beautiful princess
Member
- Jan 15, 2018
- 79
- 97
- Thread starter
- #141
Family yng inadai nifuate hakiWazazi wako wanasemaje juu ya hili?
Family yng inadai nifuate hakiWazazi wako wanasemaje juu ya hili?
hahahahahaaa asanteNIMEPENDA avatar yako
Najishughulisha na nin wakat huo cna mtaj?Tafuta nauli urudi nyumbani kwenu, lea mtoto mwaka na nusu huku ukijishughulisha halafu rudi shule
Najishughulisha na nin wakat huo cna mtaj?
Haki gani utapata kwa mwanaume asiejali asie na utu? Rudi kwenu omba msaada kwenu wazazi na ndugu zako uendelee kusoma.hakuna jinsiFamily yng inadai nifuate haki
Asanteacha kuhangaika na kumshitaki njoo kwangu mintatunza tu
Haki gani utapata kwa mwanaume asiejali asie na utu? Rudi kwenu omba msaada kwenu wazazi na ndugu zako uendelee kusoma.hakuna jinsi
Asantehebu kesho njoo na uzi wa kuhtaji mtaji !wapo watu wazuri humu watakusaidia
Huo ni mzigo wa familia hakuna jinsiyes !hapo hakuna haki !waikubali tu hii hali
[emoji23][emoji23][emoji23] miss natafuta Wewe sio mtu mzuri kabisaaa atamtandika mtoto wa pili tena alivyo na depression [emoji26] mara anatafuta mume apo anamtoto wa miezi 6!!!! Mara anataka kusmhtaki baby daddy Yaani huyu atulie kwanza atafakari njia zake mwanzo mwisho anatamani sana kuolewa,,,,, kuzaa sio kuolewa, nakuolewa sio kuzaa ni kariri za maisha ya kiafrica tuuAcha amchukue mungu amepanga hivo
haswaaa! ni bora arudi kwao aombe msamaha maisha yaendelee !kwanza kwa age hyo wazaz hawakupaswa kumuacha aende kwa mzaz mwenzake tena !kosakubwa sana !Huo ni mzigo wa familia hakuna jinsi
Ngoja nikuambie kitu kimoja bila katulia hutaweza fanya chochote naelewa sana kuzaa na usichana najua ulitegemea mengi ukitegemea Umri wako maisha ya chuo etc,. Tulia kwanza alafu achana na mambo ya Wanaume Ndio wale wale! Usijalazimishie kuolewa kama ameoa iwe mtoto wake sio wake take your time, usimshitaki wala usibebe mabegi kwenda kwao, wala usikae kwa marafiki workmates wenzake bado unachukulika king'ang'anizi au ruba ,ni MOJA TUU HAPA rudi nyumbani haijalishi kwenu mnamaisha gani Omba radhi rudi shule au tafuta biashara, vibarua mama familia wakusaidie mtoto. Samehe sahau muachie mungu trust me hata kunyima riziki ya huyo mtoto
Huna haki hapo utakayoipata urizike, wanakudanganya, kwa maneno hayo wamekuambia tu upambane na hari yako.Family yng inadai nifuate haki
Huyo mwanaume anataka umpe mtt wa miezi sita?!!????Miezi6
Wewe bado ni mtoto mdogo mno..Na miaka 23
Kuna Uzi humu ulikua unatafuta mume wa kumuoa kama sikoseiWewe bado ni mtoto mdogo mno..
Kama kuna msukumo nyumbani waombe wakusamehe wakusaidie uende shuleni..na kuhusu mjukuu waombe wazazi/walezi wako wazungumze na wazazi wa upande wa pili kupata suluhisho la busara. Usilazimishwe kuolewe ..kwa sababu yoyote.