mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,456
- 36,471
Hapo ndo napowapendea watanzania kwenye mambo ya msingi tunaongea lugha moja.
Tanzania ndio mama yetu na baba yetu mkuu
Hapo ndo napowapendea watanzania kwenye mambo ya msingi tunaongea lugha moja.
Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️
Angalau mlibahatika nyie Wa hiyo kanda kupata vyeo,kwani kigwangala ni wachato mkuu,au kange lugola,au Wilson mahera .alichoangalia yeye unatoka kanda pendwa.Kanda ya ziwa kweli [emoji780]. Sema Chato . Kanda ya ziwa imebeba Kagera, Mara , Simiyu, Shinyanga, Mwanza na Geita.
Odhis *
Wewe mwenyewe marehemu usiyekua hata na mzikajiWalking corpus huna unalojua sheinzy
mnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Tulia kwanza hiyo miradi yake ya matrillion ianze kuchunguzwa ndo tutajua. Anyway, hivi ile Trillion 1.5 iko wapi?mnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Sasa mwanamke gani atakubali kuwa na mwanamke mwenzie tena asiyejiewa kama weweSina mwanamke takataka kama wewe.
Kajiuze Barabarani ng'ombe wewe.
Njoo tukupunguze hizo nyege we Bibi Bomba inaonesha hufikishwi kibo.
Nimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali? Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.
Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?
Nimeuliza tu ndugu mjumbeHebu kuwa mzalendo mkuu...marehemu hasemwi
Hakuyajua haya?Rushwa ilikuwa kubwa sana yani ..kuzuia uhamisho wa watumishi tu kulitengeneza rushwa kubwa sana paleTAMISEMI
Wasukuma hawakuguswa kabisa kwenye ule utawala mfano MTU kama Andrew Chenge asingekua msukuma yan angekua kama mchaga mpare mhehe mhaya kwa maovu aliofanya angekoma angekua ndani kama malinzi !!! Hata hao wasukuma akina kakoko na wenzie walitunzwa na utawalamnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Ngoja siku ukute namtatua kisamvu bwana wako ndio utajua hujui.
Kichwa Kama embe bolibo bichi pumbavu.
Tangu Magufuli kafa mataga mmekuwa Kama vichaa mbwa wewe, kafanye kazi hayawani mkubwa wewe.
Kwanini unanishambulia mimi na sio kujibu hoja? kwanini tusitumie tu common sense? Jibu hoja haya mambo ya mimi kurogwa tuyaache kwanguAliyekuroga ni wewe mwenyewe kwa imani yako kwa yale yanayokupendeza wewe binafsi
Wacha kazi iendelee, tutaelewana tuu
Huna hoja mbona😅😅Kwanini unanishambulia mimi na sio kujibu hoja? kwanini tusitumie tu common sense? Jibu hoja haya mambo ya mimi kurogwa tuyaache kwangu
All animals are equal but others are.....!!! Animal farmNimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali? Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.
Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?
Kutokua na hoija hakukufanyi unishambulie kwa kuniita mnafiki, muongo na hayo mengine!!Huna hoja mbona😅😅
Makamu wa Rais atashughulika nae, maana wakati wa yale makontena ya walimu alimvimbia sana!!Bado Makonda nahisi nae akifanyiwa uchunguzi kuna madudu mengi ndani yake.
Majambazi wenzake ukiangalia teuzi zake za sector muhimu aliwaweka watu anaowajua in and out ili apige deal zake vizuri. Walitumbuliwa wale waliopiga bila ya kuwa na baraka kutoka kwake.Nimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali? Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.
Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?
Umesahau trilion 11.5,zilizopelejea Assad kutolewamnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.