Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Bwanakunu kiumri ni mkumbwa kuliko Ummy Mwalimu. Sasa sijui Serengeti Boy ni nani hapo!
 

Hakuna sehemu niliyozungumzia kabila wala dini. Utakuwa umechanganya.

Huwa unaposema Sheria ya manunuzi inatatizo unanishangaza sana. MSD is not the only procuring entity, unajua hilo? Tena MSD imepewa dawa tu, GPSA ni procuring entiy yenye kazi mara mia ya MSD, hatujawahi kusikia wakilalamikia sheria ya Manunuzi. Kwahiyo unataka tubadili miongozo ya Manunuzi kwa ajili ya MSD?

Hebu tuelezee kwanza sheria ya manunuzi inaathiri vipi MSD, possible kuna kitu labda hatuelewi. Tuelezee hapa Sheria ya manunuzi inaathiri vipi utendaji wa MSD na upatikanaji wa Dawa?


Mk54
 
Hapa umedhihirisha kuwa analysis yako imejikita kwenye majungu zaidi.
Vituo si vilikuwa vinadaiwa au hujui?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimegundua huna akili na upo too judgemental and defensively. Here we discuss things openly; kama kwako ni majungu go to hell.
Kwani ni uongo kwamba pesa aziliwi; au unadhani wizi MSD umeanza kwa Bwanakunu. Ukirudi nyuma MSD ilikuwa inaelekea kuvunjwa kwa sababu pesa zilikuwa zinaishia mikono I mwa watu.

Ngoja bibi ako kule kijijini kwenu afe kwa kukosa dawa ndio utaelewa. Nimeishi na wanakijiji Halmashauri, najua namna ambavyo wazee wanapata shida kwa MSD kushindwa kuperfom.


Mk54
 

Inawezekana pia Kaka. Ila JPM ameonesha patience sana kwa huyu bwana.

For 5 years na hakuweza kufanya dawa zipatikane. Sasa hivi wanalalamika eti GPSA inawaangusha wakati kufanya kazi na GPSA wameanza 2020 baada ya wao kutumia billions of money zinazoweza kwenda kununua dawa nyingine, wao wametumia kwa kugomboa mizigo tu.

Na ndio sababu JPM akagoma kuwapa hela na kuamuru special auditing.




Mk54
 
Serikali inadaiwa shilingi ngapi na MSD?
Serikali kudaiwa na MSD siyo kitu kigeni. Madeni yapo tangu mwaka 2000, Serikali inalipa na inaendelea kukopa na maisha yanaendela.

Kwa taarifa yako vituo vilivyo chini ya TAMISEMI (Yaani hospitali za Wilaya, Vituo vya afya na Zahanati) vinaidai MSD Tsh 27 Bilioni wakati nayo MSD imevikopesha Tsh 13 Bilioni. Sasa nani anamdai mwenzie nyingi?

Bwanakunu hakuwa na skills zozote za financial management wala business management. Yeye alichojuwa ni kuharass wafanyakazi, ngono, ufisadi na dharau. Amefanya manunuzi yaliyoua mtaji wa MSD
 
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nchini (CAG) kwa mwaka ulioisha Juni 2019 imebaini kuwepo kuongezeka kwa deni la serikali kwa bohari kuu ya dawa (MSD) kwa kiasi cha Sh bilioni 16.18 kutoka Sh bilioni 37.48 za mwaka uliopita.

Ukaguzi huo wa CAG una mashaka kuwa ukwasi wa MSD unazidi kushuka hivyo kuathiri utekelezaji wa mipango mbalimbali ikiwemo usambazaji wa dawa na vifaa tiba kwa jamii pamoja na utekelezaji wa mipango yake mingine.
 


Na Watu wanao harass wafanyakazi sio watendaji. Nadhani ni njia yao ya kuonekana ni watendaji. Yani ninashangaa hadi kesho amewezaje kukaa 5 years na hali ipo vile.


Mk54
 
Alifanya manunuzi gani hayo?
HIzi tuhuma za ngono nazo ni mpya.
 
Wewe umekuwa si mzushi tu bali ni muongo.
Bahati mbaya data zako ni za uongo. Hii ni purely chuki
 
Issue unashutumu bila shuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Rahisi. Anatakiwa kuwa very careful. Mimi nashauri ile Bodi ya wakurugenzi ivunjwe halafu aangalie watu ambao atafanya nao kazi.


Mk54
Bodi bado mpya atoe baadhi ya watu top menejiment kwani wengine wapo kwenye ukurugenzi kwa miaka zaidi ya 8 wanafanya kazi kimasihara kimazoea hakuna tena input kama huyo mkurugenzi rasilimali watu sanaa sanaaa tu na ndiye amekuwa mwenyekiti wa tenda zote msd, auditing wana mzee mkurugenzi ambaye hana input tena anashauri watu kufukuzwa kwenye sehemu ambazo kashindwa controls, ICT bado mfumo una contradict mno hadi una leta loss ambazo hata wenyewe ngumu kuelewa,wana lack competent and technical persons , before kulikuwa Wakina henry mchunga huyu mtaalam wa afya manunuzi na ugavi experienced kwenye sector , shabana Hussein finance technically alikuwa super, etc sasa ivi wengi mbahatishaji tu, HR ina watu wasiosaidia taasisi wanafanya mambo shaghala bagala kufavour watu wao
 
Na Watu wanao harass wafanyakazi sio watendaji. Nadhani ni njia yao ya kuonekana ni watendaji. Yani ninashangaa hadi kesho amewezaje kukaa 5 years na hali ipo vile.


Mk54
Alikuwa anakingiwa kifua na UMMY Mwalimu na Bashiru Ally
 
Wewe umekuwa si mzushi tu bali ni muongo.
Bahati mbaya data zako ni za uongo. Hii ni purely chuki
Weka data zako hapa tusibishane bila sababu. Numbers don't lie
 
Hakika ni taasisi ngumu sana kuiongoza... Kuna upigaji mwingi sana... Kuna mauzembe kibao...

Alafu kingine kinachoshangaza, MSD kuna madawa mengine mpaka yanaharibika lakini unakuta hayafanyiwi clearing...

Sasa kwa nini wanaagiza au wanaendelea kuagiza kama kasi ya serikali ni ndogo...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…