Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Alikuwa kiwembe sana
 
Kama.ni mdau utagundua changes compared to when he joined

Although transformation could have been better Kama angeteneza good strategies za kushirikiana wadau


The bottom line is, this change was inevitable
Inatoka sweeping statement tu za kuwa Ali transform MSD. Pengine ali transform from efficient supply chain firm to weakest and hopeless institution.
 
Mkuu yule mlimbwende wa Customer service atakuwa hajapitwa maana ni lizuri kweli lile dada. Nyama zinatikisika likitembea. Covid liquiiiid hatari fireeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwanakunu alimlisha rais matango pori, kuwa dawa za MSD zinatoka wa wazalishaji, sasa watu wakilinganisha bei wanaona mbona dawa bado ni bei juu.......jamaa ni mwanasiasa kweli.
Tume maalum iliyoundwa na PS- Hazina imegundua kuwa kuna upungufu wa mtaji wa Tsh 30 Bilion uliosababishwa na MSD kufanya under pricing. Ni Ummy Mwalimu na Bwanakunu waliomdanganya Rais kuwa kununua dawa kwa Distributors kama Salama Pharmaceuticals kunasababisha dawa zinunuliwe kwa bei ya juu kwa vile Distributors wanaweka margin (cha juu).

Kwa hiyo hata kwenye hotuba zake akiongelea mafanikio ya Wizara ya Afya Rais alikuwa anatamka wazi wazi kuwa sasa MSD inanunua dawa VIWANDANI kwa hiyo bei zimeshuka.

Ukweli ni kwamba Distributors hao hao akina Salama Pharmaceuticals, Biocare, Pyramid walibadili anuani badala ya kutumia letter head zao na anuani za Tanzania, wakatumia majina ya manufactures wao wanao wawakilisha. Na MSD kwenye kupanga bei wakateremsha kwa makusudi bei za dawa ili kudhihirisha kwa wananchi kuwa DAWA ZIMETEREMKA BEI. Sasa imekula mtaji kwa Tsh 30 Bilioni.

Je Hizo ni akili au matope?

Kwa nini Ummy Mwalimu bado yuko ofsini kama waziri?
 

Inasikitisha sana. Imagine dawa ya Mzio Cetrizine wananunua kwa hao hao Salama Pharmaceutical; lakini yeye salama Pharmacetical anaingia Kenya na kuwachukulia Dawa. Inaamaana Salama anauwezo wa kuchukua mzigo mkubwa kuliko MSD Bohari ya nchi nzima?

Halafu jamaa anakaa kwenye media na kutuambia dawa zinapatikana kwa asilimia 90. Huwa nasema hawa jamaa ni vichaa mbona. Nimekaa Halmashauri dawa tunanunua kwa makampuni binafsi ambazo ndio hizo MSD wanasema dawa zinapatikana kwa asilimia 90; hawa watu ni kupigwa viboko. Akaunti zao zichunguzwe na transaction zote ziangaliwe na nyumba zao zichunguzwe maana hawa watu wanatabia ya kuweka hela ndani.

Sometime unaweza kusema JPM anatumbua tumbua tu; lakini ukweli ni kwamba watumishi wengi sio waaminifu. Mm napendekeza mbali na kutumbua; hawa watu wawe bankrupt na ku hold akaunti zao zote hadi uchunguzi ukamilike.

Ila Suppliers na Ummy wakiweza kumuingia mwanajeshi na kumuambukiza udokozi wao, nitasema dahhhh; kweli pesa mwanaharamu.
 
Kama.ni mdau utagundua changes compared to when he joined

Although transformation could have been better Kama angeteneza good strategies za kushirikiana wadau


The bottom line is, this change was inevitable

Mwenyewe anaamini ameibadili kwenye chanya


Mk54
 
Inshaallah Mola atamsadia General afanye kazi yake kwa weledi na ufanisi
 
Naam unemaliza yote nalandana nawe bila kupunguza neno!
 

Hakuna tatizo. Hata huko jeshini alikuwa katika Level za Management. Hakuwa anatibu.


Mk54
 
Delivery packs ni ile mifuko au package kwa ajili ya kina mama kujifungua. Kwa hiyo usifanye wote wajinga.. Ni uhakika Bahari alikukamata. Unaugulia maumivu. Hiyo ndio biashara, move on. Ulishindwa, inatosha. Mara mlolongo wa malipo na blah blah.

Sio dawa bali ni kifaa Tiba. Kutamka Hivyo ni mawazo yako. Unashindwa kuelewa the good intention of this thread


Mk54
 
Serikali inadaiwa shilingi ngapi na MSD?
 
MSD inalipwa kila mara acha uongo!
 
Serikali inadaiwa shilingi ngapi na MSD?

Sasa kama hamjapelekewa pesa mnafanya nini hapo Keko Mwanga Madawa? Fungeni ofisi. Serikali imekuwa ikitoa pesa mara zote; mnapozipeleka mnajua nyie.

Kwanza MSD ni taasisi yenye umri zaidi ya Miaka 20 Na mnauza Dawa bado mnataka serikali iwape pesa kila siku.?

Shida hamjiongezi. Halafu mpunguze politics. Fanyeni kazi. Serikali haidaiwi na MSD na Ngosha alisema amewapa Bil 300 kwa ajili ya dawa; mmepeleka wapi hizo pesa?


Mk54
 
Uzi mwingine huo someni malalamiko ya MSD kwa wale wanaosema nimeandika majungu. Kumbe kuna shida mpaka kwenye kuajiri.


Mk54
 
Na ndiyo aliyemuharibu huyo Serengeti Boy wakes jamaa alikuwa anatulisha matangopori ukimaikiliza YouTube utasema huyu ndio Mkurugenzi. Katumika sana na dili fake. Sijui hata alidumu vipi 5 years


Mk54
Lakini katajirika kupindukia. Nasikia kajenga bonge la hoteli Mwanza na kwao Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…