Je, ni benki gani inatoza gharama nafuu?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,461
3,210
Nimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (Savings Account) ya CRDB, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
CRDB wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia ATM.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.
 
Kibubu mkuu.
 
Jamani hata mimi sikujuwa kama kila ninapotoa hela kwenye ATM nakatwa 600/=? DUU NI HELA NYINGI KWA KWELI NA NINASHUKURU KUNIAMBIA HILO NILKUWA SIJUI
Ila sijui kwa kweli Bank inayotoa gharama nafuu zaidi ya CRDB na labda BANK YA POSTA?
 
Jaribu EXIM

Sijui wanasema kuruka nini kukanyaga nini. Mimi ni mteja wa huko unakotaka kimbilia, kwa kifupi ni Hatari hata hivyo kuna faida tuanze na hizo

FAIDA:
1. Hakuna foleni za kukera labda pale Mlimani City tena jumamosi na jumapili
2. Mwingine ataongezea

Hasara:
1. Makato kibao, ukiomba salio, uki-draw kwenye ATM, uki-draw ndani (hapa unapigwa faini pia)
2. Makato makubwa - ku-draw nafikiri ni 750/= halafu kama unataka say 400,000/= inatakiwa ulipe 1,500/= kwani unatoa ktk instalment mbili
3. Kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni hakuna huduma ya ATM services, sijui wanakuwa wanafanya nini?
4. Interest rate nafikiri ni 1.5% ukiwa na 1M and above below that hakuna
5. Service kama nakumbuka ni kama 7,500/= kwa mwezi
 
Plus, Customer care Mbovu na Ahadi Hewa na majibu mabaya kwa wateja sijapata kuona..
Nilifungua Akaunti kwenye gari lao moja hivi kwa ahadi ya kuchukulia Acc No. yangu Mlimani City..
Nikaja kwenda MC Branch baada ya wiki mbili kwa lengo la kuchukua Acc No na kudeposit, nikaambiwa Documents zangu hazijakamilika hivyo nirudi kesho yake watakuwa wamefungua Akaunti anyway..
Nilipohoji kwa nini sikutaarifiwa kwa njia ya simu kupitia namba nilizoambatanisha nikajibiwa kuwa nishukuru wamekubali kunifungulia pamoja na hayo mapungufu, hivyo nirudi kesho yake nitapewa Acc No yangu,,,,
Niliapa kutokukanyaga pale milele.

Kumbe pamoja na madhaifu hayo, bado wana makato makubwa hivyo?
Thanks for sharing.
 
Hivi Benki kwanini wanatoza pesa kwa kuweka pesa..?

Nchi nyingine mfano UK.., ukiweka pesa unapewa pesa (interest) na sio kutozwa..
After all Ukiweka pesa benki wanakopesha wengine hivyo wanaifanyia biashara na kupata faida inabidi hio faida wakupe na wewe..

Inabidi kuwa na kitengo cha Consumer Care (ili kibane mabenki na kuepuka huu wizi wa mchana kweupe)
 
Nimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (Savings Account) ya CRDB, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
CRDB wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia ATM.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.

Nenda pale "BB"(BARCLAYS BANK), Management sasa imekuwa serious na wateja, hakuna hayo "Mazingaombwe''
 
Kwangu wakikata patachimbika.

Labda kama hauna hela au unaweka hela zako chini ya godoro, lakini kama unapeleka hela zako benki lazima tu jamaa watakuwa wanachukua chao mapema. Nenda kachukue statement yako mkuu uangalie wanavyo kuchinja kila ukchukua hela na kila mwisho wa mwezi.
 
3. Kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni hakuna huduma ya ATM services, sijui wanakuwa wanafanya nini?

Mida hiyo nadhani wanakuwa wanafanya end of day kwenye system, itakuwa inatoka kwa benki nyingi hii kitu.
 
Hivi Benki kwanini wanatoza pesa kwa kuweka pesa..?

Nchi nyingine mfano UK.., ukiweka pesa unapewa pesa (interest) na sio kutozwa..
After all Ukiweka pesa benki wanakopesha wengine hivyo wanaifanyia biashara na kupata faida inabidi hio faida wakupe na wewe..

Inabidi kuwa na kitengo cha Consumer Care (ili kibane mabenki na kuepuka huu wizi wa mchana kweupe)

Hata hapa bongo zipo benki nyingi ambazo ukiweka pesa hata kwenye account ya Savings kawaida kila muda fulani unapata interest.

Tatizo lenu mmeshazoea benki zenu hizo 3.
 
Sasa si ndo ufunguke uzitaje..na ndio lengo la thread..

Halafu hawa BOT si ndio kaz yao kudhibiti hiz gharama.
 
nimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (savings account) ya crdb, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
Crdb wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia atm.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.
usipate taabu.. Nenda first national bank upate savings akaunt ya ukweli. Yaani mimi hawajawahi kunikata hela yoyote wakati natoa ua kuweka. Hakuna cha monthly charges wala nn na wananiwekea faida(interest) ya kuanzia asilimia 6 nikiwa na shs 50,000 na kuendelea kwenye akaunt. Yaani huwa zinaongezeka tu... Try and u will see.. I advise u
 
Sasa si ndo ufunguke uzitaje..na ndio lengo la thread..

Halafu hawa BOT si ndio kaz yao kudhibiti hiz gharama.

Sio kazi ya BOT kudhibiti gharama zinazotozwa na mabenki.

BOT wanachofanya ni kuweka uwanja huria mabenki yaje yashindane.

Kazi yao kubwa ni kuyaangalia mabenki ku minimize RISK ili kile kidogo cha wananchi kisipotee.

Kama wewe ume sign mkataba wa kufungua account ukakubaliana kwamba tariffs zinaweza kubadilika wakati wowote bila notice hapo msaada gani tena tukupe mamdogo?
 
Ahsante ze enclopedia! Ila naomba ufafanuzi kidogo kuhusu:
i) mahali yalipo matawi; ikiwemo kama wana matawi mikoani;
ii) je nitapata wapi wadhamini kwa kuwa benki nyingi zinahitaji wadhamini na mimi sifahamiani na mteja yeyote, kumbuka watu wengi hawapo tayari kuadhamini watu wasiowajua kwa kuwa wezi ni weng.
Naomba maoni juu ya benki zingine
 
Sijui wanasema kuruka nini kukanyaga nini. Mimi ni mteja wa huko unakotaka kimbilia, kwa kifupi ni Hatari hata hivyo kuna faida tuanze na hizo

FAIDA:
1. Hakuna foleni za kukera labda pale Mlimani City tena jumamosi na jumapili
2. Mwingine ataongezea

Hasara:
1. Makato kibao, ukiomba salio, uki-draw kwenye ATM, uki-draw ndani (hapa unapigwa faini pia)
2. Makato makubwa - ku-draw nafikiri ni 750/= halafu kama unataka say 400,000/= inatakiwa ulipe 1,500/= kwani unatoa ktk instalment mbili
3. Kuanzia saa 11 hadi saa 1 jioni hakuna huduma ya ATM services, sijui wanakuwa wanafanya nini?
4. Interest rate nafikiri ni 1.5% ukiwa na 1M and above below that hakuna
5. Service kama nakumbuka ni kama 7,500/= kwa mwezi

Mkuu hii siyo kweli hata kidogo. Nafikiri unaongelea Benki nyingine na si Exim Bank. Katika benki ambazo gharama ya kuwa na akaunti huko ni karibu na bure Exim ni mojawapo. Mimi ni mteja wao pia. Hata kwenye website yao inasomeka kama ifuatavyo:

Faida account is a saving account that counts, it comes with:

• International debt Master card
• Free ATM withdrawal charges
• Free accident death insurance coverage of TSH 1 million
• Free online bank statement
• Free SMS Banking
 
Back
Top Bottom