chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,376
- 24,928
Habari wanaBodi
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa kigezo cha uwezo au wadhifa. Tunaamini kitendo cha binti wa Mhe Rais kusoma katika chuo cha ndani ya nchi yetu ni cha kiuungwana na cha kizalendo ingawa hatujui kama alikidhi vigezo au hapana.
Kwa kifupi binti huyu awali wakati anaanza masomo yake ya degree pale UDOM alipagwa kozi ya HRM (Human Resource Management). Baada ya baba kupata wadhifa akawa amehama kozi kutoka HRM akahamia kozi mpya ya (Political Sciences and Public Administration) PSPA.
Katika suala la Malazi
Mwaka wa kwanza alikaa kampasi ya chuo na baada ya baba kupata wadhifa kuwa rais anakaa Ikulu ndogo chamwino mbali na kwamba anacho chumba chake chuoni na hakikai mtu.
Katika suala la usafiri.
Analetwa chuoni na gari la Serikali aina ya VX ya kijani kila siku chuoni na kurudi. Kwa kuweka tofauti zetu kando tujadili kwa mustakabali wa nchi yetu.
Nawasilisha!!
Chanzo : Class mate.