Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

Shirima aliwaamini sana wakenya sasa kilio. Ukiwa na monopoly ya soko lote la nchi, KQ walikuwa wa nini? Kama walikuwa wema si wa kubail out now. Ndege zenyewe kwa kucancel na kuchelewa ndo zenyewe. Yaani zinaendeshwa kama mabasi ya enzi zile ya Tanganyika basi, abiria wasipo tosha basi ndege inahailishwa, hawajali kama walio takiwa kasafiri na ukawachelewesha ndo abiria wako wa kesho.

Jina precision halitendewi haki kwa ucheleweswaji mnaoufanya. Kifupi pamoja na uzawa nilio nao, kwa kweli nimehamia fast jet. Inflight magazine ya fast jet inaonyesha wameweza kuondoka kwa muda kwa 99.7%. Nna uhakika precision hizi data hawawezi zitoa maana wanaweza kuwa chini ya 50%.

Tunaipenda precision kama shirika la home lakini mmiliki aliona wa Kenya ni bora zaidi yetu aende zake kwa Uhuru ndo am bailout. .sorry

Uzawa gani unazungumzia Mkuu? Precision ina hisa za wakenya. Na hata wakenya wanaofanya hapo wanalipwa in international rate while watanzania/wazawa wanalipwa hela ya madafu tena ndogo. Na ukweli ni kwamba wakenya ndio wanaiua Precision.. Mwakembe amekataa kubail out coz mwanzon serikali ilitaka iingie ubia nao precision wakakataa, na shirima alishauriwa hata na Reginald Mengi kuhusu kushirikiana na serikali ili apate ruzuku akaona wakenya ndio efficient. Sasa serikali inataka shares precision na wakenya waondoke (sio kweli serikali imekubali kutoa ruzuku).

Watu huwa hawaelewi kuwa gharama za uendeshaji ndege zipo juu, ufanye safari ni gharama hata ukiahirisha, au uchelewe ni gharama. Kimsingi ndege haitakiwi ikae uwanjani kw zaid ya saa 2,ikizidisha gharama zake ni bora isafiri ikiwa na abiria mmoja ndio maana Fastjet soon itafilisika, na huyu Shirima watu wanamshauri akubali izo ndege zake 6 zifilisiwe na bank abakie na zile ndege zake nne afanye rout za ndani tuu. Wakenya walimdanganya kukubali rout za nje eg south africa anaambulia hasara tuu.
 
Bail out ipo na hiyo hela ilitengwa toka wakati wa mdodoro wa uchumi. TOL waliomba fungu wakanyimwa. Ni kama nationalization serikali itaingiza wajumbe wake kwenye bodi. Ila ni afadhali ku bail pw kuliko air tanzania
 
Hivi vipaumbele vya taifa ni vipi? Yaani kweli unatetea hiyo pesa kutumika kwaajili ya hiyo kampuni ilhali ingeweza kuleta tofauti kubwa sana kama ingepelekwa kwenye huduma mbalimbali za jamii!!

Hivi watanzania wangapi wanapanda ndege mpaka hilo la kuwa bail out PW kuwe ni jambo la kuzingatiwa kwa sasa?

Unaweza kutuambiwa mchango wa PW katika taifa hili? Kiasi gani cha kodi shirika limechangia serikalini?!? Lisipokuwepo sisi kama taifa tutapata athari zipi kubwa za kutufanya tusiende mbele?!?

Hivi unaweza kutuambia ile bail out ya pamba ilileta faida zipi?

Kama bail out, nguvu zote zingeelekezwa kwa ATCL tu.

Ni maoni yako, je na pamba nayo haina mchango kwa taifa (ikiwa hiki ndiyo kigezo)? tatizo unalolisema ninaliafiki - bail out lazima ifanyike kwa busara na masharti maalumu. Mfano wako wa pamba ni sahihi ulifanyika kwa ufisadi ndiyo maana haukuleta ,mabadiliko!
 
Kwani justification ya bail-out ni kwa sababu iliwahi kufanywa Ulaya au unatazama business na economic merits za ombi lenyewe kwa wakati na mazingira ya Tanzania? This mentality of the-whites-are -always-right is pitiful to say the list.

I completely agree Mkuu,

There are actually massive differences between us and those whites who some of us say we should copy. A company like General motors for instance, had created employment for over 275,000 people across the globe, in the sense that letting it go bankrupt would have cost these people their jobs. On the other hand, precision employs less than 700 employees at a time!!, a number lower than many other companies operating in Tanzania at the moment.

It would have made 200% sense to bail out a company of the kind of NMB, where despite the truth that it employs an incredible number of people at a time, it has in its control savings of almost one in every family in this county.
 
Hicho hasa ndicho muhimu Mkuu..lakini twende mbele na kurudi nyuma, hao watu wenye uwezo wa kusimamia operations za PA wakati huu ikiwa chini ya bail-out ya serikali tutawatoa wapi?! ATCL au?!...Lol

Ndio maana kwenye mada yangu nimetoa pia mfano wa nyakati ambazo serikali imewahi kutoa ama kudhamini pesa ambazo zilitolewa bila umakini wa kutathmini hakika ya urejeshwaji wake. Ninakuhakikishia, this will be the case this time too.

Precision kama wana mpango thabiti wa biashara waupeleke benki wapate pesa.

There is no risk whatsoever if precision air goes under.

Kwa walioko kwenye sekta hiyo watakuwa na mawazo tofauti na wewe kuhusu impact/risk
 
Kwanza hizo pesa zianzotaka kutolewa na serikali ni mkopo au ni msaada?

Mkuu,

Bail-out maana yake ni mkopo wenye masharti nafuu.

Hakuna yeyote mwenye chuki na kufanikiwa kwa kilichoanzishwa na kumilikiwa na Watanzania. Mbona tunajivunia NMB na CRDB kila siku?

Nilichosema mimi ni kuwa, kutokana na historia ya dealings za serikali yetu huko nyuma, na kutokana na ukweli kuwa PA mpaka sasa hawajaonyesha mpango kazi (business plan) yoyote inayoonesha jinsi watakavyoanza kufanikiwa sasa hivi, basi ni wazi hii bilioni 51 wakakayopewa itaishia kupotea kama ambavyo pesa zao wenyewe zimepotea kwenye hii miaka miwili iliyopita kutokana na kushindwa kuhimili ushindani sokoni.

The One Million dollar question is this..if Precision has a sound business plan for its future growth and the only thing remaining is funding it, why don't they just seek Loans from Commercial lenders instead? Banks are there to lend!!
 
Ndege inayoongoza kuharibu na kuchelewesha safari za ndege za kila siku....
 
Is Precision Air a truly Tanzanian owned company?
 
air tz ni wafu wamekuwa wakipewa hela kila siku na hakuna return zezote.

serikali ilishauriwa badala ya kuipa hela atc bora inunue hisa precision lakini kutokana na majungu yasiyo ya kweli ikakataa.

hili tatizo la precision halihusiani na fastjet kama mwandishi anavyotaka kuuaminisha uma. Passanger number za PW zimekua zikikua YoY. Na hata mwaka huu wameanzisha route mpya mbeya ambayo ina wateja wengi.
kumekuwa na chuki sana na baadhi ya watu kwa hili shirika, na hiyo chuki imeota mizizi mpaka ngazi za juu serikalini.

hili tatizo linatokana na mkopo mkubwa waliochukua kutoka benki moja hapa mjini ili kununua ATR. Wamenunua ATR lakini garama za uendeshaji zimekua kubwa mno particularly mafuta. either serikali iwape hela wafute hilo deni au hiyo benki iuze hizo ndege wagawane pesa as stipulated in the contract.

hamna inchi duniani inayoacha makumpuni muhimu ambayo yana sound structure yafe.

serikali bado haijatoa hela
 
Precision sio privately owned
ni public listed company
which means ni kampuni ya umma pia..
watanzania wananunua hisa zake sokoni...

Yes big boss,
and shares is a risky business,
before one buys,they must, like lawyers say, be ware!
the reason why people don't put money in risk-free assets such as T-bills is so they can take some more risks, and earn more if it ever pays....in the end it won't make sense if as a nation we come together and save them from a their own deliberate courses of action!
 
Ni maoni yako, je na pamba nayo haina mchango kwa taifa (ikiwa hiki ndiyo kigezo)? tatizo unalolisema ninaliafiki - bail out lazima ifanyike kwa busara na masharti maalumu. Mfano wako wa pamba ni sahihi ulifanyika kwa ufisadi ndiyo maana haukuleta ,mabadiliko!

Chifu, nilitoa mfano wa pamba kama benchmark ya kuweza kujadili umuhimu wa bail outs kwa taifa. Sasa ukisema hapa ni namna hiyo ya pamba ilisaidia, itakuwa vyema! Na sidhani kama utaweza kueleza, kwani kama serikali imeshindwa kufanya hivyo bungeni, basi hiyo ni ishara ya magumashi!

Pili, hujasema (kwa statistics) umuhimu wa PW kwa uchumi wa Tanzania; kiasi kwamba shirika lisipopata hiyo bail out, uchumi utapata shock!
 
Mkuu stroke..kwanini ATC hawakupewa walipopitia "kipindi kigumu cha uchumi"?
Halafu si vyema ikachunguzwa kwanza sababisho la hicho kipindi kigumu cha uchumi ni nini?!la hasha imeshaamuliwa..

Ukichukua mfano wa General Motors America, hawa walikuwa bailed-out sababu ni kampuni kubwa sana na yenye impact kubwa kwenye uchumi wa marekani, kuanzia kwenye kuzalisha ajira, kwenda kwenye exportation etc..sidhani kama precision in uwezo wa kuathiri uchumi wetu kwa namna mtambuka namna hii.

Wewe mleta uzi kwanza ungafanya utafiti from which you could have collected data and come out with reliable fact findings to defend your argument. On the contrary you are lacking reliable and liable facts about Precision Air and the Airline Industry at large. For your information Precision Air is an incorporate organization that employs more than 700 Tanzanians, add their dependents and other firms that trades with it. The latter employs Tanzanians as well. Employs from Precision and other firms trading with it pay taxes and contribute enormously in the social security provident funds. How can you say the collapse of Precision cant have an impact on the Tanzania's economy. Think big. When it' said Precison Air is a national flag bearer, that's is not said from a thin air. It's a child of profound basis. The Airline belongs to IOSA family and many International Organization employees are not allowed to travel by any Airline that's not IOSA certified. A classical example is the recent visit by President Clinton in Tanzania. His Aircrafts unfortunately got a defect and by that time he was to fly to Kigali. In order to keep his time table Precision plane was hired to fly some stuff and Clinton delegates to Kigali because it meets IOSA standards. This is a nutshell sasa tuambatane kama unataka kujuzwa mengi. No research no right to speak
 
Source kubwa ya income duniani ni WIZI.
Mahali pazuri pa kuiba duniani ni serikalini.

Sidhani kama wanawapa hizo hela kwa sababu wamebuma, kinachoendelea ni kwamba.
Kikwete na trupu lake ndo wanavuta hisa ndani ya Shirika kwa jasho letu sisi WafaAkiri
 
Bail out lazima ili tupate 10% na sisi. Hamtaki na wengine tulepo? kufa kufaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaa
 
Uzawa gani unazungumzia Mkuu? Precision ina hisa za wakenya. Na hata wakenya wanaofanya hapo wanalipwa in international rate while watanzania/wazawa wanalipwa hela ya madafu tena ndogo. Na ukweli ni kwamba wakenya ndio wanaiua Precision.. Mwakembe amekataa kubail out coz mwanzon serikali ilitaka iingie ubia nao precision wakakataa, na shirima alishauriwa hata na Reginald Mengi kuhusu kushirikiana na serikali ili apate ruzuku akaona wakenya ndio efficient. Sasa serikali inataka shares precision na wakenya waondoke (sio kweli serikali imekubali kutoa ruzuku).

Watu huwa hawaelewi kuwa gharama za uendeshaji ndege zipo juu, ufanye safari ni gharama hata ukiahirisha, au uchelewe ni gharama. Kimsingi ndege haitakiwi ikae uwanjani kw zaid ya saa 2,ikizidisha gharama zake ni bora isafiri ikiwa na abiria mmoja ndio maana Fastjet soon itafilisika, na huyu Shirima watu wanamshauri akubali izo ndege zake 6 zifilisiwe na bank abakie na zile ndege zake nne afanye rout za ndani tuu. Wakenya walimdanganya kukubali rout za nje eg south africa anaambulia hasara tuu.

Na wewe usipende kusikia habari za kijiqweni za watu ambao hawajona kuta za madarasa na kuzifanya kuwa za kweli. Wakati serkali inauza share za AIR Tanzania, Precision ilikuwa one of the bidders lakini kwa sababu ya ukosefu wa uzalendo ikafanyiwa mbinu na South Africa Airline ikapewa . Sote tunajua kilichotokea maana utawala wa pesa ulikuwa unafanyika South Africa na hakuna mtaji au assets iliypletwa kutoka bondeni. Haya nimeyasikia kwa masikio yangu toka kwa Mwenyekiti wa Board ya Precision Air mwaka jana alipomweleza Rais Kikwete bila kumungunya maneno wakati wa ufunguzi wa Karakana (Hanger) ya Preciasion Air na alimalizia kwa kuitaka serikali kununua hisa. Sasa tuambie wewe ya kwako umesikia wapi. Mimi nimekupa primary data gathered through hering and observation from the horses mouth.
 
Hivi Nape upo hapo kwani moja ya ilani ya chama tawala katika kile kitabu chetu maarufu imeandikwa ni kuendeleza kampuni ya ndege ya taifa ATCL iweze kuleta maisha bora kwa watanzania, hii imenyofolewa na kuwekwa Presionair? ingia jamvini utujuze.


Nape yupo kwenye list ya mgao wa 10% ataliona hilo? kwani Ilani ya CHAMA hapa inasemaje Mh. NAPE?
 
Hivi hizi Fedha zinatoka wapi? Maana kwenye miradi ya maendeleo huwa tunaambiwa hamna Fedha au zilizofika ni kidogo sana...naona na watu wengi wana wasiwasi na usimamizi wa serikali maana Fedha huwa hazirudi...lakini Shirima anawalaumu tu wakenya yeye si ndio majority share holder maana yake hata yeye hayuko makini
 
..if i were the decision making party from the TZ government side...i would go for majority of precision air shares as a condition for bail......let the TZ government acquire shares from people like mr.Shrima et al...who own majority of shares in the company.....this could save as collateral...in case they fail to pay back the bail out money(if they will get it at all).....
lakini biashara ya shares inaanzia na valuation, ambayo naona ilikuwa inflated kwenye ipo ndio maana haikuvutia mtaji wa kutosha, pili waliofikisha kampuni hapo ilipo bado wanataka kuendelea kushika utamu kupitia share holding yao au mngt. pia watu walilizwa kwenye nico na tol, na mpaka sasa hivi waliofikisha nico na tol ndio controllers wenyewe. kama valuation yao na business prospect zipo positive wakiuza shares zitanunuliwa au Bank watatoa mkopo, hata kama ni 5%.
 
Back
Top Bottom