Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,902
- 20,111
Jina lako ndio Jibu lako.Mkuu mimi nimewauliza nyie mnipe maoni yenu
Kuhusu uchawi mimi ninaaamini upo kwa asilimia 100
Asante.
Jina lako ndio Jibu lako.Mkuu mimi nimewauliza nyie mnipe maoni yenu
Kuhusu uchawi mimi ninaaamini upo kwa asilimia 100
Unahakikishaje vitu hivyo vilitokea kwa sababu ya uchawi, na si kwamba wewe unafikiri tu vilitokea kwa sababu ya uchawi?Mkuu naona kama unataga ligi hivi.
Mimi kuna vitu ambavyo vimeshanitokea kwenye maisha yangu na kusababisha maisha kuyumba kwa kiasi kikubwa ni kwa sababu ya uchawi,
So mimi naongea kutokana na experience yangu, ila sikushawishi wewe uamini kama hivi vitu vipo.
Mimi sibishani na wewe kwa sababu kila mtu ana mapito yake kwenye haya maisha.Unahakikishaje vitu hivyo vilitokea kwa sababu ya uchawi, na si kwamba wewe unafikiri tu vilitokea kwa sababu ya uchawi?
Kwanza hata huja define uchawi ni nini.
Uchawi ni nini?
Unajuaje unachofikiri uchawi ni uchawi kweli na si kitu ambacho hukifahamu tu?
Unahakikishaje vitu hivyo vilitokea kwa sababu ya uchawi, na si kwamba wewe unafikiri tu vilitokea kwa sababu ya uchawi?
Kwanza hata huja define uchawi ni nini.
Uchawi ni nini?
Unajuaje unachofikiri uchawi ni uchawi kweli na si kitu ambacho hukifahamu tu?
Kwa mfano wewe umethibitisha kitu ila mim sijathibitisha. Je, hicho kitu kitabadili ukweli halisi kuwa si cha kweli kwa vile mim tu sijathibitisha?Bila uthibitisho, katika chochote, hakuna hoja.
Kuna imani tu.
Imani si hoja.
Jina lako ndio Jibu lako.
Asante.
Mkuu hii nukuu umeinukuu kutoka kwenye nini/kwa nani?Na nukuu " TAJIRI KUUONA UFALME WA MUNGU NI HERI NGAMIA KUPENYA KWNY TUNDU LA SINDANO YA MKONO....nadhan umepata concepts
Wapi huko mateTwende tukapige ndagu mwanangu
Naomba uamini ya kwamba UTAJIRI wa mtu huja tu wenyewe wakati mwingine bila hata yeye kutarajia na baada ya hapo inabaki maarifa na juhudi zake kutunza na kuendeleza huo utajiriBhasi habari za wakati huu wana jf wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha.
Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas,
Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa mtaani katika kubadilishana mawazo labda huenda nikapata jambo jipya la kujifunza.
Niende moja kwa moja kwenye mada ni kwamba hawa jamaa zangu walikua wanajadili mada ya kuwa hakuna tajiri yoyote kwenye hii dunia na Tanzania hapa ambaye anaendesha utajiri wake pasipo kuhusisha na mambo ya kichawi au MASONIC State.
Jambo ambalo kwa upande wangu nilijaribu kuwapinga nikasema, kweli wapo lakini kuna wengine utajiri wao ni wa halali kabisa.
Lakini wao walijaribu kupinga na kusema wachezaji maarufu kama C. Ronaldo, L. Messi eti na Billigate ni watu ambao wanahusika au utajiri wao unaendeshwa na hawa Masonic.
Na kwa hapa bongo walijaribu kuwataja wasanii maarufu pamoja na matajiri maarufu wakisema katika utajiri wao kuwa na Imani za kishirikina.
Sasa hawaaa jamaaa nimejaribu kuwaapuuza kwa kuona kama ni propaganda fulani hivi, na kutokana wao wenyewe bado hawana maisha, sasa wanajaribu kuhusisha kila aliyefanikiwa na mambo ya kichawi.
Je?, Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya watu wenye mafanikio kwenye hii dunia bhasi hutumia ushirikina katika kuendesha utajiri wao?
Unaruhusiwa kuamini unachotaka.Mimi sibishani na wewe kwa sababu kila mtu ana mapito yake kwenye haya maisha.
Sijasema hivyo ili nikuaminishe kama uchawi upo
Ila mimi nitaendelea kuamini kuwa uchawi upo mpaka kesho
Mosi.Unathibitisha vipi mimi nimethibitisha, na sifikiri tu kwamba nimethibitisha?Kwa mfano wewe umethibitisha kitu ila mim sijathibitisha. Je, hicho kitu kitabadili ukweli halisi kuwa si cha kweli kwa vile mim tu sijathibitisha?
Reli ya Internet treni la JF limeongeza mabehewa ya kajamba nani.Mada za fb zinahamia huku Sasa
Ukishakuwa muuaji ndo uchawi wenyewe huo majini yanakunywa damu.Sio lazma awe mchawi au masonic,lakin wengi n wauwaji au wadhurumaji,mfano ibramovic wa Chelsea,bill gate na wengne wengi.
Wewe unayeamini uchawi upo upo sahihi na huyo anayesema uchawi haupo naye yupo sahihi kwasababu uchawi ni IMANI lakini pia uongo una nguvu kuliko ukweli vinginevyo Dunia isingetawalika.Mimi sibishani na wewe kwa sababu kila mtu ana mapito yake kwenye haya maisha.
Sijasema hivyo ili nikuaminishe kama uchawi upo
Ila mimi nitaendelea kuamini kuwa uchawi upo mpaka kesho
Unajua kusoma kwa ufahamu?Unaweza kudefine kajamba Nani ni Nini ?
Tuthibitishie ya kwamba Facebook ni mtandao wa kina Kajamba Nani
dah
Nilijua tuu Lazima uje uniharishie mavi hapaUnajua kusoma kwa ufahamu?
Au unaharisha logical non sequitur tu?