Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,092
- 15,516
Ila mkiambiwa ulimwengu umetoka from nothing to something ewaaaa! Mnatingisha kichwa!!!Pengine una matatizo ya macho ndio maana huoni
Umesema mungu haitaji eneo ili awepo, lakini hapo tayari tukio la yeye kuwepo lishafanyika how?
Sasa kama hakuna eneo utapataje tukio?
Halafu kwanini swala la kuongelea makazi ya mungu ya zamani lipewe vikwazo kwa dhana ya limitation ya uelewa wa mtu ilihali makazi yake baada ya uumbaji yamewezekana kueleweka?
Ukifikiria vizuri utaona hii ndio sehemu ambayo wapotoshaji waliona inaudhaifu wa kusanukiwa habari zao, so dhana ya "njia za mungu si za mwanadamu" mara sijui "mungu hachunguziki kwa akili ya binadamu" ziliwekwa kama mpaka kuwatenganisha watu wasiweze kuufikia ukweli na ndio maana hili swali halijibiki logically
Ila mkiambiwa Mungu alikuwepo kabla ya chochote na uwepo wake hautegemei mahali mnaaanza ahhh ninyi ni wafia dini!
Space imehodhi sayari zilizo kwenye solar system zilizomo kwenye galaxy.. Swali kwako space iko wapi?