Hahahahhah unadhani kila anayetetea anaingia chuo mwaka huu? Kweli bure kabisa wewe, nimemaliza chuo miaka minne iliyopita kijana na pia unajitekenya na kucheka mwenyewe hivi usome PCB halafu ukasome Political Science?! Kawadanganye waliokimbia umande...tena unaongea kwa kujiamini kabisa eti tuliosoma PCB tukapata A,B,C aahahahahahhaha... pili unanishangaza sana kama Kweli umesoma basi elimu haijakukomboa, hivi unajiona kabisa kwa ushauri uliotoa hapo awali ni wa msomi?! Shame on you umetingwa basi unaona kila kitu cha kuongea, mie sio kihiyo kama wewe...ungesoma science usingekuwa hivyo ila inaelekea ulitamani kusoma science ila uwezo wako ulikuwa mdogo ukakimbilia arts na PSPA yako