mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Umesahau 2.4 trilion iliyopotea bila majibu
majibu yake yapo,sema hukuyapenda.
Umesahau 2.4 trilion iliyopotea bila majibu
Duh hakika wewe ni mubishisasa hatuiti wizi huo,hata kiingereza cha aina hiyo ya matumizi hakitajwi kama wizi.
Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbayamnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Mama D . Mabaya hufunika mazuriWanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli[emoji120]
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji3531]
Sikuwahi kusikia akisema rushwa na ufisadi vimeisha; badala yake, just last year, aliwashangaa TAKUKURU wanaweza kuidhibiti rushwa ilhali wao wenyewe wana harufu ya rushwa!??? Je JPM alitangaza kusitisha ile huduma bora ya tumbuatumbua!??? Hilo nalo hamkusikia!??? Tunapolaumu, tufanye hivyo kwa akili, sawa!???alikua anajua na hao ni vijana wake walikua wanafata maelekezo yake.
Mabaya yapi? Hivi unafiki na chuki ni kuuliza? Kumbuka alikua Kiongozi na hakua mtu binafsi? Kwanini tukihoji tuitwe Wanafiki? Kwanini tusijibu hoja kwa hoja? Mimi nimeuliza, je hakuyajua haya? ndio swali langu, sasa haya mambo ya kuitana wanafiki na roho mbaya yanatoka wapi?Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️
Naijua lakini siamini kwenye hiyo na nina sababuMama D . Mabaya hufunika mazuri
Ni kanuni tu ya maisha
Odhis *
Heri yenu nyie kanda ya ziwa MNA mazuri ya kumwandika marehemu,huku kaskazini hatuna mazuri ya kumuenzi,huku mpaka shule za kusaidia mayatima sirikali ilipita na hela za wafadhili wao.Wanaomsema Hayati kwa mabaya pekee bila kuyaona mazuri yake ni wanafki, wenye chuki, ubinafsi na roho mbaya
Baniani mbaya kiatu chake dawa
Pumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️
Mabaya yapi? Hivi unafiki na chuki ni kuuliza? Kumbuka alikua Kiongozi na hakua mtu binafsi? Kwanini tukihoji tuitwe Wanafiki? Kwanini tusijibu hoja kwa hoja? Mimi nimeuliza, je hakuyajua haya? ndio swali langu, sasa haya mambo ya kuitana wanafiki na roho mbaya yanatoka wapi?
Heri yenu nyie kanda ya ziwa MNA mazuri ya kumwandika marehemu,huku kaskazini hatuna mazuri ya kumuenzi,huku mpaka shule za kusaidia mayatima sirikali ilipita na hela za wafadhili wao.
Kwanini useme nauliza kwa chuki na wewe haujibu kwa chuki? Tujibu hoja tuache kushambulia watoa hoja. Chuki ya nini? Kwahio kila anayehoji ana chuki? Sijui nani katurogaSio chuki tuu, unauliza kwa chuki kuu
Naomba niishie hapo
Kanda ya ziwa kweli [emoji780]. Sema Chato . Kanda ya ziwa imebeba Kagera, Mara , Simiyu, Shinyanga, Mwanza na Geita.Heri yenu nyie kanda ya ziwa MNA mazuri ya kumwandika marehemu,huku kaskazini hatuna mazuri ya kumuenzi,huku mpaka shule za kusaidia mayatima sirikali ilipita na hela za wafadhili wao.
Nina imani na Madam prezida,Mungu atupe maisha marefu.Tutaelewana tuu mkuu, tena kabla ya huu mwaka kupinduka
Tuombeane tuu uzima
Kwanini useme nauliza kwa chuki na wewe haujibu kwa chuki? Tujibu hoja tuache kushambulia watoa hoja. Chuki ya nini? Kwahio kila anayehoji ana chuki? Sijui nani katuroga
Sote tuna imani nae mkuuNina imani na Madam prezida,Mungu atupe maisha marefu.
Umesahau tembo walivyokua wanapukutika kwa kasi ya 5G, madini ndo usiseme.... Sema watz hatuna shukrani tusharogwagamnaandika sana mpaka mnaharibu sasa.
Escrow 360bln
richmond 250 ml/24hrs
EPA.......
jamaa yetu wa bandari kashikwa na 3.4bln,baada tu ya mzee kufariki,na wale jamaa walitaka kuhepa na 180bln baada ya mzee kufariki.
meko ataendelea kibaki na sifa kwamba hakuwa kiongozi wa kulea ujinga ujinga,hata iweje.
mpaka sasa swala linalomake sense ni la ATL peke yake,ambalo napo aliambiwa mapema tu.
Rushwa ilikuwa kubwa sana yani ..kuzuia uhamisho wa watumishi tu kulitengeneza rushwa kubwa sana paleTAMISEMINimejiuliza tu kwa wema na sio kwa ubaya.
Inawezakanaje mtu ambaye alikua anasikiliza hadi simu za watu na kujua yanayozungmzwa akakubali kudanganywa juu ya Ufisadi uliotamalaki kila mahali? Nilipata kusema kuwa, Rushwa ya kipindi hiki cha "Mitano tena" ilikua kubwa na ya wazi wazi kuliko kipindi chochote kile. Mifano iko mingi sana ila waliochukuliwa hatua huenda walihukumiwa based on ukabila, ukanda na uchama.
Na kama aliyajua haya, kwanini hakuwahi kuwachukulia hatua?
Hapo ndo napowapendea watanzania kwenye mambo ya msingi tunaongea lugha moja.Sote tuna imani nae mkuu
Mungu atupe maisha marefu sote🙏