neyfento
Senior Member
- Mar 24, 2020
- 130
- 311
Yaan ningepewa rungu miaka10 ndan bla kusklza kesi zao akili iweweseke kwanza wajue mitaa inaptia nn, hakuna kubembelezanaMtaani Kuna chalii kaiba kuku kapigwa miaka 30 jela, hao wazee waliopiga 3B na hao wa 180B had sahiv wako mtaan tu kweli dunia haina usawa hii shenz kabisa