Je, Mungu yupo au hayupo?

Je, Mungu yupo au hayupo?

mimi siamini kuwa Mungu yupo,nataka aniaminishe kuwa huyo jamaa yupo ili nami nimwamini. Tombanebhe
😅😅😅 oledokha mpaka kokanisa! Ole na ghishimbebhe! Tulia waje wakusawe nywanoko!
 
Ukichunguza wanaosema hakuna Mungu, wengi wao huwa hawakufanikiwa matakwa yao ambayo walitamani Mungu awafanyie au alifanyie taifa lao na ndugu zao. Kwa kukata taamaa kwao huamua kusema hakuna Mungu... mfano Baba yenu Clemence Mwandambo..
Mimi Naamini Mungu yupo na sina hasara kuamini hivi maana nitamkuta na nisipomkuta sitapungukiwa kitu.
 
Umeandika kitoto Sana mzee, Yani unaamini kabisa atheist tuna changamoto Fulani hivi au sio!? Ok tufanye upo sahihi, je wewe muamini huna changamoto yoyote maisha haya? Je nawew ni atheist
 
Njoo hapa unithibitishie kuwa mungu hayupo kwa hoja zako nami nitazijibu kishupavu. Ila kwanza pitia haya maelezo machacge hapa chini. Soma ikiwa tu una uelewa kidogo kuhusu quantum physics, ikiwa Huna uelewa basi pita huu uzi uache, kasome kwanza quantum physics, kisha rudi siku nyingine, maana utaleta haja za kitoto.

Watu wengi leo wanaosema mungu hayupo wanatumia hoja za kisayansi ambazo nyingi zimebase kwenye quantum physics, hapa utakutana na relativity theory ya Einstein, special and general theory of relativity.

Binadam wanataka wanataka kumjudge Mungu kwa kutumia laws za universe, yaani gravity, time, quantum fields, au thermodynamics.

Lakini swali la kwanza la kujiuliza ni hili:

Sayansi inabase kwenye Matter, Energy,Space, Time.
Lakini classical definition ya Mungu ni:
" The cause of space, time, matter, and energy" Mungu ndiye kaumba kila kitu, kaumba space, time, matter and energy.

Kwahiyo logically:
Kama Mungu ndiye chanzo cha space na time, huwezi kumpima kwa tools zinazotegemea space na time.

Ni sawa na kutumia thermometer kupima muda.😅

Tunazo laws na principles kwenye quantum physics ambazo haziwezi kuvunjwa, I agree with that.
Lakini...?
Why is the universe mathematically structured?
Kwa nini ina obey consistent laws?
That itself is mysterious.

Kuna deep rational structure nyuma ya reality.
Quantum Physics haimuondoi Mungu
Quantum mechanics inaonyesha:
-Reality at small scales is probabilistic
-Particles behave like waves
-Observer effect exists
-Vacuum is not empty — it has quantum fluctuations.

Kwa kutumia Quantum Physics pamoja na theology, naweza kujibu maswali haya kutoka kwa Atheists wote ambao wanaamini sayansi na wanaamini, there's no God.

👆🏼👉🏿MUNGU ALIKUWA WAPI KABLA HAJAUMBA ULIMWENGU, NA YUPO WAPI KWA SASA?
Hapa nitumie English kidogo, to say "where was God before" ni swali ambalo Halina maana, kwa sababu: "where" (wapi) haikuwepo kabla dunia (space) kuwepo, kwa hivyo mungu ndio chanzo cha hiyo 'where" kwa sababu ''where" inakuwepo baada ya space, sasa kabla mungu hajaumba "space" vipi utumie where kumpima mungu?
The same to "when" and "before" which only existed after God created Time.
MUNGU HAPIMWI KWA "WHERE" wala 'WHEN" KWA SABABU AMEIUMBA MWENYEWE.
Hata science inasema mwanzo wa dunia ni Big Bang – Mwanzo wa Space na Time.
Modern cosmology says:
Space and time began at Big Bang
Before that, “before” and "where" doesn’t even make sense physically

Stephen Hawking alisema:
" Asking what was before the Big Bang is like asking what is south of the South Pole"
Exactly.

Kama space-time ilianza, basi cause yake haiwezi kuwa ndani ya space-time, kwahiyo science kupitia quantum physics inasema;
Source of time, energy and space lazima iwe:

1.Timeless
2.Non-material
3.Beyond physics laws(it can break all physical laws of universe and space)

Hicho ndicho classical description ya Mungu.

Mungu si “Object ndani ya universe”
Watu wengi wanamfikiria Mungu kama:

1.Kiumbe kikubwa sana
2.Kinaishi somewhere
3.Kina shape
4. Kilianza siku fulani
Damnnn...wtf?

Huwezi kumuona mungu kwa sababu hajaumbwa atoms kama wewe na other material things.
Unatumia mwanga( light) kuona lakini light was created by God himself, so how can it be used to watch him?
Huwezi kumuona kw kutumia Telescope inayotumia physical photons.

Mungu hagusiki, ni Timeless, space-less, when-less, material-less.
Kiufupi utabaki kuamini mungu hayupo ikiwa utatumia vitu vilivyopo ndani ya universe kumpima, hivi vitu ameviumba mwenyewe kwa hivyo haviwezi kutumika kumpima kama wewe unavyompima rafiki yako, Juma...
Juma anaishi mwanza...
Juma Alizaliwa 2002...
Juma Ana uzito wa 68kg...
Juma yule pale...
Juma alikuwa hapa....
Soma tena.

PRAISE THE LORD!!!!

Uliza chochote....
Mkuu nimekuelewa sana aisee.
 
Mungu hagusiki, ni Timeless, space-less, when-less, material-less.
Kiufupi utabaki kuamini mungu hayupo ikiwa utatumia vitu vilivyopo ndani ya universe kumpima, hivi vitu ameviumba mwenyewe kwa hivyo haviwezi kutumika kumpima kama wewe unavyompima rafiki yako, Juma...
Hapa kidogo umejitetea ila wakija wale jamaa hapatatosha, niamini mimi
 
HIVI NDIVYO WANASAYANSI WANAVYOTUMIA 'FINE TUNING OF THE UNIVERSE' NA 'TELEOLOGY' KUTHIBITISHA UWEPO WA MUNGU.

Raphael Mtui 0762731869

Moja ya hoja kubwa zinazotumika kueleza uwepo wa Mungu au Intelligent Designer ni hoja ya Fine Tuning of the Universe (Teleology).

Wanasayansi wenyewe hutufundisha kwamba ulimwengu hauwezi KUJIPANGA NA KUJISIMAMIA KWA USAHIHI HUU MKUBWA BILA KUWEPO NA AKILI YA HALI YA JUU ILIYOUWEKA MFUMO HUU.

Maana ya Fine Tuning

Fine tuning ina maana kwamba vigezo vya msingi (fundamental constants) na sheria za asili (laws of nature) vimewekwa kwa usahihi wa ajabu kiasi kwamba kama kungekuwa na mabadiliko madogo sana yangesababisha kutokuwepo kabisa kwa maisha (life).

Mfano, kiwango cha gravitational force, nguvu ya electromagnetic force, au hata ukubwa wa cosmological constants vikiwa tofauti kwa sehemu ndogo sana, ULIMWENGU USINGEWEZEKANA KUENDELEA KAMA ULIVYO LEO.

Mfano mzuri:

Tulinganishe fine tuning na mashine yenye code ngumu (kama simu yako labda). Ikiwa kifaa kimoja pekee kwenye code ya simu kitabadilishwa kidogo, mashine haitafanya kazi tena.

Kutokana na mpangilio huu, wanasayansi huthibitisha kuwa, ULIMWENGU SIO JAMBO LA KUBAHATISHA (JUST A CHANCE) bali linaonyesha mpangilio wa akili kubwa iliyo nje ya ulimwengu yenye uwezo wa kupanga.

Wanasayansi wengi wamehesabu uwezekano wa ulimwengu kujitengeneza wenyewe kwa bahati bahati tu (random chance).

Lakini hata hivyo wamekadiria uwezekano huo kuwa mdogo mno mno!

Mfano mmoja wanasayansi hao wanasema uwezekano ni kama nyasi nyingi zifunike uso wa dunia nzima, kisha uambiwe kuna sindano moja pekee mahali fulani duniani katika nyasi hizo unayotakiwa kuitafuta hadi kuipata, hivyo uzunguke dunia nzima ukiitafuta.

Ni wazi kwamba HAIWEZEKANI KUIPATA.

Hii ni sawa na "astronomical odd" kwa ulimwengu kujipanga wenyewe bila mwongozo.

Astronomical odd maana yake uwezekano ni mdogo mno mno. (Nimeelezea hili kwenye kitabu changu cha IJUE ISRAELI).

Kwa hiyo, kama mtu angeweza kuipata sindano hiyo moja akiitafuta dunia nzima ikiwa imejazwa nyasi, basi ulimwengu ungeweza kujipanga kikamilifu kama ulivyo wenyewe kwa bahati bahati tu bila kuwepo kwa Mpangaji (Inteligent Designer).

Tufafanue neno Teleology.

Neno Teleology linamaanisha KUSUDI (purpose) na LENGO (goal).

Ulimwengu unaonekana si tu umewekwa kwa usahihi, BALI PIA UNAONESHA KUNA KUSUDI LA USAHIHI HUO.

Daima wanasayansi husisitiza kuwa, kila kitu kipo kwa sababu maalumu. Kamwe, sayansi haikubali kwamba kuna kitu kipo tu bila sababu.

Hata sisi waamini tunaamini hivyo pia kutokana na Neno la Mungu.

Sasa, wanasayansi huamini, KUJIPANGA KWA ULIMWENGU KIKAMILIFU NAMNA HII KUNA SABABU TENA KUBWA NA MAALUM.

Umbali wa dunia ilipo kutoka kwenye jua, unaonyesha mpangilio wenye makusudi.

Dunia iko umbali sahihi kutoka jua (habitable zone), ina hewa ya oksijeni na maji—mazingira yanayowezesha maisha.

Wanasayansi huamini kuwa hii yote inaonesha kuwa yupo Intelligent Designer aliyeweka haya KWA MAKUSUDI.

Kwa ufupi tuseme hivi:

Hoja ya Fine Tuning (Teleology) inaleta hitimisho kwamba haiwezekani ulimwengu ujipange kwa usahihi huu mkubwa bila KUWEPO KWA MPANGAJI MWENYE KUSUDI.

Hii inaashiria kuwa nyuma ya ulimwengu huu kuna Intelligent Designer mwenye hekima na nguvu kuu. Na kwa imani yetu ya Ukristo, huyo wanayemwita Intelligent Designer ni Mungu, Jehova, Yahwe, Mwumba wa mbingu na nchi.
 
Kasome tena historia, Atheism imekuja juzi tu. Ila binadam wameanza kuamini mungu miaka nenda rudi.
Kuamini na kutoamini huwezi kutenganisha hayo mambo mawili hata kwa saa moja. Kuamini/kutoamini ni kama usiku na mchana, ni kama uovu na wema, uzuri na ubaya.
Ni hivi, hakuna Mungu(ni sifa hii sio jina) Bila shetani, ili iwe nzuri lazima kuwe na mbaya, ili kuwe na mema mabaya lazima yawepo. Ubaya unatangulia ndipo unakuja wema ili kubadilisha ubaya. Mfano, sheria inasema hili ni kosa ila sasa makosa ndo yanafanya Sheria itungwe. Kutoamini kulitangulia ndipo ikaja kuamini ili kurekebisha na atheism ipo kabla ya sayansi mzee. Kabla sijaenda mbali thibitisha kwanza Mungu yupo,
 
Hizi stori za Mungu hazikomi Tu?

Kila kiumbe kiamini Kile anachokiamini mwisho wa yote ni kuondoka Kwa hii duniani.

#KifonikifoTu 🤔
 
HIVI NDIVYO WANASAYANSI WANAVYOTUMIA 'FINE TUNING OF THE UNIVERSE' NA 'TELEOLOGY' KUTHIBITISHA UWEPO WA MUNGU.

Raphael Mtui 0762731869

Moja ya hoja kubwa zinazotumika kueleza uwepo wa Mungu au Intelligent Designer ni hoja ya Fine Tuning of the Universe (Teleology).

Wanasayansi wenyewe hutufundisha kwamba ulimwengu hauwezi KUJIPANGA NA KUJISIMAMIA KWA USAHIHI HUU MKUBWA BILA KUWEPO NA AKILI YA HALI YA JUU ILIYOUWEKA MFUMO HUU.

Maana ya Fine Tuning

Fine tuning ina maana kwamba vigezo vya msingi (fundamental constants) na sheria za asili (laws of nature) vimewekwa kwa usahihi wa ajabu kiasi kwamba kama kungekuwa na mabadiliko madogo sana yangesababisha kutokuwepo kabisa kwa maisha (life).

Mfano, kiwango cha gravitational force, nguvu ya electromagnetic force, au hata ukubwa wa cosmological constants vikiwa tofauti kwa sehemu ndogo sana, ULIMWENGU USINGEWEZEKANA KUENDELEA KAMA ULIVYO LEO.

Mfano mzuri:

Tulinganishe fine tuning na mashine yenye code ngumu (kama simu yako labda). Ikiwa kifaa kimoja pekee kwenye code ya simu kitabadilishwa kidogo, mashine haitafanya kazi tena.

Kutokana na mpangilio huu, wanasayansi huthibitisha kuwa, ULIMWENGU SIO JAMBO LA KUBAHATISHA (JUST A CHANCE) bali linaonyesha mpangilio wa akili kubwa iliyo nje ya ulimwengu yenye uwezo wa kupanga.

Wanasayansi wengi wamehesabu uwezekano wa ulimwengu kujitengeneza wenyewe kwa bahati bahati tu (random chance).

Lakini hata hivyo wamekadiria uwezekano huo kuwa mdogo mno mno!

Mfano mmoja wanasayansi hao wanasema uwezekano ni kama nyasi nyingi zifunike uso wa dunia nzima, kisha uambiwe kuna sindano moja pekee mahali fulani duniani katika nyasi hizo unayotakiwa kuitafuta hadi kuipata, hivyo uzunguke dunia nzima ukiitafuta.

Ni wazi kwamba HAIWEZEKANI KUIPATA.

Hii ni sawa na "astronomical odd" kwa ulimwengu kujipanga wenyewe bila mwongozo.

Astronomical odd maana yake uwezekano ni mdogo mno mno. (Nimeelezea hili kwenye kitabu changu cha IJUE ISRAELI).

Kwa hiyo, kama mtu angeweza kuipata sindano hiyo moja akiitafuta dunia nzima ikiwa imejazwa nyasi, basi ulimwengu ungeweza kujipanga kikamilifu kama ulivyo wenyewe kwa bahati bahati tu bila kuwepo kwa Mpangaji (Inteligent Designer).

Tufafanue neno Teleology.

Neno Teleology linamaanisha KUSUDI (purpose) na LENGO (goal).

Ulimwengu unaonekana si tu umewekwa kwa usahihi, BALI PIA UNAONESHA KUNA KUSUDI LA USAHIHI HUO.

Daima wanasayansi husisitiza kuwa, kila kitu kipo kwa sababu maalumu. Kamwe, sayansi haikubali kwamba kuna kitu kipo tu bila sababu.

Hata sisi waamini tunaamini hivyo pia kutokana na Neno la Mungu.

Sasa, wanasayansi huamini, KUJIPANGA KWA ULIMWENGU KIKAMILIFU NAMNA HII KUNA SABABU TENA KUBWA NA MAALUM.

Umbali wa dunia ilipo kutoka kwenye jua, unaonyesha mpangilio wenye makusudi.

Dunia iko umbali sahihi kutoka jua (habitable zone), ina hewa ya oksijeni na maji—mazingira yanayowezesha maisha.

Wanasayansi huamini kuwa hii yote inaonesha kuwa yupo Intelligent Designer aliyeweka haya KWA MAKUSUDI.

Kwa ufupi tuseme hivi:

Hoja ya Fine Tuning (Teleology) inaleta hitimisho kwamba haiwezekani ulimwengu ujipange kwa usahihi huu mkubwa bila KUWEPO KWA MPANGAJI MWENYE KUSUDI.

Hii inaashiria kuwa nyuma ya ulimwengu huu kuna Intelligent Designer mwenye hekima na nguvu kuu. Na kwa imani yetu ya Ukristo, huyo wanayemwita Intelligent Designer ni Mungu, Jehova, Yahwe, Mwumba wa mbingu na nchi.
The apparent fine tuning is just anthropic bias from the multiverse of universes, basically a tautological expression of the anthropic principle.

Leonard Susskind, just to pick one leading physicist, talked at length about this.

Have you read Leonard Susskind on this?

Also, to equate finetuning with the existence of your God is a logical non sequitur fallacy. The universe could very well finetune itself. If you have read enough cutting edge physics you will see God is not needed here.

Finally, if all ordered complexity must be designed by a bigger intelligence, that is an argument against the existence of God. Because God would then need to be designed by a bigger intelligence. And his designer would need another designer.

Ad infinitum, ad nauseam.

You can't break this without using a special pleading logical fallacy.

Do you understand these arguments and logical fallacies?
 
HIVI NDIVYO WANASAYANSI WANAVYOTUMIA 'FINE TUNING OF THE UNIVERSE' NA 'TELEOLOGY' KUTHIBITISHA UWEPO WA MUNGU.

Raphael Mtui 0762731869

Moja ya hoja kubwa zinazotumika kueleza uwepo wa Mungu au Intelligent Designer ni hoja ya Fine Tuning of the Universe (Teleology).

Wanasayansi wenyewe hutufundisha kwamba ulimwengu hauwezi KUJIPANGA NA KUJISIMAMIA KWA USAHIHI HUU MKUBWA BILA KUWEPO NA AKILI YA HALI YA JUU ILIYOUWEKA MFUMO HUU.

Maana ya Fine Tuning

Fine tuning ina maana kwamba vigezo vya msingi (fundamental constants) na sheria za asili (laws of nature) vimewekwa kwa usahihi wa ajabu kiasi kwamba kama kungekuwa na mabadiliko madogo sana yangesababisha kutokuwepo kabisa kwa maisha (life).

Mfano, kiwango cha gravitational force, nguvu ya electromagnetic force, au hata ukubwa wa cosmological constants vikiwa tofauti kwa sehemu ndogo sana, ULIMWENGU USINGEWEZEKANA KUENDELEA KAMA ULIVYO LEO.

Mfano mzuri:

Tulinganishe fine tuning na mashine yenye code ngumu (kama simu yako labda). Ikiwa kifaa kimoja pekee kwenye code ya simu kitabadilishwa kidogo, mashine haitafanya kazi tena.

Kutokana na mpangilio huu, wanasayansi huthibitisha kuwa, ULIMWENGU SIO JAMBO LA KUBAHATISHA (JUST A CHANCE) bali linaonyesha mpangilio wa akili kubwa iliyo nje ya ulimwengu yenye uwezo wa kupanga.

Wanasayansi wengi wamehesabu uwezekano wa ulimwengu kujitengeneza wenyewe kwa bahati bahati tu (random chance).

Lakini hata hivyo wamekadiria uwezekano huo kuwa mdogo mno mno!

Mfano mmoja wanasayansi hao wanasema uwezekano ni kama nyasi nyingi zifunike uso wa dunia nzima, kisha uambiwe kuna sindano moja pekee mahali fulani duniani katika nyasi hizo unayotakiwa kuitafuta hadi kuipata, hivyo uzunguke dunia nzima ukiitafuta.

Ni wazi kwamba HAIWEZEKANI KUIPATA.

Hii ni sawa na "astronomical odd" kwa ulimwengu kujipanga wenyewe bila mwongozo.

Astronomical odd maana yake uwezekano ni mdogo mno mno. (Nimeelezea hili kwenye kitabu changu cha IJUE ISRAELI).

Kwa hiyo, kama mtu angeweza kuipata sindano hiyo moja akiitafuta dunia nzima ikiwa imejazwa nyasi, basi ulimwengu ungeweza kujipanga kikamilifu kama ulivyo wenyewe kwa bahati bahati tu bila kuwepo kwa Mpangaji (Inteligent Designer).

Tufafanue neno Teleology.

Neno Teleology linamaanisha KUSUDI (purpose) na LENGO (goal).

Ulimwengu unaonekana si tu umewekwa kwa usahihi, BALI PIA UNAONESHA KUNA KUSUDI LA USAHIHI HUO.

Daima wanasayansi husisitiza kuwa, kila kitu kipo kwa sababu maalumu. Kamwe, sayansi haikubali kwamba kuna kitu kipo tu bila sababu.

Hata sisi waamini tunaamini hivyo pia kutokana na Neno la Mungu.

Sasa, wanasayansi huamini, KUJIPANGA KWA ULIMWENGU KIKAMILIFU NAMNA HII KUNA SABABU TENA KUBWA NA MAALUM.

Umbali wa dunia ilipo kutoka kwenye jua, unaonyesha mpangilio wenye makusudi.

Dunia iko umbali sahihi kutoka jua (habitable zone), ina hewa ya oksijeni na maji—mazingira yanayowezesha maisha.

Wanasayansi huamini kuwa hii yote inaonesha kuwa yupo Intelligent Designer aliyeweka haya KWA MAKUSUDI.

Kwa ufupi tuseme hivi:

Hoja ya Fine Tuning (Teleology) inaleta hitimisho kwamba haiwezekani ulimwengu ujipange kwa usahihi huu mkubwa bila KUWEPO KWA MPANGAJI MWENYE KUSUDI.

Hii inaashiria kuwa nyuma ya ulimwengu huu kuna Intelligent Designer mwenye hekima na nguvu kuu. Na kwa imani yetu ya Ukristo, huyo wanayemwita Intelligent Designer ni Mungu, Jehova, Yahwe, Mwumba wa mbingu na nchi.
Maelezo mengi sana chief ila nikwambie Tu kuwa Sayansi na kuamini havikai sehemu moja, huwezi kuongelea Sayansi huku ndani ya maelezo yako ukisema "wanasayansi wanaamini"
🚮
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom