Je, nahitaji kibali kumiliki silaha hii?

aisee vibaka wameamka....wanajiandaa na klismasi.....hiyo silaha tupeane mchongo....sidhani kama kuna kibali....ngoja tuwaulize wa vitengo....ntakuja na jibu....naihitaji na mimi....iko kisasa mno.......halamu kuna wale washenzi wa shambani hii ni tishio kwao...
 
Yeye ndiyo fani yake yaani yuko kazini na anatoa ajira nyingi sana kuliko wewe, kuua ni baada ya mahakama kuthibitisha kosa. Zipo sheria na haki zinazomlinda huyo unayedhania ni mhalifu, siku ukikutana na anayezijua sheria utajikuta wewe ndiye mtuhumiwa.
Nimesoma zaidi ya mara tatu sijakuelewa labda urudie tena, sijaelewa marehem anawezaje kujua sheria? Lakini pia naamini kuna sheria inayonipa kinga ya kujilinda, wakati trespass inapofanyika. Yaani upande ukuta, uje uvunje mlango bado uwe na sheria inayokulinda? Hii sheria inatumika ile nchi ya kusadikika ambayo pande zote imepakana na upepo
Mkuu utaratibu wa kupata teaser ukoje?
Hiyo unanua kawaida mkuu ila nimepita Tanganyika arms zikawa zimeisha, niko kwenye uharaka wa kupata kitu ya kukabiliana na hawa jamaa, tayari nimechonga sword moja matata sana. Na kwa kuwa madirisha yangu ni nondo nimeniandaa siku wakirudi wakishakata kwa mara ya kwanza nikistuka tu naenda kumsubiri yule kielele wa kwanza kuingia lazima nimlaze chali.mamaye.
 
Hii kitu nayo nahitaji kibali kwa maana ya licence to carry or licence to own. Wazee wa kamati ya ulinzi na usalama tukumbudhane, nataka kuagiza kwa mchina, manake majuzi vibaka wameua mbwa wangu na wakaingia uani na kukata dirisha, bahati madifisha yangu sikutumia flat bar bali nondo, hivo wakati wanakata nondo ya kwanza nikastuka kuchungulia nikaona wajinga wawili wako nje wamevaa vichupi tu.

Bahati mbaya ndani nina panga tu. Nikapuliza filimbi wakakimbia. Lkn ningekuwa na hii kitu ningewamwaga wote kimya kimya.

View attachment 1994252
Mkuu ukifanikiwa nami nijuze wajuba wanatutesa mtaani
 
Nimesoma zaidi ya mara tatu sijakuelewa labda urudie tena, sijaelewa marehem anawezaje kujua sheria? Lakini pia naamini kuna sheria inayonipa kinga ya kujilinda, wakati trespass inapofanyika. Yaani upande ukuta, uje uvunje mlango bado uwe na sheria inayokulinda? Hii sheria inatumika ile nchi ya kusadikika ambayo pande zote imepakana na upepo

Hiyo unanua kawaida mkuu ila nimepita Tanganyika arms zikawa zimeisha, niko kwenye uharaka wa kupata kitu ya kukabiliana na hawa jamaa, tayari nimechonga sword moja matata sana. Na kwa kuwa madirisha yangu ni nondo nimeniandaa siku wakirudi wakishakata kwa mara ya kwanza nikistuka tu naenda kumsubiri yule kielele wa kwanza kuingia lazima nimlaze chali.mamaye.
Mwizi hauawi unatakiwa umkamate ili uwepo ushahidi kuwa alitaka kukuibia au ni mgoni wako tu.
Taratibu utanielewa.
 
Mwizi hauawi unatakiwa umkamate ili uwepo ushahidi kuwa alitaka kukuibia au ni mgoni wako tu.
Taratibu utanielewa.
Hizo siasa zako zidumishe huko kwako mkuu, mm namalizana naye. Naonakuna vitu unaviongea huvielewi. Mgoni aje ucku aruke ukute, avunje mlango nk. MGONI wa hivo namtanguliza kwa sir God wala siulizi mara mbili. Mimi si wa hivo inapofikia mahali nimenunua smart tv hujui nimehustle vipi, au Ki IST changu alafu wewe unakuja unang'ong'oa kila kitu eti kuna sheria my foot. Nakulaza sekunde. Labda usiingie kwenye anga zangu ngoja nipate hiyo kitu
 
Mwizi hauawi unatakiwa umkamate ili uwepo ushahidi kuwa alitaka kukuibia au ni mgoni wako tu.
Taratibu utanielewa.
Nathibitisha kua we Ni kolo..jichanganye kwa watu ujazwe risasi za makalio kwa excuse ya kua mwizi Ana haki zake...maeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom