Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jayleoncy112, Jul 21, 2016.

 1. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #1
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...

  TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0

  Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............

  nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....

  HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI
   
 2. B

  Brahnman JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2016
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,718
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Walishatoa ufafanuzi hayo unayoyasema wewe ni sahihi kabisa,ingia tu kwe website yao kama Ndalichako analikataa hilo la E sijui labda amechanganya tu!
   
 3. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #3
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  NASIKIA ALIROPOKA KAJA KARIMJ DAR ES SALAAM
   
 4. m

  myralin New Member

  #4
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
   
 5. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #5
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  NALO WAZO LAKO TU WW USIEJIAMIN yaan TCU wameweka pale alf ww cjui unaongea nn
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2016
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,946
  Likes Received: 13,807
  Trophy Points: 280
  Jamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
  Kwanini mlazimishe
  Nendeni kwenye institutes na colleges
   
 7. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #7
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  dah hii ndo nchi yetu ila i think watachenj maamuzi yao
   
 8. B

  Brahnman JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2016
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,718
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Safari hii hakuna cha Sayansi wala Art wote kamba moja tu!!
   
 9. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #9
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  hahahaaaaaaa zama www.tcu.go.tz uangalie vigezo alf pia kweny new guiding book
   
 10. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #10
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  hivi ndalichako alisoma comb gani???
   
 11. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #11
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  chek hyo kaka
   

  Attached Files:

 12. Msafirishaji

  Msafirishaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2016
  Joined: May 28, 2016
  Messages: 1,213
  Likes Received: 1,570
  Trophy Points: 280
  Kuna guide book 2016 /2017 umetoka usiishi kwa matamko soma uelewe
   
 13. jayleoncy112

  jayleoncy112 Senior Member

  #13
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  yap nmeiona na nimeisoma na nimeielewa thats y nkasema waziri jana alifuka
   
 14. Ze Heby

  Ze Heby JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2016
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 4,104
  Likes Received: 2,293
  Trophy Points: 280
  Kuna kuteleza ulimi lakini ukweli unabaki pale pale,hauna point 4,kasome diploma
   
 15. m

  mlaba Member

  #15
  Jul 21, 2016
  Joined: Jun 2, 2016
  Messages: 36
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Hata kama ivi ila itategemea na marks za form 4
   
 16. TAECOLTD

  TAECOLTD JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2016
  Joined: Mar 2, 2013
  Messages: 834
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 180
  Hebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
  Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...
   
 17. L

  Lucky hoppe Member

  #17
  Jul 21, 2016
  Joined: Jul 17, 2016
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  we vip kasemaa hana vigezo au kasemaa tujadili kaul ya ndalichako ya kutoitambua E wakati TCU wameweka kama kigezo cha kufikia 4 point utumie akil sometme sio unakurupuka kujibu vitu visivyo na msingi

   
 18. bruno twemanye

  bruno twemanye JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2016
  Joined: May 18, 2015
  Messages: 804
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Huelewekii pole,, hivi na wewe upo chuo au familia imekuzidii
   
 19. bruno twemanye

  bruno twemanye JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2016
  Joined: May 18, 2015
  Messages: 804
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Elewa mada. ,,,au umesoma nyambari product
   
 20. j

  jingojames JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2016
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 893
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 80
  Mkuu umeongea kwa hasira!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...