Je, Mwendazake hakupata kuyajua haya?

Je, Mwendazake hakupata kuyajua haya?

Yeye ndiye alikuwa master mind wa hiyo michezo michafu ndio maana akaminya Uhuru wa habari ili madudu yake yasipate kujulikana
 
Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya

Baniani mbaya kiatu chake dawa

Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli[emoji120]

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji3531]
Mazuri yake yamesemwa sana katika vipindi vya TBC "Kishindo cha awamu ya 5".

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya

Baniani mbaya kiatu chake dawa

Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli[emoji120]

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji3531]
Acha mapambio mtu huvuna alichopanda
 
Majambazi wenzake ukiangalia teuzi zake za sector muhimu aliwaweka watu anaowajua in and out ili apige deal zake vizuri. Walitumbuliwa wale waliopiga bila ya kuwa na baraka kutoka kwake.
Kama like liwaziri la madini kalitoa Geita limekaa kipigaji
 
Nimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali? Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.

Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?
Tamisemi wameumiza sana watumishi katika uhamisho, wamepiga sana kwa tiketi ya kusitisha uhamisho mpaka kibali.Wenye hela tu ndio walihama.Sijui Jafo analijua hilo!!
 
1617098754070.png
 
mnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.

Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......

jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.

mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Hawa watu tuwaonee tu huruma
 
Hawa ndio waliodhibiti rushwa kwenye serikali ya Wanyonge, hapa inasemekana ni nyumbani kwa kiongozi wa taasisi ya kiserikali kwenye nchi ya Wanyonge, hili haliwezi kuzungumzwa wala kusemwa popote na wazalendo wa CCM. Ukitaja mambo kama haya utatukanwa
1617098939711.png
 
View attachment 1738613
Makada gani hao walikua wanagawana fedha za walipa kodi
 
mnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.

Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......

jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.

mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
CAG ameonyesha kuna ubadhilifu wa 3.6B

Pesa aliyokutwa nayo inagonga 3.7B

So uchuguzi wa CAG ni wa ndani ya mwezi huu baada ya kifo cha Rais na DG wa TPA akaiba 3B+ huku akijua CAG atakuja kuchunguza?
 
Back
Top Bottom