manumbu1
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 713
- 400
Unamjua sana,kwa sababu ni padre. Mtaliani wajifanya humjui dah makubwa haya!Nyerere aliamuru awekwe ndani mara moja na kujibu mashtaka ya kuidharau serikali
Ni baada ya kusema serikali Yote ipo mfukoni kwake,nimesahau ni raia wa nchi gani lakini nchi yake ilimpigia magoti nyerere ili amwachie,
Alikuja kuachiwa kwa sharti la kutokanyaga tanzania tena