Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,514
- 2,826
Majibu yote yapo humu
That's nadharia is not enough to prove her existanceSomo[emoji116]View attachment 1666405
Kwanini iwe nadharia?That's nadharia is not enough to prove her existance
Nikweli, dunia iliumbwa kwa miaka tena zaidi ya 6000!! Kwa maana huwezi niambia et asubuh uumbe wanyama kesho yake uone upungufu!! Mara leo uweke mwanga kesho uone mapungufu!! Mara amuumbe mwanamme kesho aone mapungufu!! Kwa akili ya kawaida tuu ilikuwa inapita miaka mingi mno ndo kinaonekana cha kuongezan!! Hapa ndo nawaonaga wasabato walivyo wapumbavu. Sometimes kuwa na elimu dunia napo ni vizuri sio kumezeshwa matangopori kanisaniKwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Ukisoma vizuri maelezo ya uumbaji yanasema kwamba ikawa jioni ,ikawa mchana siku ya kwanza. Hivyo siku za uumbaji zilikuwa zinapatikana kwa usiku mmoja na mchana mmoja, yaani masaa 24. Siyo miaka elfu 1Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Soma Vizuri uzi mkuuUkisoma vizuri maelezo ya uumbaji yanasema kwamba ikawa jioni ,ikawa mchana siku ya kwanza. Hivyo siku za uumbaji zilikuwa zinapatikana kwa usiku mmoja na mchana mmoja, yaani masaa 24. Siyo miaka elfu 1
Umeamin vipBasi unaruhusiwa kuchunguza, na ndo utajua hata alie andika amekuficha mengi sana mfani Adamu aliumbwa na lilithi na sio Hawa, hawa aliumwa baada ya makosa ya lilithi.
Na wewe kwa nini huamini??Umeamin vip
Tuanze na wew jibuuNa wewe kwa nini huamini??
Toa jibu kwanza then na mm ntakujibu.Tuanze na wew jibuu
Nijuavyo anaishi hapo ulipo...Anaishi wapi mkuu?
Hapana Mungu aliumba dunia kwa siku sita na siyo miaka elfu sita. Kwani anasema hivi "ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku moja"Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.
Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.
Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?
Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.
El perdode
Nifafanulie aya yako ya kwanza na ya tatu...ikawa jion ikawa asibuhi siku ya kwanza...then unakuja kusema kwa MUNGU hakuna siku wala mwaka ...Hapana Mungu aliumba dunia kwa siku sita na siyo miaka elfu sita. Kwani anasema hivi "ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku moja"
"ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili" n.k n.k mpaka siku zote sita na siku ya saba kupumzika, ni siku hizi hizi sita tunazozijua.
Dhana ya miaka elfu moja ni kwamba kwa uwezo alionao Mungu, mambo ambayo wanadamu wote duniani tutakayo yafanya kwa miaka elfu moja, technolojia, maendeleo n.k n.k, Mungu yeye anauwezo wa kuyafanya kwa siku moja.
Kingine kwa Mungu hakuna siku wala miaka, minguni hakuna usiku wala mchana, utahesabu vipi siku, kwahiyo siku zinazozungumziwa ni hizi hizi za kwetu huku duniani.
Kwakweli komenti yako nimeipata barabara kabisa, nimeipitisha, maana watu wanavyoona biblia inasema Mungu akasema IWE NURU IKAWA NURU wanachukulia simpo-simpo sana, baadhi ya watu wanafikiri mambo yalikuwa ni HARAKA kiasi kile inavyoandikwa IKAWA NURU😂😂Hizo "siku" sita ni nyakati sita.
Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.
Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.
Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Hizi nondo utazipata JF tu si sehemu nyingine!🤣🤣Nimefafanua nini maana ya kupumzika inapozungumziwa juu ya Mungu. Kumbuka Mungu huwa hachoki, hii inafanana na jinsi inavyosemwa kwamba Eva alitolewa ubavuni mwa Adam, hapa watu wanadhani kwamba kweli Eva alitokea ubavuni kwa Adam kidhahiri, mtu kutoka katika ubavu wa mtu mwingine ni tamathali ya maneno na hasa inapohusikana na Mwanaume na mwanamke maana yake ni wawili wanaopendana na wanashabihiana kitabia, sio maana yake kwamba kweli huyo mmoja alitokea kidhahiri ubavuni kwa mwingine ambapo ni dhana ya kijinga, mfano katika kiingereza kuna msemo:- we are both made out of the same wood, yaani: sote wawili tumeundwa kutokana na mbao moja, huu msemo tafsiri yake ni hii kwamba watu hao wawili wanazo sifa, tabia na mienendo inayofanana na sio kwamba wameundwa kutoka katika ubao mmoja. Na hivyo ndivyo inaposemwa kwamba Mungu "alipumzika" neno hilo lahitaji tafsiri, na hii ni kwa baadhi ya maneno mengi ya kiroho kwamba yanahitaji tafsiri.
Mbona ipo clear mkuu, ni kwamba makao ya Mungu sio duniani ni mbinguni. Na ni simple tu mbinguni hakuna usiku wala mchana ila kuna mchana tu, kwa maana kwenye kitabu cha ufunuo kuna mahali imeandikwa "nao watatawala mchana, kwa maana kule hakuna usiku"Nifafanulie aya yako ya kwanza na ya tatu...ikawa jion ikawa asibuhi siku ya kwanza...then unakuja kusema kwa MUNGU hakuna siku wala mwaka ...