Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?

Daah unaanzaje kumbishia mshana Jr aisee[emoji1] [emoji1] [emoji1] katika watu wanaonijuza elimu niliokua sijui kabisa basi ni mshana big up Braza
 
Daah unaanzaje kumbishia mshana Jr aisee[emoji1] [emoji1] [emoji1] katika watu wanaonijuza elimu niliokua sijui kabisa basi ni mshana big up Braza
Asante ngoja narudi kwa mwendelezo
 
Kwa wale ndugu zangu wanaopenda kupata uwezo wa kuwaona wanga na wachawi siwashauri kabisa... Hii dunia ina vingi vya kutisha visivyoonekana kwa macho ya kawaida na ndio maana hata waganga na wachawi hawazivai hizo nguvu hivyo hivyo ni mpaka wafanye maandalizi maalum
 
Ila ni kweli huwa wana jicho la tatu;
Nasema kwa kuwa mzee wetu wakati akiendelea na kazi yake
ya kulinda pale kanisani, siku moja jioni anatoka nyumbani kwenda
hapo kazini kwake alitokea kichaa na akamchapa fimbo mgongoni;
Haikupita wiki mzee akavamiwa na majambazi na wakamuulia pale pale kanisani;
Pengine tungejuwa kuwa kichaa ana jicho la tatu yasingetokea.
 
Mmh poleni sana
 
Hehehe mkuu I don't see a point in arguing with voodoo, simply because it doesn't exist and you have never experienced it nor can you prove it.
Am curious to know what you know about my username though!!
Kuna watu wanamuelewa sana Kwa sababu ya uelewa wao au mambo waliyowahi kukutana nayo, mfano,Mimi binafsi anachokiongelea nimekiona Live, kama si Nguvu ya Mungu ningekuwa mwendawazimu, toka nilipokuwa mtoto nilikuwa naona watu na vitu vya ajabu sana, tena sana, nilikuwa naweweseka mara kwa mara, Maisha yangu yalikuwa na nguvu mbili zinazoshindana. Nimeona majoka makubwa, mimeona watu warefu na wa kutisha nimeona wanyama wa kila namna, vingi vingi sana. Nyumbani walinichoka, lakini taratibu mambo yalikuwa yanabadilika kwani kuna nguvu ilikuwa inanilinda , hatimaye niko hapa nilipo, kuna mengi sana yote siwezi kuyasema hapa angalau nasema kidogo uweze kuona.
 
.
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom