anaeleza ukweri halisi wa hawa viumbe yaan mengi anayoeleza nimepata kusikia kwa jamaa mmoja hv na sasa nkihainisha na anavyosema na nkifuatilia history za vitabu vingi nilivyopata kuvisoma naanza kuupata ukweri halisi wa haya yte duniani na visivyoonekana nimegundua humu jf wengi hawajui mambo ila ni wa kufuata mkumbo wa mtu fulani
Mfano ww mshana jr ndo nimegundua aujui chochote kuhusu ulimwengu wa nguvu za giza majini na au lah !km unajua unauficha ukweriii kwa maana nahisi mengi unayoeleza una uhakika nayo
nimegundua wengi wenu humu ni wa kugoogle mambo na kumezeshwa vitu
Na tukija mizimu ni majini ambao wapo eneo husika tngu enzi na enzi na wakazijua taratibu za eneo hilo wakazilisha kutoka kizazi hadi kizazi mfn
Wakikuchagua uwe mrithi wanaweza wakakujia live kwa sura ya babu yako wakaongea na wewe ili hari wewe huyo babu yako hujawai kumuona ss unaamka ksho unamuhadithia baba yako baba nimeota mtu fulani kanitokea yupo hivi na hivi babaako kwa haraka jwa haraka anakwambia huo ni mzimu wa babu yako kakutokea ksho twende mzimuni tukaombe na tatalila nyingiii hvhv na hvhv mwishowe wanakujenga kisaikolojia unaanza sasa kuamini mizimu na kuabudu ukiwa na shida unaiombaa kitu kidogo kwenye mizimuu
Wewe hujui na hujui na hutakaa ujue mizimu sio majini wewe Kiumbe , maruhani na majini ni sawa na kasa wa baharini na kobe na kobe wa nchi kavu wewe kiazi pokea elimu hiyo ya bure
Hiki ni kichekesho cha mwaka eti mzimu ni jini...Mungu wangu Faiza hebu ficha ujuha wako kwa kukaa kimya
= ukweli
= ukweli
= ukweli
True mr kitabakilo anaeleza ukweri halisi wa hawa viumbe yaan mengi anayoeleza nimepata kusikia kwa jamaa mmoja hv na sasa nkihainisha na anavyosema na nkifuatilia history za vitabu vingi nilivyopata kuvisoma naanza kuupata ukweri halisi wa haya yte duniani na visivyoonekana nimegundua humu jf wengi hawajui mambo ila ni wa kufuata mkumbo wa mtu fulani
Mfano ww mshana jr ndo nimegundua aujui chochote kuhusu ulimwengu wa nguvu za giza majini na au lah !km unajua unauficha ukweriii kwa maana nahisi mengi unayoeleza una uhakika nayo
nimegundua wengi wenu humu ni wa kugoogle mambo na kumezeshwa vitu
Duu lugha yako tuu siwezi kujibishana na wewe ndugu yangu tunaachaana kwa mbali sana
Alichosema huyo dada hapo ni juu kabisa, mizimu sio roho za wafu, ni majini. Ukitaka darasa unaweza ukapewa, usijiaminishe kwamba kila ulichoweka kichwani ni sahihi Mkuu.
Ni sawa mimi na wewe tumeachana mbari sanaaaaa tena sanaaaa ila fahamu wewe ndo nimekuacha nyuma sanaaa
ila kawaida yngu huwa sibishani na mtu bali najifunza kupitia kwa mtu au kwa watuu yani napinga hoja kwa hoja na si kubishana na nisichokijua nimekuja hapa kwenye huu uzi 7bu hoja za kitabakilo zilinikuna na akawa anakuuliza hujibu cha kueleweka zaidi ya blaablaa nyingiiiiiiii afadhali kidogo faiza foxy nilimsoma maana aliandika anachokijua nasi ww ukiandikacho ukijui unabahatishaa
Yaan Wewe tena umefungwaaa na majini yamekuziba upeo wa kufahamuu jifunze kupitia watu acha kubisha
Naomba sasa mimi ndio nikupe darasa
Mizimu inatokana na roho za wanadamu waliokufa, kuna matabaka matatu ya roho hizi
1.roho ambazo zipo makaburini zikisubiri kiama, hizi ni roho ambazo katika maisha yao wamiliki wake walitenda mema sana kwahiyo hazihangaiki
2.roho zinazotangatanga wondering souls hizi ni roho za kishetani zinazosumbua mno ulimwengu hasa kwenye mabalaa Kama vita magonjwa na mifarakano, ndani ya hizi kuna hungry ghosts, wamiliki wa roho hizi wengi ni wale ambao waliishi maisha yasiyompendeza Mungu na kufanya mambo mabaya sana
3.roho za mizimu hizi ni roho za watu wazima sana walioishi maisha mengi na kufanya maagano mengi kwenye ukoo kabila hata familia na kuweka wazi kuwa baada ya yeye kufa lazima kifanyike hiki au kile au fulani akizaa mtoto ampe jina fulani nk nk ...!!!msipotekeleza hayo ule mzimu wake(roho) hukuandameni kwa mabaya. Na ndio maana huwa tunasema mzimu wa mtu fulani
Tukija kwenye majini ni kwamba hawa ni viumbe walikuwepo tangu uumbaji majini si watu hawajawahi kuwa watu bali wanachoweza kufanya huweza kumuingia mtu na kuzaa naye...! Au huweza kujigeuza na kuwa kama binadamu na kuishi maisha ya kawaida japo hayadumu, ndani ya hayo majini ndio utapata variety yake kama jini subiani, mataka nk
Punguza blah blah basi huwa nachagua nimjibu nani na kwanini..! Hao unaowasema wamekuja kwasababu nimeleta post nisingeweza kupost kitu cha kubahatisha au nisichokijua nimesoma na kupractice hizi mambo tena kwa miaka kumi mfululizo kwahiyo sibahatishi