Je, Mungu ana sura gani?

Je, Mungu ana sura gani?

Mkuu;
Ka swali lako ni kwa ajili ya kubishana basi utabishana saana. Lakini, ka swali lako ni kwa ajili ya kuelewa, ni kuwa. Mungu amefanana na wewe na mimi. Ndo maana wanasema; Binadamu wote sawa. Sasa ukitaka kuuliza tena Mungu ni wa kabila gani? Taifa gani, lugha gani, sidhani ka jf itaweza kupokea maneno yote.
Amini kuwa ulitokana na Mungu. 1 Yoh. 4 : 4, Amini kuwa wewe ni mali ya Mungu 1 Kop. 6 : 19...20. Yapo mengi ila pokea na uamini haya machache utafanikiwa.
Asikudanganye mtu kuwa kuna Mungu tofsuti na huyu aliye Hai, Muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
 
Kuatana na maneno yako, Mungu ana sura nyingi? (Multiple Faces).
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Anunnaki the creater
 
Mungu hajamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Huyu mwanadamu wa leo anayehalalisha ushoga? Huyu mwanadamu wa leo ambaye anaigiza filamu za ngono huku wakimlawiti mwanamke, mwanadamu huyu anayefanya unafiki katika ardhi ya Mwenyezi Mungu ndio awe mfano wa Mungu. Nimekataa. Hilo andiko linahitajika kifutwa
Na ni mwingi wa huruma. ...
 
Kuatana na maneno yako, Mungu ana sura nyingi? (Multiple Faces).

Mkuu hujakosea ila zote ni yeye. Biblia, kitabu ninachokiamini sana kinasema; Tutafanana naye. Hivyo wewe utafanana naye, miye ntafanana naye,na yule atafanana naye. Mungu akitamka inakuwa.
 
Mkuu;
Ka swali lako ni kwa ajili ya kubishana basi utabishana saana. Lakini, ka swali lako ni kwa ajili ya kuelewa, ni kuwa. Mungu amefanana na wewe na mimi. Ndo maana wanasema; Binadamu wote sawa. Sasa ukitaka kuuliza tena Mungu ni wa kabila gani? Taifa gani, lugha gani, sidhani ka jf itaweza kupokea maneno yote.
Amini kuwa ulitokana na Mungu. 1 Yoh. 4 : 4, Amini kuwa wewe ni mali ya Mungu 1 Kop. 6 : 19...20. Yapo mengi ila pokea na uamini haya machache utafanikiwa.
Asikudanganye mtu kuwa kuna Mungu tofsuti na huyu aliye Hai, Muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
Mungu atakuwa anafanana na Waarabu kwa sababu Adam na Hawa waliumbiwa Uarabuni tena Iraq na waliwekwa kwenye bustani ya Eden ambayo iko huko.Ndiyo maana Waislamu wanasema Mungu ni mmoja tu wa Kiarabu(Allah)hakuna Mungu mwingine.
 
Hahaha
Mungu ni kitu ambacho binadamu ana dhani kuwa kipo ila hajui kikoje.
Ni dhahania tuu
Sawa. Wakati wanaumba kwa sura na mfano wake, wali-refer mtu wa race ipi?
 
Mungu ni Roho. Hata wewe ni roho, ni kwa vile tu hujitambui.

God is not a physical being!
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Amemuumba binadamu kwa sura na mfano wake wala sio kwa rangi na mfano wake, wazungu, Waarabu wachina Waafrika wote wana sura zinazofanana (ninapozungumzia sura simaanishi usoni bali umbo) ndo maana huwezi kukuta mzungu ana mikono sita kuliko Mwafrika au Mwarabu ana miguu kumi kuliko mchina
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Waafrica tutoe maana hata kwenye mgawanyo wa mitume/manabii tulitengwa
 
Mungu atakuwa anafanana na Waarabu kwa sababu Adam na Hawa waliumbiwa Uarabuni tena Iraq na waliwekwa kwenye bustani ya Eden ambayo iko huko.Ndiyo maana Waislamu wanasema Mungu ni mmoja tu wa Kiarabu(Allah)hakuna Mungu mwingine.

Aksante sana kwa uelewa wako mfinyu ka kichwa cha sindano. Hayupo wala hatakuwepo mungu wa jinsi hiyo. Wala hajawekewa mpaka na alicho kiumba.
Wewe huwezi kumuwaza Mungu wala kumwelewa. Huyo mungu wa kiarabu, sidhani kama ndiye anayestahili kuabudiwa. Na hapa si mahali pa kubishania nao kwani huyo mungu wao aliwaambia, bishaneni nao na wakitaka kuwashinda, wafisheni. Je huyo ndo Mungu wa kuabudiwa?? Nina mashaka mengi naye.
 
Musa aliomba kumuona Mungu akamwambia "ukiniona hutoishi ila ntapita na utaona tuu utukufu wangu" kwa hiyo hakuna mwanadamu aliyemuona Mungu akaishi
 
Aksante sana kwa uelewa wako mfinyu ka kichwa cha sindano. Hayupo wala hatakuwepo mungu wa jinsi hiyo. Wala hajawekewa mpaka na alicho kiumba.
Wewe huwezi kumuwaza Mungu wala kumwelewa. Huyo mungu wa kiarabu, sidhani kama ndiye anayestahili kuabudiwa. Na hapa si mahali pa kubishania nao kwani huyo mungu wao aliwaambia, bishaneni nao na wakitaka kuwashinda, wafisheni. Je huyo ndo Mungu wa kuabudiwa?? Nina mashaka mengi naye.
Kijana acha kuongea vitu ambavyo vimekuja tu kichwani kwako, ni wapi Allah alisema "bishaneni nao na wakitaka kuwashinda wafisheni?" unaweza kuthibitisha hilo?

Acha kuongea kama mtoto wa darasa la pili, kama hujui kitu ni bora ungeficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom