Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Nimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali?
Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.
Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?