Nimekuwa nikitumia akaunti ya kawaida (Savings Account) ya CRDB, kwa sasa naona gharama zimezidi na hata sioni umuhimu wa kuwa na akaunti benki.
CRDB wanatoza 1,000/- kama gharama za kuendesha akaunti kwa mwezi na 600/- kwa kila ninapotoa hela kupitia ATM.
Naomba kujua benki gani inatoza gharama nafuu, maana nahisi nanyonywa.