Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

Je, ni busara serikali kuipatia pesa Precision Air?

Holy cow! You don`t need Precision air to get Serengeti or Mikumi; there are other means; Air Msae; Air Mtei; Ngorika; Dar Express; Aboud just to just to mention few; so the case is closed! those morons they should find their own means to raise capital; they can approach Bakhresa; Rostam Aziz; Mengi and other prominent business elite; let them die; if the government has the money why not inject capital to public company Air Tanzania?

fastjet hawana madeni ndege zao zote zinatoka parent company easyjet.

hao uliowataja wana madeni makubwa, non of them wana usd 30m cash with exception of rostam ambaye amekimbia na hela za serikali
 
I paid the devil its due...

oohh my gosh !!! am I a devil? C`mon man I am more than that, just read my lips!!! we are fighting the same war; you are on the other side I am on this side just like American and Russians during world war II; our goal is to win against the same common enemy! what about your kamanda Ben Saanane?????
 
Last edited by a moderator:
sio vibaya kwa serikali kuisaidia kampuni iliyokua ikifanya vizuri katika kipindi hiki kigumu cha kifedha wanachopitia, ila si vibaya na wao wakajaribu kuwa na competitive rates ili kurudi kwenye soko, na wakimaintain their normal stat..

Kama vyama vya siasa vinapewa ruzuku, kwanini shirika kama hili ambalo linabeba bendera ya taifa letu lisikwamuliwe kama limekwama? mimi nafikiri ni jambo jema kulitia moyo shirika ambalo linatutoa kimasomaso waTanganyika:help:
 
Kuna Matatizo makubwa mawili yaliyoiyumbisha Precision Air

1. Tatizo la kwanza ni kuwapa Wakenya wairun hiyo kampuni, Tanzania tuna usalama wa Taifa nadhani kwa muda wote unajishughulisha na ulinzi wa nchi na viongozi wake, lakini nadhani Kenya wanakitengo maalumu cha usalama wa taifa kinachojihusisha na mambo ya uchumi, Wakenya hawezi kukubali nchi yoyote ya Jirani iendelee kiuchumi lazima watatumwa Mafia wao ili waharibu tu, kilichotokea kwa Precision hakina tofauti na Wakenya walivyoiua General Tyre kule Arusha. Hiyo FastJet ilioanzia Kenya 540 na ilishindwa kuprosper kule kwa ajili ya fitina ya Wakenya na ndio wakakimbilia TZ

2. Kitu cha pili kinachoiyumbisha Precision ni Mikakati mobovu waliyokuwa wanatumia kushindana na Air Tanzania ambayo imeshindwa kufanyika dhidi ya FastJet, Mikakati ya kuidhoofisha na kuiua Air Tanzania haikuwa mikakati ya kibiashara bali ulikuwa ni uhuni tu na kukosa uzalendo kwa hao wakina Shirima wanaoomba Serikali iwasaidie. Precision anashindwa kukabiliana na upepo wa Nauli na panctuarity ya Fastjest, hivyo anajikuta hana Customers

Mytake
Sio vibaya kwa Serikali kuisupport Kampuni kama Precision kwa minajiri ya kutunza Ajira ya Watanzania na pia Tax iliyokuwa inalipwa na Precision pamoja na PAYE, lakini upembuzi yakinifu wa matatizo yote yanayoikabili Precision yanapaswa kuwa wazi, Serikali itoe pesa badala ya kuangalia risks zote na pia ijiridhishe kuwa hiyo kampuni inaweza kurudisha hiyo pesa kwa kipindi watakachokubaliana, lakini kwa sasa bila management na strategy changes hiyo pesa itapotea

CC: BAK, The Boss, Prisoner 46664, Tuko

hapo ndipo nilipotamani kulia when i heard hawa jamaa, wamenunua shares humo, tuwe makini sana, sio kila investor ni wa kufanya nae kazi..
 
Jamani wengine tunalia na hili shirika kwani tuna hisa zetu mpk leo hatuelewi kinachoendelea. Siku zote muoshwa huoshwa, precision ni moja ya shirika linalohusika kwa kiwango kikubwa kuihujumu ATCL. Leo serikali yetu ikitoa fedha kwa hili shirika itanishangaza sana kwani ATCL inaitaji msaada km huo lkn mpk sasa serikali sijaona juhudi za kulikwamua, haya yatakuwa ni maajabu ya dunia kwa kweli. Wakina mramba na viongozi wengine hasa wanaotokea kaskazini walifanya kila njia ATCL ife, na ndy hao wnye hisa kwenye precision. Shirima aliwaona wakenya ni km miungu na hata walipo jaribu kumtahadhalisha na hawa jamaa nasikia aliweka pamba masikioni, leo ameyaona jamaa wamevuna walichoitaji wanakuachia histry.
 
Naona wengi mnaongozwa na hisia mpaka mnasahau kua ni wajibu wa serekali kusaidia mashirika binafsi yenye mchango kwenye uchumi wataifa.....ni jambo la kawaida kabisa!!! ila kwasababu mmekaa kukosoa kosoa all the time mna miss hata positive things that should be supported ........ Kwani Air Tanzania imepewa hela mara ngapi na bado ikashindwa kusimama, na manadhani Precision Air ikifa hali usafiri itakuaje...... msijisahau na Fast jet kampuni ambayo ina ofisi za sale tu hapa kwetu na tunajisikia confortable kuwamilikisha anga letu huu ni upuuzi first class......

Akili zikizidi sometimes zinageuka ujinga like serious yaani..... toeni support kwa mashirika yenu ili nanyie muwe na lakuongea huko njee acheni ushabiki wakijinga!!
 
When TIPER and UDA went under nobody talked about bail out. Let PW go under! You can't bailout incompetent organizations like this one. It's not fair to the taxpayers
 
Naona wengi mnaongozwa na hisia mpaka mnasahau kua ni wajibu wa serekali kusaidia mashirika binafsi yenye mchango kwenye uchumi wataifa.....ni jambo la kawaida kabisa!!! ila kwasababu mmekaa kukosoa kosoa all the time mna miss hata positive things that should be supported ........ Kwani Air Tanzania imepewa hela mara ngapi na bado ikashindwa kusimama, na manadhani Precision Air ikifa hali usafiri itakuaje...... msijisahau na Fast jet kampuni ambayo ina ofisi za sale tu hapa kwetu na tunajisikia confortable kuwamilikisha anga letu huu ni upuuzi first class......

!

Pole sana ndugu!
1. Mulikuwa wapi nyie wakati Pecission waniua Air Tanzania na Huku wakiibebembeleza serekali iiue Air Tanzania na Kuifanya Precion ndege ya Taifa?

2. Nilitegemea hiwe ndio wakati sasa wa Sisi wenye Hisa Air Tanzania Kulilia Precision ife na tufufue Air Tanzania.

3. Umeambiwa na nani Kampuni za ndege huwa zinapewa Anga?
 
upuuzi first class......

Akili zikizidi sometimes zinageuka ujinga like serious yaani..... toeni support kwa mashirika yenu ili nanyie muwe na lakuongea huko njee acheni ushabiki wakijinga!!

Anaglia unavyojitukana!
Yani Precision imekuwa shirika letu? Vipi wakenya si wanahisa? Serekali ya Kenya itachangia ngapi humu?
 
Kwenye mfumo wa kibepari tuliokubali, bailout kwa kampuni binafsi na pesa za umma siyo dhambi ili mradi tu kuwe na sababu na masharti mahsusi ya kuzirejesha pesa hizo.

Wakongwe wa mfumo huu (Marekani) wanayafanya haya. Huko Marekani kwenye usafiri wa anga hakuna shirika hata moja ambalo linamilikiwa au Serikali ina hisa hata moja, lakini kila yakiingia kwenye matatizo (ambayo ni ya kawaida katika biashara hii) usaidiwa - ikiwemo kwa kutumia mfumo wao wa kuwekwa chini ya uangalizi maalumu (Chapter 11).

Maoni ya mtoa mada mengine ni sahihi lakini si kweli kuwa matatizo ya Precision Air yanatokana na ushindani na hasa kutoka kwa FastJet. Kwa wale walioko katika sekta hii watakueleza kuwa wateja wengi wa FastJet siyo wale waliokuwa wateja wa Precision air. Kiukweli idadi ya wateja wake haijateteleka.

Tatizo lao kubwa ni kutokuwa makini katika uwekezaji wao na kiwango cha ukuwaji ambao haukuzingatia uwezo wa kampuni.
Mbona asisaidiwe Dr.Masau R.I.P mpakawakaharakisha kifo chake kwa kumfrustrate,au kwa sababu hili linawahusu sana kina chenge na mramba kwa karibu?
 
Anaglia unavyojitukana!
Yani Precision imekuwa shirika letu? Vipi wakenya si wanahisa? Serekali ya Kenya itachangia ngapi humu?

...kaka umesahau mashirika ya uma yalikatazwa kununua hisa ama.......usilaumu hapa ilipofikia laumu ilipoanzia..kama serekali iingekua na maono wangenunua hisa kama walivyofanya serekali ya kenya kwa KQ na leo tusingekua na mwarabu anayetaka kuwekeza kwenye shirika letu la ATC cjui kama unayaina haya tunapoelekea tunamilikisha wageni kila kitu cha msingi...tafakari
 
Back
Top Bottom