Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Kabisa. Na tangu mwanzo nilishawahi kusema huyu ma’am sio suitable. Mwenyewe yupo yupo tu na anajificha nyuma ya pazia kwamba yeye sio Technical Personel.

Alikuwa anataarifa zote za Covid 19 kabla hata kutangaza. Alikuwa akiulizwa juu ya maandalizi anajibu utumbo sana.

Ilipoingia Corona hajui cha kufanya; matokeo yake watu wanamuona yupo busy sana. MSD imeanza kufanya manunuzi ya vifaa hivyo wakati Corona imeshatupiga. Ikawa overloaded hata Sanitizer hawana . Barakoa hawana na zote wanaagiza nje.

Kweli waziri na Bwanakunu walishindwa kukaa na local manufacturers wa Sanitizer na Barakoa kuzalisha hivyo vitu kwa watanzania?

Unaona kabisa hawa watu ilikuwa ni mwisho wao wa kufikiri.

Wao wapo busy na mambo ya kikubwa

Mk54
😂😂😂
 
Upo sahihi kabisa.

Ila naomba kusema huyu mtu amefeli sana tangu zamani. Sema hatukuwa na changamoto za maana zitakazoweza kuexpose uwezo wake halisi.

Covid 19 imekuja kuonesha uwezo wake halisi. Kuwa hafai kuwa wizara nyeti kama hiyo. Alipaswa kuwa wizara ya Michezo na Sanaa.

Mk54
siniliwahi kusikia kwamba mzee baba ana mwaga mbolea zake hapo...au alishampiga kibuti?
 
Hihi 🤣, Pole sana. Kuna wenzio wameni DM. Nimewaelewa sana . So relax. Sikujua kama nitaumiza hisia na maslahi ya watu.

Pole ana ndugu sisi wote ni wamoja.

Mk54
Kisu kimegusa mfupa,watakaidi ili kutetea ugali wao ila umeeleweka sana brother
 
Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
UMMY ana survive kwa vile hana choyo kwenye kuagwa papuchi . Anamgawia papuchi Bwanakunu ili amkusanyie hela za kugombea Ubunge Jimbo la Tanga mjini. In turn anamlinda na kumtetea Bwanakunu kwa JPM kwa nguvu zote.

Upande wa pili tunayajua madhaifu ya JPM kwa wanawake. UMMY Mwalimu ni kati ya mawaziri wanawake wanao sex na JPM, ila UMMY anadai yeye mwenyewe kuwa ndiyo top kuliko wenzie na JPM hapindui kauli au ushauri wake.

Ndiyo maana utaona kuwa kwenye issue ya COVID 19, KM Zainabu katolewa, CMO Prof Bakari katolewa na Mkuu wa Maabara ya Afya ya Taifa kaaimamishwa kupisha uchunguzi.

Lakini UMMY MWALIMU kabakia waziri wa Afya still. Itakuwaje utoe lawama zote zile kwa COVID19 ilivyosimamiwa, ukafika kuwatoa watendaji wa chini waziri na wziri akabaki? mwenye macho haambiwi tazama

Hiyo inaitwa (PoP) Power of Papuchi
 
Hapana

Madawa na vifaa tiba Ni essential live saving things

Majadiliano yake na solutions zake zinahitaji depths, capabilities and solutions na sio majungu

Alikua wapi siku zote kuibua mahusiano yasiyofaa ya Hawa viongozi?

We need more
Kama wewe siyo Bwanakunu mwenyewe basi wewe ni ndugu wa karibu wa Bwanakunu.

Kuwa mpole subiri dawa iingie
 
Kama wewe siyo Bwanakunu mwenyewe basi wewe ni ndugu wa karibu wa Bwanakunu.

Kuwa mpole subiri dawa iingie
Jama jama

Yule jamaa alikua arrogant Sana, ingawa alitransform shiroka lake kabla ya gesi kuisha
 
Hhhhh thank you. I agree with you on the other side. However, I cannot comment on patriotism, it is hard to say anything about that. Sometimes you have to choose to see the hidden side of the wall.

It is true that Brig. General Dr. Mhidize will succeed if he restructures the entire organization and pushing things to its limit.

We all pray for the best for as long as he wants to make things happen.

Thank you so very much.

Mk54
Utanelewa tu

Sipendi hoja nyepesi

Mjeshi apige gwaride
 
Jama jama

Yule jamaa alikua arrogant Sana, ingawa alitransform shiroka lake kabla ya gesi kuisha

Kaka mazungumzo haya ni eye opening hatuna personal interests. We share the experience and truth.

Mk54
 
Kaka mazungumzo haya ni eye opening hatuna personal interests. We share the experience and truth.

Mk54
Same here... Ingawa baadhi hamkuielewa

If we seriously want mfumo wa afya uimarike, na tupunguze utegemezi... Lazima muundo mzima ugeuke

Na tuache kufuata failed models za UN

Ukija kwenye mnyororo wa ugavi ndio kabisaaaaa...

We need our own model
 
Jama jama

Yule jamaa alikua arrogant Sana, ingawa alitransform shiroka lake kabla ya gesi kuisha
Ali transform kitu gani ? kitaje hapa tukusikie. Kila utakachokitaja tutakutajia aliyeanzisha na tarehe
 
Ukweli ndio huo kaka. I wish Aje staff wa MSD humu atupe kile kinachosemwa ndani ya taasisi.

Mk54
Ni kweli bro Mk54 yote uliyoyasema. Bwanakunu hakuna anachojua zaidi ya ngono! Mara katembea na Waziri Ummy, mara Mkurugenzi Raslimali watu naye kimada wake anaitwa Vicky Elangwa. sasa wadada adogo wadogo kuna sekretari wake kafagia kuna osisa raslimali watu yuko chini ya Vicky kafagia.

Hayo ndiyo alikuwa anayajua zaidi siyo kazi na majukumu ya MSD. MSD ilikuwa ni mzigo mkubwa sana kwake na ameondoka hajui kazi. Ila ametengeneza sana fedha kupitia rushwa kwenye manunuzi ya dawa
 
Tunapenda sana taarifa kama hizi. Ukweli ni kwamba Brig. General Dr. Gabriel awe makini sana. Apangue timu sana.
Huwezi amini ukifika ofisi za MSD zozote utaona zipo busy sana. Lakini ukienda vituo vya Afya hata panadol hawana.na hili Ummy wala hayupo nalo aware. Hawapendi kusemwa vibaya maana wanaficha mengi. Tupo hapa kujenga na huwezi kujenga kama ukweli haupo uchi. Sanitizers watu wamelipa pesa na bado hawapati hivo vitakatisha mikono.
Wakati nipo Halmashauri nilishawahi kuandika barua kwa Hussein Mwinyi kuomba MSD ivunjwe baada ya kupeleka oda yangu na kulipia pesa taslimu. Nilikaa miezi 14 bila kupata mzigo mpaka nahama Halmashauri mzigo haujaja ikabidi nifanye Hand Over.

Bohari ya Dawa ni mnunuzi wa nchi, ana mamlaka ya kufanya lolote. Wanakosaje panadol? Hebu nendeni mkaulize panadol kwa muda huu, unaweza kuambiwa haipo, hihi: Bei zao ndio usiseme. Yaani Supplier ananunua dawa kenya, lakini MSD inaenda kununua dawa kwa huyo Supplier,inamana supplier ana nguvu kuliko MSD au ?
Bwanakunu alimlisha rais matango pori, kuwa dawa za MSD zinatoka wa wazalishaji, sasa watu wakilinganisha bei wanaona mbona dawa bado ni bei juu.......jamaa ni mwanasiasa kweli.

Brig. General yafanyie kazi hayo maeneo ili watanzania wasiokuwa na Bima ya Afya angalau wakifika Hospitali za umma wapate hizo dawa muhimu.
 
Ali transform kitu gani ? kitaje hapa tukusikie. Kila utakachokitaja tutakutajia aliyeanzisha na tarehe

Wanadai aliitangaza MSD sana. Jamaa bishoo

Mk54
 
Same here... Ingawa baadhi hamkuielewa

If we seriously want mfumo wa afya uimarike, na tupunguze utegemezi... Lazima muundo mzima ugeuke

Na tuache kufuata failed models za UN

Ukija kwenye mnyororo wa ugavi ndio kabisaaaaa...

We need our own model

I conquer man.

Mk54
 
Na nyie mnaonifuate DM naomba muache kunisumbua. Nitawaanika hapa hapa JF mkiendelea kuni dm. Wadau wanasoma na kutoa maoni yao. Sina cha kuwazuia wasijadili.

Mk54
 
Ali transform kitu gani ? kitaje hapa tukusikie. Kila utakachokitaja tutakutajia aliyeanzisha na tarehe
Kama.ni mdau utagundua changes compared to when he joined

Although transformation could have been better Kama angeteneza good strategies za kushirikiana wadau

The bottom line is, this change was inevitable
 
Back
Top Bottom