Are you??.......prevent it if you can!!You don't?....now that is careless!
Are you??.......prevent it if you can!!You don't?....now that is careless!
|
| Dar Es Salaam |
|
| My take: |
that z passion, I think he z passionate with planes
Agreed,
Actually Precision's impact on our success in tourism is overrated.
The tourism sector is occupied with a number of other air fliers which have over time served it quiet well. You talk of Coastal Aviation, Regional Air Services etc. These, together with fast - jet, will leave the tourism sector indifferent when precision air dies a natural death..if it must.
bab vPlease don't tell me we are gonna forage on grass one more time just for the sake of planes..... OMG forbid...
I had the same opinion to you bro. At least you sound Tanzanian today... big up.
This is insanity so to speak. Air Tanzania, 100% owned by the government is on its deathbed, why not try to awaken it instead of this other privately owned airline co.? I cry for my country Tanzania.
Tangia fastjet waje tz haijapita hata miaka miwili. Kwa maana nyingine ni kuwa fastjet bado hata hawajafikia nusu ya kubreak even. Ina maana precision air walikuwa wanaoperate kama daladala, kwa maana kwamba hawakuwa na financial liquidity?!!! Yaani wanafilisika kwa competition ya less than two years?... Kweli nakubaliana na wewe kuwa mbinu zao za ushindani zilikuwa za kizamani. Michael Ngaleku tunamjua ni mzee na kada wa CCM miaka yote. Yeye ndiye alikuwa God Father wa Mramba kule Rombo na ameifadhili ccm kwa kuasi kikubwa sana. Na uzee wake bado anadhani biashara zinaendeshwa kwa siasa siasa. Aliifanya kampuni yake kama kampuni ya chama, akiajiri watoto wa makada wenzake bila kujali uwezo wao kikazi. Alipokuja kushtuka kuwa wana uwezo mdogo kakimbilia wakenya.Kuna Matatizo makubwa mawili yaliyoiyumbisha Precision Air
1. Tatizo la kwanza ni kuwapa Wakenya wairun hiyo kampuni, Tanzania tuna usalama wa Taifa nadhani kwa muda wote unajishughulisha na ulinzi wa nchi na viongozi wake, lakini nadhani Kenya wanakitengo maalumu cha usalama wa taifa kinachojihusisha na mambo ya uchumi, Wakenya hawezi kukubali nchi yoyote ya Jirani iendelee kiuchumi lazima watatumwa Mafia wao ili waharibu tu, kilichotokea kwa Precision hakina tofauti na Wakenya walivyoiua General Tyre kule Arusha. Hiyo FastJet ilioanzia Kenya 540 na ilishindwa kuprosper kule kwa ajili ya fitina ya Wakenya na ndio wakakimbilia TZ
2. Kitu cha pili kinachoiyumbisha Precision ni Mikakati mobovu waliyokuwa wanatumia kushindana na Air Tanzania ambayo imeshindwa kufanyika dhidi ya FastJet, Mikakati ya kuidhoofisha na kuiua Air Tanzania haikuwa mikakati ya kibiashara bali ulikuwa ni uhuni tu na kukosa uzalendo kwa hao wakina Shirima wanaoomba Serikali iwasaidie. Precision anashindwa kukabiliana na upepo wa Nauli na panctuarity ya Fastjest, hivyo anajikuta hana Customers
Mytake
Sio vibaya kwa Serikali kuisupport Kampuni kama Precision kwa minajiri ya kutunza Ajira ya Watanzania na pia Tax iliyokuwa inalipwa na Precision pamoja na PAYE, lakini upembuzi yakinifu wa matatizo yote yanayoikabili Precision yanapaswa kuwa wazi, Serikali itoe pesa badala ya kuangalia risks zote na pia ijiridhishe kuwa hiyo kampuni inaweza kurudisha hiyo pesa kwa kipindi watakachokubaliana, lakini kwa sasa bila management na strategy changes hiyo pesa itapotea
CC: BAK, The Boss, Prisoner 46664, Tuko
Please don't tell me we are gonna forage on grass one more time just for the sake of planes..... OMG forbid...
I had the same opinion to you bro. At least you sound Tanzanian today... big up.
will always be Tanzanian!