Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

josewatano

Member
Sep 20, 2011
65
25
Mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara
 
...malaya anawezaje kuwa mke wajameni?

....hamkomi tu hadi mnakuta wake zenu "vitandani" na marafiki zenu?na mnajua wazi mliwakuta wapi...!
 
Inawezekana na wanatulia sana.nlishashuhudia. Jamaa kamuoa changudoa doa walienda kupima wakakuta wote wapo fit wakaoana.na sasa hivi wanawatoto wawili kwa sasa tunamuita mama dullah na heshima na utii mia
 
Kama huo umalaya anafanya kama KAZI, anaweza kbs kuwa mke mwema...... Wanawake wanaojiuza Red Light Street - Amsterdam na Rotterdam na kidogo Enschede some of them I am told are married....... Ile ni kazi tu km zingine.....
 
Mada imenigusa sana! Me mwenyewe kama mwezi hivi umepita nimeng'oa girl pale ambiance club,kwa mazingira niliyomkamatia japokuwa ilikuwa ni ndani club but inaonyesha anauza nyapu! Tangu that day yule binti ananicall sana and anasema ananipenda sana,huwa ananipipigia simu ananipa niongee na marafiki zake! Siku hizi hata hela haniombi.

Ni kama wiki imepita aliniambia anataka 2kachek ngoma coz amechoka kutumia ndomu nami! Me sina girl permanent bado,nipo kwangu naish alone! Sasa najiuliza if the girl can be trusted and naweza ishi naye ikiwezekana 4ever?? Mtoto yupo vizuri sana,hata age yake bado ndogo kama 20 yrs hv
 
Mada imenigusa sana! Me mwenyewe kama mwezi hivi umepita nimeng'oa girl pale ambiance club,kwa mazingira niliyomkamatia japokuwa ilikuwa ni ndani club but inaonyesha anauza nyapu! Tangu that day yule binti ananicall sana and anasema ananipenda sana,huwa ananipipigia simu ananipa niongee na marafiki zake! Siku hizi hata hela haniombi. Ni kama wiki imepita aliniambia anataka 2kachek ngoma coz amechoka kutumia ndomu nami! Me sina girl permanent bado,nipo kwangu naish alone! Sasa najiuliza if the girl can be trusted and naweza ishi naye ikiwezekana 4ever?? Mtoto yupo vizuri sana,hata age yake bado ndogo kama 20 yrs hv

Sio wote walio club ni malaya. Hizi ni fikra potofu kweli kweli. Wadada na wakaka huenda kclubs kujiburudisha japo clubs zinaweza kuwa mawindo ya malaya halisi pia.

Point ni kwamba unaweza kuoa demu malaya bila shida na akatulia ila Subconciously utakuwa unajua anaendelea na umalaya hata kama ameacha . Tatizo litakuja miaka kumi kumi natano hivi atakapofanya kosa la kukumkumbusha alikuwa malaya. Unaweza kuguess what will l follow without much a do.
 
Tatizo la hawa wanaojiuza iwe kwa mapenzi au dhiki they end up being mentally hill. Wengi tu wanatumia madawa ya kulevya (hata walio developed countries) ili waweze kuhudumua number of men per day, wengine ni walevi kupindukia. Kwa hiyo akili kichwani.
 
Hebu tuambie kwanza vigezo vya mke mwema ni vipi, halafu ndo tunaweza kujadili. Binafsi mimi sivijui.
 
mada ni hivi kweli upo uwezekano wa malaya anayejiuza akawa mke mwema zaidi ya yule mwanamke ambaye hajawahi fanya hiyo biashara

Hapa nadhani hjaliweka sawa au mimi sijaelewa maana ya kujiuza
kama ninavyoelewa mimi kujiuza ni ile hali ya kutoa mwili wako ili upate upendeleo (favor) kama fedha, gari, simu, kazi, bia nk
hivyo sijui wewe unamziungumzia nini hashwa!!

ila ukimchunguza bata humli!!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom