Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Unamjua sana,kwa sababu ni padre. Mtaliani wajifanya humjui dah makubwa haya!
 
nilishangaa jitihada za lake oil kuua competition walitangaza kuuza mafuta kama offer kwa bei chini ya kiwango elekzi cha ewura kwa sh 30 kwa lita!!!! moja kwa moja nikaanza ku link hili tukio na uingizaj wa mafuta nchini bila kulipia kodi.... kama kampun inamkono wa mkulu wa nchi basi ni rahisi sana kufanya ivyo nadhan wamechukua model ya home shopping centre wanaingiza bidhaa bila kulipa kodi ili waue kwa bei ya chini na kuua competition.... haiwezekan home shopping centre unauziwa taulo la nguvu elf 3000
 
Hilo ni ukweli kabisa. Na siku hizi ukipita mjini kila baada ya muda utakutana na gari ndogo zenye nembo ya 'Lake Group'. Dogo kaenda mbali zaidi na sasa wanauza gas na wanajiita 'LakeGas'. Hii ni danganya toto ila malengo ni kusubiri mradi wa gas ya Mtwara ili waweze kuipiga vizuri na dad. Ila binafsi nishaweka mgomo wa kutokuweka mafuta kwenye hizo sheli. Kinachoniuma ni kutambua kuwa zile ni kodi zetu. Hivyo siwezi kumwongezea mtu faida ilhali nalijua mmiliki.
 
tunakoelekea unaweza kuambiwa ikulu imenunuliwa na inamilikiwa na riz1
 
Wewe faby unajua lake oil au kina asas. Aslia yao ni waarabu wa wapi
 
Wana jamii mnapomuongelea mtu au kampuni flan muwe na uhakika sio mnaongea uozo hapa toeni habari za uhakika. Hawa jamaa ni wakongwe kibiashara toka enzi na enzi.msijadili kitu ambcho Si cha ukweli wameeithi kutoka kwa baba zao sasa huyu riz1 ametokea wapi na hawa watu? Kueni makini jamani msi je mkaropoka vt ambavy sivo
 
Inawezekana ndo maana baba yake hajishughulishi na kufufua reli ya kati, ili biashara ifanyike. Maana siku hizi, biashara za wakulu wa hano ni vituo vya mafuta na usafirishaji.

ukizingatia hayo malori hayawezi fanyiwa ujangili koz dola tunayo itawashughulikia wote wanaoleta tafarani na kutia kitumua mchanga.
 
Asili yao toka yemen mkoa wa hadhramaut kijiji cha al qatn. Asas ni bin abri na lake oil pamoja na oilcom/cameloil ni bin kleb na wote kwa pamoja wanakua ni NAHDI
 

Kama una ushahidi peleka kunakohusika .hapa jf hutapata msaada .
 

Alikuwa mgiriki wa kutoka Cyprus kwa Askofu Makarios wakati huo!!
 
wacha waibe ila wawekeze hapa hapa bongo kuliko kuficha ulaya,ili cdm ikichukua nchi iwe rahisi hizo mali kuwa za umma
 
Mwacheni dogo apete na mzee wake hata ungekuwa wewe kiyongonzi ungejinufaisha wewe kwanza aliye pewa kapewa tu hao wote waliyopita pia nao wako vizuri
 
Wabongo kwa kupenda umbea! Ukiweka thread za maendeleo ya Taifa zinadoda lakini hii thread ya Riz1 imefika hadi huku?
 
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
Tunazisubili mkuu miaka imepita ujue au unafikiri hatuna reminder??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…