Je, ni kwanini Peugeot 404 na 504 ziliitwa 'nguruwe'?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,080
40,733
Kuna mzee mmoja kanisimulia kwamba miaka ya 1970 gari aina ya Peugeot 404 na 504 ndio zilikuwa habari ya mjini, na wenyewe walizipa jina la utani la 'Guruwe', ila nikasahau kumuuliza nini chanzo cha kuliita hivyo? Ni kama baadhi ya watu wanavyoendesha 'makalio ya nyani' ikiwa kama jina la kupachikwa tu.

Peugeot 404
 
Gari za kazi hizo kaka.. Mshana Sr alimiliki matoleo yote
 
Nguruwe ni 504 siyo 404. Sababu ni mbio na uimara kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…