Mada imenigusa sana! Me mwenyewe kama mwezi hivi umepita nimeng'oa girl pale ambiance club,kwa mazingira niliyomkamatia japokuwa ilikuwa ni ndani club but inaonyesha anauza nyapu! Tangu that day yule binti ananicall sana and anasema ananipenda sana,huwa ananipipigia simu ananipa niongee na marafiki zake! Siku hizi hata hela haniombi. Ni kama wiki imepita aliniambia anataka 2kachek ngoma coz amechoka kutumia ndomu nami! Me sina girl permanent bado,nipo kwangu naish alone! Sasa najiuliza if the girl can be trusted and naweza ishi naye ikiwezekana 4ever?? Mtoto yupo vizuri sana,hata age yake bado ndogo kama 20 yrs hv