Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,465
- 36,693
Duhu mamiila otolilwe mayo?
Duhu mamiila otolilwe mayo?
Ni shemeji yake secretarybirdHivi wewe ndio alisema jana kwamba Mungu na Shemeji yake Shetani wamefanyaje?
Njoo hapa unithibitishie kuwa mungu hayupo kwa hoja zako nami nitazijibu kishupavu. Ila kwanza pitia haya maelezo machacge hapa chini. Soma ikiwa tu una uelewa kidogo kuhusu quantum physics, ikiwa Huna uelewa basi pita huu uzi uache, kasome kwanza quantum physics, kisha rudi siku nyingine, maana utaleta haja za kitoto.
Watu wengi leo wanaosema mungu hayupo wanatumia hoja za kisayansi ambazo nyingi zimebase kwenye quantum physics, hapa utakutana na relativity theory ya Einstein, special and general theory of relativity.
Binadam wanataka wanataka kumjudge Mungu kwa kutumia laws za universe, yaani gravity, time, quantum fields, au thermodynamics.
Lakini swali la kwanza la kujiuliza ni hili:
Sayansi inabase kwenye Matter, Energy,Space, Time.
Lakini classical definition ya Mungu ni:
" The cause of space, time, matter, and energy" Mungu ndiye kaumba kila kitu, kaumba space, time, matter and energy.
Kwahiyo logically:
Kama Mungu ndiye chanzo cha space na time, huwezi kumpima kwa tools zinazotegemea space na time.
Ni sawa na kutumia thermometer kupima muda.😅
Tunazo laws na principles kwenye quantum physics ambazo haziwezi kuvunjwa, I agree with that.
Lakini...?
Why is the universe mathematically structured?
Kwa nini ina obey consistent laws?
That itself is mysterious.
Kuna deep rational structure nyuma ya reality.
Quantum Physics haimuondoi Mungu
Quantum mechanics inaonyesha:
-Reality at small scales is probabilistic
-Particles behave like waves
-Observer effect exists
-Vacuum is not empty — it has quantum fluctuations.
Kwa kutumia Quantum Physics pamoja na theology, naweza kujibu maswali haya kutoka kwa Atheists wote ambao wanaamini sayansi na wanaamini, there's no God.
👆🏼👉🏿MUNGU ALIKUWA WAPI KABLA HAJAUMBA ULIMWENGU, NA YUPO WAPI KWA SASA?
Hapa nitumie English kidogo, to say "where was God before" ni swali ambalo Halina maana, kwa sababu: "where" (wapi) haikuwepo kabla dunia (space) kuwepo, kwa hivyo mungu ndio chanzo cha hiyo 'where" kwa sababu ''where" inakuwepo baada ya space, sasa kabla mungu hajaumba "space" vipi utumie where kumpima mungu?
The same to "when" and "before" which only existed after God created Time.
MUNGU HAPIMWI KWA "WHERE" wala 'WHEN" KWA SABABU AMEIUMBA MWENYEWE.
Hata science inasema mwanzo wa dunia ni Big Bang – Mwanzo wa Space na Time.
Modern cosmology says:
Space and time began at Big Bang
Before that, “before” and "where" doesn’t even make sense physically
Stephen Hawking alisema:
" Asking what was before the Big Bang is like asking what is south of the South Pole"
Exactly.
Kama space-time ilianza, basi cause yake haiwezi kuwa ndani ya space-time, kwahiyo science kupitia quantum physics inasema;
Source of time, energy and space lazima iwe:
1.Timeless
2.Non-material
3.Beyond physics laws(it can break all physical laws of universe and space)
Hicho ndicho classical description ya Mungu.
Mungu si “Object ndani ya universe”
Watu wengi wanamfikiria Mungu kama:
1.Kiumbe kikubwa sana
2.Kinaishi somewhere
3.Kina shape
4. Kilianza siku fulani
Damnnn...wtf?
Huwezi kumuona mungu kwa sababu hajaumbwa atoms kama wewe na other material things.
Unatumia mwanga( light) kuona lakini light was created by God himself, so how can it be used to watch him?
Huwezi kumuona kw kutumia Telescope inayotumia physical photons.
Mungu hagusiki, ni Timeless, space-less, when-less, material-less.
Kiufupi utabaki kuamini mungu hayupo ikiwa utatumia vitu vilivyopo ndani ya universe kumpima, hivi vitu ameviumba mwenyewe kwa hivyo haviwezi kutumika kumpima kama wewe unavyompima rafiki yako, Juma...
Juma anaishi mwanza...
Juma Alizaliwa 2002...
Juma Ana uzito wa 68kg...
Juma yule pale...
Juma alikuwa hapa....
Soma tena.
PRAISE THE LORD!!!!
Uliza chochote....
Siyo mimi ni bro ndege mzee wa viota.Hivi wewe ndio alisema jana kwamba Mungu na Shemeji yake Shetani wamefanyaje?
MUNGU gani huyo wakulazimishwa na matusi ju?MJUSI NASEMA MUNGU YUPO, UKIBISHA MATRACCO YAKO!
Nimemaliza sihitaji maswali, maana binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.MUNGU gani huyo wakulazimishwa na matusi ju?
Unaelewa kuwa mzigo wa kuthibitisha anao anayesema kitu kipo, si anayepinga?
Quantum Physics unaielewa kwa kiwango gani?
Umesoma nini? Level gani?
Umeandika mengi kuhusu Quantum Physics. Kwanza kabla hatujafika kwa Mungu tuanze hapa kama hii Quantum Physics yenyewe hata unaijua.
Umeandika
"Watu wengi leo wanaosema mungu hayupo wanatumia hoja za kisayansi ambazo nyingi zimebase kwenye quantum physics, hapa utakutana na relativity theory ya Einstein, special and general theory of relativity."
Unaelewa kuwa Special na General Relativity za Einstein si Quantum Physics?
Mpaka hapo tu, kwa nini nifikiri unaelewa hata hiyo Quantum Physics ni nini?
Zima hisia, washa akili.Unaelewa kuwa mzigo wa kuthibitisha anao anayesema kitu kipo, si anayepinga?
Quantum Physics unaielewa kwa kiwango gani?
Umesoma nini? Level gani?
Umeandika mengi kuhusu Quantum Physics. Kwanza kabla hatujafika kwa Mungu tuanze hapa kama hii Quantum Physics yenyewe hata unaijua.
Umeandika
"Watu wengi leo wanaosema mungu hayupo wanatumia hoja za kisayansi ambazo nyingi zimebase kwenye quantum physics, hapa utakutana na relativity theory ya Einstein, special and general theory of relativity."
Unaelewa kuwa Special na General Relativity za Einstein si Quantum Physics?
Mpaka hapo tu, kwa nini nifikiri unaelewa hata hiyo Quantum Physics ni nini?
Wewe unaamini mungu hayupo?Kuamini na kutoamini huwezi kutenganisha hayo mambo mawili hata kwa saa moja. Kuamini/kutoamini ni kama usiku na mchana, ni kama uovu na wema, uzuri na ubaya.
Ni hivi, hakuna Mungu(ni sifa hii sio jina) Bila shetani, ili iwe nzuri lazima kuwe na mbaya, ili kuwe na mema mabaya lazima yawepo. Ubaya unatangulia ndipo unakuja wema ili kubadilisha ubaya. Mfano, sheria inasema hili ni kosa ila sasa makosa ndo yanafanya Sheria itungwe. Kutoamini kulitangulia ndipo ikaja kuamini ili kurekebisha na atheism ipo kabla ya sayansi mzee. Kabla sijaenda mbali thibitisha kwanza Mungu yupo,
Nawamudu kupitia yeye anitiae nguvu.Hapa kidogo umejitetea ila wakija wale jamaa hapatatosha, niamini mimi
Kwanza kabisa ondoa kauli kwamba nizime hisia na kuwasha akili. I find that patronizing and obnoxious.Zima hisia, washa akili.
Quantum physics is the branch of science that describes how the universe behaves at its most fundamental level—the scale of atoms and subatomic particles.
Kwanza sema kama una unga mkono hii definition, kisha state hizo theory mbili. Then nambie nini kinatatiza.
Unaelewa kwamba kwenye sayansi kuna theories(nadharia) nyingi? Unajua maana ya theory? Unaweza kutenganisha theory na kuamini? Kitu ni theory ikiwa hakuna practical or vivid evidence, or not proven. right? That's means they just believe. Au wewe unadefine aje "kuamini"Maelezo mengi sana chief ila nikwambie Tu kuwa Sayansi na kuamini havikai sehemu moja, huwezi kuongelea Sayansi huku ndani ya maelezo yako ukisema "wanasayansi wanaamini"
🚮
Don't use circumlacutory verbiege thinking it will make you look smarter, however let's replace the word "quantum physics" with "science"Kwanza kabisa ondoa kauli kwamba nizime hisia na kuwasha akili. I find that patronizing and obnoxious.
Pili, Quantum Physics, by any valid definition, ni tofauti na Relativity ya Einstein, wewe umesema Quantum Physics ni Relativity.
Kwanza kabisa ondoa kauli kwamba nizime hisia na kuwasha akili. I find that patronizing and obnoxious.
Pili, Quantum Physics, by any valid definition, ni tofauti na Relativity ya Einstein, wewe umesema Quantum Physics ni Relativity.
In fact one of the biggest problems in physics, if not the biggest, is to reconcile Quantum Physics with Relativity and get a Theory of Quantum Gravity.
Nilijua watu ninyi mtakuwepo.Huyo mungu ndo kakutuma umsemee?
Hiyo Quantum Physics huijui, unaichanganya na Relativity, kitu tofauti.Don't use circumlacutory verbiege thinking it will make you look smarter, however let's replace the word "quantum physics" with "science"
Enhe hoja yako ni ipi mkuu?
Ulisoma ukaelewa kweli, still una mpima mungu kwa space-time.Kila kitu kina chanzo,je Mungu chanzo chake ni kipi?
Are starting another debate? Hii si mada yetu hapa...ikiwa Huna hoja za kutete Atheism ⚛️, njoo DM nikupe maelekezo ufanye repentance.Hiyo Quantum Physics huijui, unaichanganya na Relativity, kitu tofauti.
Rudi kusoma upya uelewe hii tofauti.