Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,723
Ha hahhaaMimi tangu nilipo jua MUNGU hua anapiga story na shetani na mazungumzo yao yamekaa kirafiki nikaamua kuacha kumchukia shetani
Ha haha hah hahaUsicheke mkuu mi sahiv nafanya mpango niwe karibu na shetani sina sababu ya kumchukia
haha hahaa ..aiseeeeKwamba wakikutana wanapiga stori huku walokole wanakemea kwa nguvu zote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha hah hahaaMungu na shetan wanawachora tu uku wanagonga cheers [emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja kusema sijui kuna freewill wanasahau kuwa mjuzi wa yote, Mpangaji wa yote tayari amepanga na kujua nini utafanya yani Mungu kwa sifa za upangaji na Ujuaji wa yote basi alipanga na kujua kuwa Kiranga hatamuamini na atamchoma motoMungu umsemae hapo anasifa za uovu na wema,hebu fikiri kwanini alimfanya farao kuwa mkaidi halafu akamuangamiza..? kama sivyo basi Mungu huyo atakuwa si muweza wa kila kitu!,kuna vitu ameshindwa kuviangamiza!,maana kama shetani anasababisha dhambi kwa wanadamu hlf anamuangalia kama pambo chumbani basi hata yeye anahatia na wadhambi hao! wengine humsema Mungu ndo mpangaji wa yote!,hivyo kauli hii humaanisha kuna watu amewapangia waende motoni na wengine peponi! anasifa ya ubaguzi wa hali ya juu..
Kwanini tujifunze kuamini kwa uwezo alio nao.God ameshindwa kutuumba automatically tumuamini.? Kwani ana mpinzani mwingine tunaye muamini au?Yote hayo ni ili sie tujifunze na kuamini, na mwishowe tuokoke!
Ukiona baba ndani ya nyumba anakomalia watoto wamuite baba basi ni fika kuna tatizo mahala, Baba ni kutekeleza majukumu ya familia na automatically watoto Hukuheshimu na kukuita baba na kuwa proudly na WeweKila jambo hutokea kwa makusudi, sio kwamba haoni anaona sana tuu. Ni ili tujue kwamba yeye ndo mwenye mamlaka na tuweze kuamini na kuokoka!!
Watu hawamkani ni yeye anajichanganya mpaka hatumuelewiNimefungua huu uzi mida hii nimesoma comments zote, one at a time.....haki Nimeogopa watu mnavyomkana Mungu!! Muumba wa Ardhi na Mbingu mbele yenu amekua si lolote si chochote?! Hatari sana dunia inaenda kasi ya ajabu!!
***Sorry sina maana ya kuwakwaza ila nimeshangaa sana, hadi usingizi umekata! !!!
Kwani dini inafundisha kinyume na hayo?Mi ndo maana my focus as i grow older imejikita kwny kumtegemea Mungu kuliko dini
Kutenda mema zaidi, kusaidia wengine na kuishi vizuri na watu
Dini zote ni mifumo ya maisha ya jamii fulani, Uharaka wao wa Kufanya maendeleo na kuwaweka superior ndio ulipelekea Mifumo yao ya maisha (dini) kutapakaa dunia nzima wapo wajanja pia kama wamisionari waliona fursa ya dini na kuamua kuitumia kuja Nayo mataifa mbalimbali na kuwapa imani hizo kwa mgongo wa kuwahadaa ili iwe rahsi kuwa colonize, Wewe unadhani babu zetu wangekuwa superior kiuchumi, kijamii wange copy takataka za Uislamu na Ukiristo wa wazungu?? Yani kisa Uarabuni hakuna miti ni jangwa na mbao hakuna na nyie afrika mliokuwa na mistu ya kutosha mnaliridhi Uzikaji bila kuweka mtu kwenye Frame za mbao(Jeneza), Leo unaambiwa atakae ibariki Israel nae atabarikiwa atakaye ilani nae ataalaaniwa kweli tunashindwa kureason vitu simple kama ivi nashangaa mno kuona Machinga wanatembea na Bendera za israel, yani Unaona hawa hawa wanaombea watu ni wameona fursa ya dini ndio mana wamejazana mijini kwenye pesaNilichogundua humu Mungu anaelezwa kwa mafundisho ya kikristo na wakristo imani yao imebebwa na imani ya uwepo wa Mungu,na ndiyo maana wengi tunaona wakisema dini haina mchango wowote na ni mpango tu wa binaadamu.
Daaah hiii noma ngoja nikapige degree ya law wakinipeleka motoni tu wote wataishia jela[emoji119]Nimekumbuka yule dogo aliyewashitaki wazazi wake kwa kumzaa mzungu badala ya mweusi
Hivi siku ya kiama haiwezekan kukata rufaa ukihukumiwa kwenda jehanam!?
Kwanza wewe hukuomba uumbwe ila yeye ndio alikuumba kwa malengo yake sasa kosa lako ni nini hadi upelekwe jehanam?
Watu hawamkani ni yeye anajichanganya mpaka hatumuelewi