Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

watoto wa nyerere nao walikuwa wanakaa ikulu zilizoko kwenye mikoa waliokuwa wakisoma...maana watoto wa nyerere wamesoma shule tofauti tofauti tofauti huko mikoani
 
It goes with the territory kijana! Kumbe unajua ni mtoto wa Rais! Kuna sababu za kiulinzi na usalama kwa familia nzima inayomzunguka Rais na ndio maana hata mama yake aliacha kazi ya kufundisha pale Mbuyuni primary school! Kaza buti usome kweli kweli, thats how the real world operates, some people are more equal than others kutokana na hadhi na mazingira yao ya maisha; ukipenda soma kitabu kidogo kinaitwa "Animal farm" by George Orwell. Best wishes
Hiki kitabu kipo online
 
Trump na Tanzania wana uhusiano gani? Huwa unafikiria au unaandika tu? Kama huna cha kuchangia tulia. Unategemea Trump atoke Marekani aje atawale Tanzania? Kaa chini!
Mimi huwa sifikirii mkuu, wanaofikiria ni wewe pamoja wale wanaodahiri watoto wenye d,d,d na kuwapa mkopo 100% alafu wakawapa masaa 24 watoweke usoni mwa chuo kama mbwa koko!
 
Habari wanaBodi
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa kigezo cha uwezo au wadhifa. Tunaamini kitendo cha binti wa Mhe Rais kusoma katika chuo cha ndani ya nchi yetu ni cha kiuungwana na cha kizalendo ingawa hatujui kama alikidhi vigezo au hapana.

Kwa kifupi binti huyu awali wakati anaanza masomo yake ya degree pale UDOM alipagwa kozi ya HRM (Human Resource Management). Baada ya baba kupata wadhifa akawa amehama kozi kutoka HRM akahamia kozi mpya ya (Political Sciences and Public Administration) PSPA.

Katika suala la Malazi
Mwaka wa kwanza alikaa kampasi ya chuo na baada ya baba kupata wadhifa kuwa rais anakaa Ikulu ndogo chamwino mbali na kwamba anacho chumba chake chuoni na hakikai mtu.

Katika suala la usafiri.
Analetwa chuoni na gari la Serikali aina ya VX ya kijani kila siku chuoni na kurudi. Kwa kuweka tofauti zetu kando tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.

Nawasilisha!!

Chanzo : Class mate.
Ikulu ndo kwao babaaa.......ni sawa na kuishi lugalo kwasababu babako ni mjeshi na babako akiwa ffu kota za polis ndio yanakuwa makaz yko
 
Baada ya baba kuwa rais akahamia political science...
Alafu alipata div 4...
Alafu juzi rais wa congo alimchagua mwanae kuwa waziri wa mafuta.....
Kama amehamia political science..ina maana na yeye atapewa kitengo?????

Najaribu kuunga dot!!!
 
Haya kweli mawazo ya mwendo kasi. Unashangaa mtoto wa Rais kuishi Ikulu? Tena ndogo?
 
Huyu mtoa post ni wa CHADEMA au? Hata nyumbu za CHADEMA haziwezi toa post ya kijinga kama hii.
 
Nafasi hiyo alafu haiji kwa kuipania ni inatokea tu so ispanic mzee wako sio rais acha wateule wafaidi vyao mtakuja .Mtatifua mwisho hadi nguo za ndani shwaini nyie alafu mkikuta za kijani muanze ohh ohhh ohhh
 
Habari wanaBodi
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa kigezo cha uwezo au wadhifa. Tunaamini kitendo cha binti wa Mhe Rais kusoma katika chuo cha ndani ya nchi yetu ni cha kiuungwana na cha kizalendo ingawa hatujui kama alikidhi vigezo au hapana.

Kwa kifupi binti huyu awali wakati anaanza masomo yake ya degree pale UDOM alipagwa kozi ya HRM (Human Resource Management). Baada ya baba kupata wadhifa akawa amehama kozi kutoka HRM akahamia kozi mpya ya (Political Sciences and Public Administration) PSPA.

Katika suala la Malazi
Mwaka wa kwanza alikaa kampasi ya chuo na baada ya baba kupata wadhifa kuwa rais anakaa Ikulu ndogo chamwino mbali na kwamba anacho chumba chake chuoni na hakikai mtu.

Katika suala la usafiri.
Analetwa chuoni na gari la Serikali aina ya VX ya kijani kila siku chuoni na kurudi. Kwa kuweka tofauti zetu kando tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.

Nawasilisha!!

Chanzo : Class mate.
Wewe ni mpumbavu na lofa kama alivyopata kusema Mh. Mkapa. mtoto wa rais lazima awe na ulinzi, na usalama wa taifa wao ndiyo wanaangalia kama chuoni panaweza kuwa na usalama au la. Yaani kila siku mnaleta majungu tu, nadhani JF itafungiwa soon, maana MoDs wanaacha posti ambazo hazina mashiko kuchukua nafasi ya mijadala ya maana, yaaan nawachukia sana watu kama wewe na wenzako, ila dawa inakuja, JF has to be taken off otherwise post kama hizi zifutwe mara moja!
 
Double standard na kile kinachotaka kufanyika. Kwa puppets ni rahisi kurukia hitimisho. Nchi haina mmiliki mmoja na ndiyo maana unaona hata mighty Saadam Hussein and Gadaffi ungeweza kusema hata wangeweza kuuza sehemu ya nchi zao au watoto wao wangeweza kula breakfast Paris, lunch London na dinner majumbani mwao. Leo hii wako wapi na nchi zao zimebaki kwa nani, watoto wapo wamebaki katika hali gani. Tunapojadili masuala delicate tusijumuishe mihemko mshindo, tutumie akili na busara.
 
Back
Top Bottom