Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

Sikieni nyie mbona mnabisha kitu ambacho kipo wazi kuna tofauti ya miaka ya kumaliza pale someni vizuri afu wa 2016 mwenye DE ,AE,CE,BE,haendi popote labda upige diploma na huko wamekaza ila mwenye DD,AA,BB,CC huyo anakwenda chuo kakizi vigezo sasa wewe baki unashangaa shilingi inazama afu meli inaelea......!
Haya soma HIyo attachment alf uelwe kwamba Principle pass inaanzia E lkn MWAKA huu unatakiwa ufikishe 4.0 CUTOFF POINT so read carefully
 

Attachments

  • 13645219_564203160432459_8540869568057288002_n.jpg
    13645219_564203160432459_8540869568057288002_n.jpg
    48.9 KB · Views: 42
Yan kwa mfano umepata 1.5 form na unataka kusoma sheria ili uchaguliwe wanaangalia na matokeo yako ya form 4 kama ulifanya VP
 
Hebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...
Umeongea ukweli mkuu....watu guide book yao ni JF.
 
Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
Science kwa ufaulu huo unaenda, achana na failures wanaokurupuka kuponda matokeo ya watu kwa kusema eti umefeli ukasome diploma... ukichunguza wanaoponda utakuta kaishia form four au ana kacertificate kake au kadiploma hivyo roho zinawauma...soma vizuri guidebook kuna kozi nyingi tu za science unaweza apply na ukapata...
Kwanini watanzania hampendi kusoma mpaka muombe ushauri muishie kukatishwa tamaa na maneno ya waliofeli?! Kitabu kipo free kwenye website ya TCU kuna ugumu gani kuisoma ukaelewa na kufanyia kazi?? Nimepitia threads nyingi za wadogo zangu wanaomba ushauri tena wamefaulu ila wakufeli wanawatia kapuni kwa ushauri wa kipuuzi na inatia hasira...Kitabu kipo buuuure kabisa ila wanafunzi hamjiongezi kwa kusoma
 
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...

TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0

Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............

nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....

HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI

Website ya TCU imeonyesha hivyo ulivyoandika si mitandao ya kijamii
 
Umeongea ukweli mkuu....watu guide book yao ni JF.
Kabisa inatia hasira mtu anaropoka jambo la kipuuzi..mie sio mwanafunzi lakini nimeipitia guidebook yao vizuri na nikaielewa ipasavyo..mtu anakuja na kusema E sio principal mara ni masomo mawili tu uwe na DD... ukisoma guidebook kuna kozi wanahitaji masomo yote matatu kikubwa uwe na cut off point 4 hivyo DEE anasoma degree vizuri Kabisa..kuna kozi zingine wanahitaji masomo mawili tu yaani uwe na DD ila cha ajabu humu wanapotoshana kupita maelezo utadhani watu hawajui Kabisa kusoma...
 
kama art ni nyepesi kaisome upate AAA
Hata kama lakini huwezi compare masomo ya science na arts wewe labda uwe mwendawazimu...kama ulisoma arts ukatungua three au four basi usidhani kila mtu ana ubongo kama wako..tatizo wanafunzi wa arts asilimia kubwa ubongo umeganda tofauti na science all the time antenna inakamata channel...
 
Haya soma HIyo attachment alf uelwe kwamba Principle pass inaanzia E lkn MWAKA huu unatakiwa ufikishe 4.0 CUTOFF POINT so read carefully
Inategemea na vigezo vya kozi husika na chuo husika! Kuna kozi wanataka walau D mbili pointi 4. Kwa hiyo lazima uvitimize vyote! Hivyo kama una pointi nne lakini huna D mbili hauendi! Kwa hiyo amgalieni masharti ya kozi husika na si cut off points tu!
 
Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
Wewe ukasomee ualimu, kwani science inataka wenye passmark ndogo?
 
kwa nini kama umesoma shule ambayo wenzako wamepata A mpaka D kwa nini wee upate EE? mna shida sana ndio wanaojifanya wanaharakati wa kisiasa mashuleni, Pia kama unazo hizo wewe nenda diploma utafanikiwa sio lazima uende moja kwa moja kwenye degree...
Hilo nalo neno japo wahusika wataona in ngumu kumeza!
 
Hata kama lakini huwezi compare masomo ya science na arts wewe labda uwe mwendawazimu...kama ulisoma arts ukatungua three au four basi usidhani kila mtu ana ubongo kama wako..tatizo wanafunzi wa arts asilimia kubwa ubongo umeganda tofauti na science all the time antenna inakamata channel...
Kama rahisi risiti arts
 
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...

TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0

Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............

nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....

HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI
Ni lini ndalichako alisema hayo?
 
Kabisa inatia hasira mtu anaropoka jambo la kipuuzi..mie sio mwanafunzi lakini nimeipitia guidebook yao vizuri na nikaielewa ipasavyo..mtu anakuja na kusema E sio principal mara ni masomo mawili tu uwe na DD... ukisoma guidebook kuna kozi wanahitaji masomo yote matatu kikubwa uwe na cut off point 4 hivyo DEE anasoma degree vizuri Kabisa..kuna kozi zingine wanahitaji masomo mawili tu yaani uwe na DD ila cha ajabu humu wanapotoshana kupita maelezo utadhani watu hawajui Kabisa kusoma...
Mbona hilo lilishatolewa ufafanuzi na TCU?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namba zinasomeka
 
Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
DEE umefeli bro....Na hata ungekua Arts ungekua umefeli tu. Yaani hujiwezi. Kasomee ufundi mchundo, acha kukimbilia kusoma degree. Utaenda kudisco bure. Level zako Ufundi mchundo na veta hko.
 
Back
Top Bottom