Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 575
Inahitaji imani kukubali kuwa hakuna Mungu tena imani hasa.
Nini Maana ya Imani
Inahitaji imani kukubali kuwa hakuna Mungu tena imani hasa.
Maana hiyo hiyo unayoijua wewe ndiyo niliyoikusudia.Nini Maana ya Imani
Maana hiyo hiyo unayoijua wewe ndiyo niliyoikusudia.
....imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana...Nini Maana ya Imani
....imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana...
Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa
kwa vitu vilivyo dhahiri.
Kwa nielewavyo mie kuna makundi tofauti yanayoamini Mungu,wapo wanaoamini Mungu kupitia dini(uislamu,ukristo) na dini zengine, na ambao wanaamini Mungu pasipokupitia dini.Kama Ndio hayo sasa nyie wenzetu mpepata wapi kuamini kuwa mungu Yupo mmetumia Njia gani? Habari hizi mmezipata toka kwa nani? Mumezipata wapi
Mkuu hakuna uwongo kwenye imani,imani ni kuona jambo limekwishatokea hata kabla halijatokea.Vizuri umejitahidi ingawa Bado kuna kitu umesahahau ktk maelezo yako unatakiwa useme Imani ni kukubali mambo ya uwongo ambayo yasionekana ktk maelezo yako ulisahau neno uwongo
Mkuu hakuna uwongo kwenye imani,imani ni kuona jambo limekwishatokea hata kabla halijatokea.
Ndo maana mtu husema naimani nitafanikiwa,naimani nitapona ,naimani nitafaulu n.k yaan kuwa na hakika bila shaka wala hofu katika moyo wako. Imani huzaa taraja/kutarajia lile unaloamini. Ukitilia shaka jambo
lolote ujue huna imani
nalo.
100% MUNGU yupo,MUNGU ni wa milele na milele yaan hana mwanzo wala mwisho,yupo alikuwepo na ataendelea kuwepo!Kwa hiyo unaamini mungu yupo?
100% MUNGU yupo,MUNGU ni wa milele na milele yaan hana mwanzo wala mwisho,yupo alikuwepo na ataendelea kuwepo!
Yaaan sijawahi kutia shaka juu ya uwepo wa MUNGU hapa naamanisha MUNGU wa miungu aliyeumba Mbingu na Dunia,vitu vinavyoonekana na visivyooneka.
Kwa nielewavyo mie kuna makundi tofauti yanayoamini Mungu,wapo wanaoamini Mungu kupitia dini(uislamu,ukristo) na dini zengine, na ambao wanaamini Mungu pasipokupitia dini.
Sasa hapo swali lako naona linategemea na aina ya hayo makundi.
Mkuu umekuja kuzungumza vitu tofauti na swali uliloniuliza hapo mwanzo.Sikatai Kama dini hazipo,Na miungu wapo wengi Sikatai pia Kama ukisema mungu wako ni mti Au jiwe Au yesu Sawa lakn hakuna yoyote ambaye anaweza kuumba ulimwengu awe Allah Au Jehovah Na Kama wangekuwa Wanaweza kuumba ulimwengu Leo watu wasingepata tabu kujua chanzo cha ulimwengu hiyo miungu haijui wanapewa sifa wasizokuwa Na uwezo nao
Mkuu umekuja kuzungumza vitu tofauti na swali uliloniuliza hapo mwanzo.
Mimi Binafsi nimeyashuhudia matendo makuu anayotutendea kila siku,akiponya akiokoa na kufanya vitu visivyoelezeka kibinadamu na kisayansi pia.Thibitisha Kama yupo
Ndio Maana pale mwanzo Nilitaka kujua nini Maana ya iman ila ukaniambia ni Kama navyojua Mimi kwangu Sikatai miungu ya duniani lkn hakuna hata mmoja aliyeumba Na atakayekuja kuumba ulimwengu tatizo pale mnaposema kuna mungu Ana Nguvu kushinda yoyote huyo hayupo Na hatakuja kuwepo ila Kama mungu ni Zeus Au budha Au yesu Au jua Au mti Au ukatafuta Jina lolote ukalifanya mungu wako Sawa
Sasa hivyo ujuwavyo wewe kuhusu imani inahusiana nini na hicho ulichokieleza?
Ok mkuu tufanye yaishe maana binafsi sielewi tunajadili na wewe tu ndiyo mwenye kuelewa.
Sawa lkn msiwe mnalizimisha jambo mm nilikuambia Imani ni Habari za kubahatisha Ndio Maana Jambo lolote la kiimani unapofanya tegemea hujibiwe Au usijibiwe unaweza kuomba mungu akakutekelezea Au asikutekelezee Kwakuwa huyo mungu hayupo kwa hivyo ile Nguvu ambayo iliyopo ktk akili yako Ndio inaweza kuleta Matokeo ya Jambo lolote unaloliomba
Usipende kueleza vitu usivyovielewa,ni sawa na kupotosha.
Mimi Binafsi nimeyashuhudia matendo makuu anayotutendea kila siku,akiponya akiokoa na kufanya vitu visivyoelezeka kibinadamu na kisayansi pia.
Ushuhda mdogo tu:
- Nyumba iliungua moto yote katika majivu nikapata Biblia na vyeti original tu vya shule havikuungua,ukiniuliza ilikuaje
siwezi
-Nilifunga na kuomba MUNGU nilikua na kesi ya TARAKA na
mke wangu baada ya maombi
akarudi kesho yake na hakutaka
tena kwenda mahakami ili hali
kesi ilikaribia kuisha.Naishi naye
mpaka sasa tuna watoto 2.
-Nilipata ajari ya
Pikipiki(kugongwa na gari kubwa
kwenye rami) tairi la mbele na
nyuma vikaachana,frema
ikakatika mimi nilipata mchubuko
mdogo mkononi.
Walioshuhudia walinishangaa kuniona
mzima maana niliamka
tu kama vile nilikua
Kwa kweli MUNGU yupo tena YUPO
na milele. Amina
Maandiko
Isaya 45:9: Ole wake
ashindanaye na Muumba wake!
Kigae kimoja katika vigae vya
dunia! Je! Udongo umwambie
yeye aufinyangaye; Unafanya
nini? ......[/B
Mfano mdogo tu swali lako ni
sawa na Kuku akuhoji kwa nini
unamfuga,unakula mayai yake
au uokote jiwe likuulize unataka
la nini n.
Yaan ufahamu wako ni mdogo
mno hata uhoji matendo na kazi na uwepo
wa Mungu
mkuu!