Weye usojua hata Alifa ba tee ndo uufiche uso wako. Sibishani na maamuma!
Hii sura ya Kafirun iko wazi kabisa kua Allah hakumuagiza mtume Muhammad SAW kulazimisha mtu kuamini, wewe unatuletea mambo ya kitoto hapa eti bishaneni wakiwashinda wafisheni? Umepata wapi hayo maneno? Weka uthibitisho hapa acha kurukaruka kama Kangaroo.
Surah 109

Bismillaah ar-Rahman ar-Raheem
Qul yaa ayyuhal kaafiruun
Laa ‘abudu maa t’abuduun
Walaa antum ‘aabidunna maa a’abud
Walaa ana ‘aabidun maa ‘abadttum
Walaa antum ‘aabiduuna maa a’abud
Lakum deenukum wa liya deen
In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful.
Say: Oh you who turn away
I do not worship what you worship,
nor do you worship what I worship.
And I will not worship what you worship,
Nor will you worship what I worship.
Your way is yours, and my way is mine