Je, Mungu yupo au hayupo?

Je, Mungu yupo au hayupo?

Atheism in public, ila privately mko na uoga wa kufa mtu🤣🤣🤣
 
Are starting another debate? Hii si mada yetu hapa...ikiwa Huna hoja za kutete Atheism ⚛️, njoo DM nikupe maelekezo ufanye repentance.

Wewe ndiye unejifaragua kulundika Quantum Physics na Relativity pamoja.

Hujui Quantum Physics ni nini.

Umebumbabumba kuitaja sawa na Relativity.

Hujui unachoandika unatajataja mambo kishamba tu, ukiambiwa hapa umeharibu hutaki kujifunza.
 
Unaelewa kwamba kwenye sayansi kuna theories(nadharia) nyingi? Unajua maana ya theory? Unaweza kutenganisha theory na kuamini? Kitu ni theory ikiwa hakuna practical or vivid evidence, or not proven. right? That's means they just believe. Au wewe unadefine aje "kuamini"
Zima hisia, washa akili. Sema kingine.
Na theory inaweza kuwa ni uongo pia si tunakubaliana Hilo au unakataa!!?
 
Mungu yupo kwa sababu sisi na hii dunia yetu imeumbwa KIAKILI - yaani INTELLIGENT DESIGN. Ntatoa mifano 2
  • naamini sio ajali vile sisi ili tuishi - tunavuta hewa inayopumuliwa nje na mimea; nayo mimea ili iishi inavuta hewa tunayopumua nje... tunabadilishana.
  • msemo na mstari wa biblia 'tuliumbwa kwa udongo, tutarudi kuwa udongo' ni dhahiri na ni bonge la akili manake aidha hii dunia sasa ingekuwa imejaa mizoga na harufu... pia Tai kusafisha mizoga, na mafunza (maggots) kuozesha mizoga kuwa udongo, ni uumbaji wa kutumia akili.
 
Nae Mungu mwenye hiyo akili ya kuumba nae kaumbwa na nani?
 
Wacha kujizima data bro. Mungu alikuwepo, yup na ataendelea kuwepo. Kwa macho yako unaona matendo makuu ya Mungu.
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema"".

Zab 53:1​

Similar Discussions

Back
Top Bottom