jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
- Thread starter
- #21
duuuuuhKuna kuteleza ulimi lakini ukweli unabaki pale pale,hauna point 4,kasome diploma
duuuuuhKuna kuteleza ulimi lakini ukweli unabaki pale pale,hauna point 4,kasome diploma
oya form 4 inaingiaje hapo hebu tueleweshaneHata kama ivi ila itategemea na marks za form 4
daaaaah hapo sasa ndo pagumu pia ndo msaada unahitajika..........plz tueleweshe basi si unajua watu wengne hawana access ya internetHebu acheni kupotosha watu, halafu wewe unayefananisha arts na science subjects kapimwe ubongo...tatizo hamtaki kusoma guidebook 2016/2017 kuna kozi ambazo zinahitaji point 4 kwa masomo matatu yaani DEE ambazo asilimia kubwa ni science na zile za point 4 masomo mawili yani DD.. pitieni vizuri hicho kitabu na vyuo vyote mpaka mwisho na muache kupotoshana humu..
Tatizo la watanzania hawapendi kusoma bali wanapenda kusimuliwa na kuishia kudanganyana...
Hakuna cha science wala nini. wewe umefeli. kwa vigezo hivyo utaenda diploma wewe na arts wako aambapo diploma ni principle mbili kama hizo zinakubalika.Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
watu wenye roho mbaya utawaona tu..............Jamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
nadhan kamaanisha ukiwa na E flati hauendi chuoKAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...
TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0
Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............
nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....
HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI
Umetumw ww....... Au ulipt zero nn??? Mana watu wanaongea vya mana we unajib kunya.wewe kalili ndoo utaisoma no tofaushi misimu ww hii nchi sasa hivi haina ubabaishaji kama huna vigezo na unabipu acha kutupa gharama bure ww
Saw mzaz..... UmesomekJamani nyie si mshaambiwa hamuendi university
Kwanini mlazimishe
Nendeni kwenye institutes na colleges
dah hii ndo nchi yetu ila i think *watachenj maamuzi yao
Acha kudanganya wewe, soma vizuri guidebook utaelewa unatema pumba...watanzania ni wapuuzi sana na kujifanya kila kitu mnajua ilihali hamjui...eti hakuna cha science wala arts?? Kasome vizuri ndio utajua umetema pumbaHakuna cha science wala nini. wewe umefeli. kwa vigezo hivyo utaenda diploma wewe na arts wako aambapo diploma ni principle mbili kama hizo zinakubalika.
perfect combohivi ndalichako alisoma comb gani???
perfect combohivi ndalichako alisoma comb gani???
chek hyo kaka
perfect combo
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...
TCU walisema mtu akiwa na AE,BE,CE,DD...ambazo zina point 4.0
Ukweli ni kwamba sina uhakika kwamba hawawasiliani ila waziri itakua hajaona hivyo vigezo coz mpk sasa hamna habari au taarifa yoyote kuhusu hicho kitu ila ni kwenye FACEBOOK,WHATSAPP na kwingine..............
nnauhakika woote wenye 4.0 wanaenda chuo....
HEBU TUBADILISHANE MAWAZO HAPA WADAU WA ELIMU,WANAFUNZI na WENGINEO............PIA TCU TUNAOMBA MTOE UFAFANUZI KAMILI
Nendeni VETA nafasi zipo!Sasa sisi wa science wth d E E inakuaje maana huez kufananisha arts na science subjects na ata na ivyo grades zimepandishwa tutaenda wapi
poa bwana nguzo*Wata change
HUJAELEWA MADA pia inaonekana umesoma shule za PRIVATE tangu NURSAR ndo maana walopoka U don know anything about shule THINK BIG kwann hata BILL GATES alipata LOW................kwa nini kama umesoma shule ambayo wenzako wamepata A mpaka D kwa nini wee upate EE? mna shida sana ndio wanaojifanya wanaharakati wa kisiasa mashuleni, Pia kama unazo hizo wewe nenda diploma utafanikiwa sio lazima uende moja kwa moja kwenye degree...