Bro hivi nini maana ya A.I na hiyo A.I inakaa sehemu gani!?.. Ina maana hatuna free will!?..
Nielekeze taratiibu natokea simiyu!.
Artificial Intelligence ni maarifa elekezi kwa mwanadamu.....ni ujuzi ambao mwanadamu huacha kutumia free will na kuitegemea yenyewe kama mwongozo wa kufikiri na kumpa majawabu sahihi....ni mwongozo ambao ubongo wa mwanadamu huitumia ili kurahisisha jambo katika kufikiri....
Ni maarifa elekezeji juu ya nini akili ya mwanadamu inavyofanya kazi katika nyanja zoye za ufahamu...
Ni maarifa elekezi juu ya nini kinafuata baada ya time space collapse....
Time space ni mfumo ambao huweka ulinganifu wa ujuzi katika ufahamu wa mwanadamu....
Time space ni muunganiko wa sehemu tupu na muonekana wa kity katika dimension tatu, na tunaitumia katika kupima mwendo wa jambo katika ufahamu wa mwandamu...
Mwanadamu huwaza jambo kwa kutumia time space tool...
Ili jambo litendeke ,kipimo sahihi ni time space( muda katika utupu pamoja na kufafsiri katika urefu,upana na kimo)
Ili utambue kuwa kile unachokiona pale pembeni ni gari basi ufahamu lazima utoke kwenye ubongo na kipimo cha ufahamu ni time space iliyopo...ikiwa kitu utashindwa kukifahamu basi time space yako itakuwa imecollapse na ndo mana utakuwa unajiuliza kile ni kitu gani...ila kama time space itajiweka katika 3D haraka ndo utaweza kukijua kwamba hicho ni kitu gani...tofauti na hapo hutaweza kujua na hapo ndo tunasema ufahamu wako umekuja...so ufahamu wako upo katika time space( space time) continuum ....
Sasa nini kazi ya Artificial Intelligence katika kuleta ufahamu tofauti juu ya jambo unaliliona...??
Ni kwamba ili uweze kukijua kitu au kulielewa jambo ni lazima ubongo wako ulitafsiri katika 3 dimension range ,tofauti na hapo hutaweza...At least one component in 3D should be known by your brain juu ya kitu flani ndo utaweza pata ufahamu...kwa hiyo ufahamu wetu unakuja baada ya kile kitu kufanyiwa interpretation katika 3D na kuendelea...
Artifial Intelligence ni uelekezi mdadala wa kutambua 3D ya vitu ambavyo macho yako pamoja na milango yako ya fahamu ambayo hupeleka taarifa kwenye ubongo.
..So Milango yako ya fahamu haitakuwa inatumia nguvu tena kupeleka taarifa kwenye ubongo wako hivyo Artificial Intelligence itakuwa inakurahiisishia,yani badala ya jicho lako lipeleke taarifa ,na kisha ubongo kutumia sekunde kadhaa kufanya utafsiri katika 3D inakuwa inadelay kidogo na hapo ndipo Artificial intelligence inamsaidia bwana ubongo kutafsiri huo muonekano na kutoa jibu haraka zaidi...kwa hiyo unajikuta Neuronal firing rate katika cognitive center ya ubongo inakuwa inapungua kadri siku zinazozid kwenda kwani ile speed ya kuprocess interpretaion ya kitu katika 3D inakuwa inachelewa....ni kama mtu kuzoea jambo flani kufanyiwa na mwenzie kwa hiyo akili inakuwa domant zaidi...
Kwa hiyo Maarifa elekezi na ujuzi wa kufanya utambuzi wa jambo ,sauti,mwonekano,hisia katika mfumo wa 3D ili kupata interpretation sahihi...bila taarifa kusomwa katika 3D hutaweza kupata ufahamu juu yake....ni lazima taarifa zitumwe kwenye ubongo wako katika mfumo wa 3D ndo ubongo wako utatafsiri kuwa kile ni kitu flani ..
Ndo mana kama kitu hujakiona vizuri utakuwa unashindwa kukijua mpaka pale mtu anakuwa anakigeuza geuza katika mfumo wa urefu ,upana na kimo ( 3D) ndo utaweza kupata uelewa juu ya kile kitu.
Hutaweza kupata uelewa au ufahamu kama ubongo wako utashindwa kutoa tafsiri katika 3D....
So AI ni utambuzi elekezi ambao umewekwa kwenye vifaaa ili uweze kufanya tafsiri ya vitu kaviona katika 3D kwa haraka zaidi kuliko ubongo wako...
Ni njia mbadala ambayo yeyenyewe huona na kuhisi mazingira uliopo kisha kuyasoma katika 3D kwa haraka zaidi huku ubongo wako ukiendelea kupokea taarifa yako kwenye milango yako ya fahamu ila tayari jibu linakuwa limetolewa na ule mfumo elekezi mwingine( AI).
So machine ndo zimebeba ufahamu elekezi kwa kiwango kikubwa sana...
Unajikuta ubongo wako unawaza kuwa nitafanyaje hapa ili niweze kutatua hili tatizo, manake ubongo wako unatafuta solution katika 3D lakini mashine tayari inakuwa ishasoma mazingira kisha kukwambia kuwa hili jambo linasoviwa katika 3D hii hapa na option zake ni hizi hapa..
Ndivyo ubongo wetu unavozidi kusease na kuitegemea akili mbadala elekezi juu ya jambo flani hatimae neurone zinazeeka mapema kwani zinatakiwa kuwa active muda wote...
Ndo manaa tunasema kuwa, kwa mtu ambaye kazoea kutumia akili zake muda mwingi ,neurone za ubongo wake zinakuwa overactive sana na kufanya tafsiri katika 3D ya jambo inafanyika kwa haraka zaidi kisha ufahamu unasomwa kwenye cognition center ya ubongo kwa haraka zaidi..kadri ubongo unavyozidi kuwa lazy ndipo ufahamu unazidi kuwa mbali juu ya jambo ambalo milango yako ya fahamu itakuwa inapeleka kufanyiwa uchunguzi kwenye ubongo...
Mashine zimebeba ujuzi elekezi katika kusoma vitu katika 3D kwa haraka zaidi huku gape la time space likiwa linazidi kuwa dogo zaidi...
Ukiwa kwenye time space kubwa ,3D hupungua nayo,, kwa hiyo time space ina affect ufahamu kwa haraka zaidi na Illusion tunawekewa kwenye time space na kama hutaweza kutofautisha which is real katika time space basi hutaweza kusoma 3D ambayo ni sahihi katika mazingira ya kawaida....
So illusion is within time space and not other wise...