Je, ni halali kukimbia kazi uliyonayo ukipata dili kubwa?

Wakuu hii imekaaje.

Mfano uko private sector una contract ya 1 year. Mshahara ni 500k.

Badae upate kazi ya mshahara wa 700k, na contract ni mwaka mmoja.

Je, ni halali kumkimbia mwajiri wako ukipata deal zuri?

N.b working environment ni almost the same katika hiyo kazi ya 500k na ya 700k.

Ushauri jamani
Inategemea, ila ni vyema kuondoka vizuri kuliko kukimbia.
 
Wakuu hii imekaaje.

Mfano uko private sector una contract ya 1 year. Mshahara ni 500k.

Badae upate kazi ya mshahara wa 700k, na contract ni mwaka mmoja.

Je, ni halali kumkimbia mwajiri wako ukipata deal zuri?

N.b working environment ni almost the same katika hiyo kazi ya 500k na ya 700k.

Ushauri jamani
Kama mazingira yako sawa, angalia:
1: Uimara wa kiuchumi wa mwajiri/taasisi.
2: Ukuaji wako ndani ya mfumo wa kazi.
3: Fanya maamzi kwa kufuata sheria za kazi. Kama ulishathibitishwa kazini.
A: Toa notisi ya lengo lako mwezi mmoja kabla ya tarehe ya kuondoka.
AU
B: Toa notisi ya kuondoka ndani ya saa 24 na kulipa mshahara wa mwezi.
 
Inategemea kampuni unayoenda je unaona mbele itakuwaje ?je strategy na plans za kampuni uliyopo unazionaje?sometimes kwenda kwenye 700k na kuacha 500k inategemea na mazingira mfano mimi miaka 10 nyuma niliwahi kupata offer ya 1.5 M salary kwenye kampuni fulani kutoka 1.2 M ambayo nipo hadi sasa but maajabu ile kampuni iliyonipa offer imejifia na kampuni yangu imenipa offer zaidi ya ile ya 1.2 M na life goes on
 
Daaa ni noma sana
 
Kama mazingira yako sawa, angalia:
1: Uimara wa kiuchumi wa mwajiri/taasisi.
2: Ukuaji wako ndani ya mfumo wa kazi.
3: Fanya maamzi kwa kufuata sheria za kazi. Kama ulishathibitishwa kazini.
A: Toa notisi ya lengo lako mwezi mmoja kabla ya tarehe ya kuondoka.
AU
B: Toa notisi ya kuondoka ndani ya saa 24 na kulipa mshahara wa mwezi.
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom